Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,931
- 1,178
kama ya mwaka 2005 inauzwa dola 1400 kwanini hiyo isiwe hiyo beiUwezekano upo ingawaje ni mdogo sana kwa gari yenye umri zaidi ya miaka 8 kutembea km 30 000 tu! Na isitoshe Volvo V50 iliyotembea km 30 000 tu kuuzwa dola 4 000 hapo hapana, labda kama umepewa zawadi lkn kwa bei ya sokoni siyo kweli!
kama ya mwaka 2005 inauzwa dola 1400 kwanini hiyo isiwe hiyo bei
Kiongozi, TRA calculator haina bei ya kununulia lakini kuna CIF(Cost, Insurance and Freight) elekezi, wao wamepiga mahesabu ya gharama za manunuzi, bima na usafiri hadi bandarini.Mkuu calculator yao hakuna sehemu inapokwambia ujaze bei uliyonunulia gari. Hivyo basi moja kwa moja ni kwamba kodi yao haitokani na cif/bei uliyouziwa gari.
Unachojaza ni aina ya mafta, model ya gari, mwaka na cc za gari.
Halafu anayesema gari mpya kodi ndogo anadanganya jaribu kuchukua gari mfano allion ya mwaka 2002 na ya mwaka 2008 utakuta ya mwaka 2008 ina kodi zaidi.
Ndilo nalojaribu kumwambia kuwa hawatumii bei uliyonunua wewe. Naskia wakati wanatumia bei ya mnunuaji watu walikuwa wanachakachua kuonyesha cif iko chini ili kuziba hilo wakaja na cif elekezi.Kiongozi, TRA calculator haina bei ya kununulia lakini kuna CIF(Cost, Insurance and Freight) elekezi, wao wamepiga mahesabu ya gharama za manunuzi, bima na usafiri hadi bandarini.
Tatizo watu wananunua magari bila kupitia CIF elekezi ya TRA. Kama umenunua mf. Runx CIF $2,500 wakati CIF ya TRA ni $,2000, TRA watakulima kodi hadi ulie. The best thing ni kuhakikisha kuwa CIF ya gari yako ni sawa na ya TRA au ndogo zaidi.
ipo haja ya kungalia upya huu upigaji hesabu, mfano kichwa cha scania (tractor) kinauzwa uero elfu 3000 spain hadi kukifikisha tanzania kitafuka kwa tshs 10m ushuru tra wanakwambia ulipe 46m hii haiko sawa kabisa.Pole jamaa yangu. Ushauri ungepitia website ya TRA wanaonyesha bei ya gari kulingana mwaka wa kutengenezwa na siyo bei uliyonunulia. Wanatumia retail selling price ambayo hiyo V50 ni kati ya dola 60,000 mpaka 67,000. Hapo ndiyo kukokotoa kunaanzia hapo na dhamani ya gari yako haitumiki uliyonunulia na itakuwa retail selling price kutoka kwenye list ya TRA na hapo unajikuta unalipa VAT peke yake karibu dola 8000. Kama alivyoshauri jamaa hapo before kuagiza angalia online calculator ya TRA
Ndiyo hivyo umeibiwa Volvo iliyotembea km 30 000 haiwezi kuuzwa bei hiyo, na ndiyo maana umepigwa uchakavu, dola 4000 ni gari iliyotembea zaidi ya km 100 000 !
Kwa TRA kukomoa hivyo wanajaribu kutuma ujumbe gani? Tusiagize magari/vitu kutoka nje au ndo mambo ya ‘kumfanya kila Mtanzania haishi kama shetani”?
Hiyo ni gari KUU KUU na hapo unadanganya/umedanganywa haiwezekani gari ya miaka zaidi ya 8 iwe imetembea km 30 000 tu!
Huo ni uongo mweupe hizo km inazimaliza kwa mwaka mmoja tu na isitoshe kama ni kweli imetembea km 30 000 haiwezi ikauzwa
Dola 4 500 hilo haliwezekani, hivyo TRA wetu wako sawa kabisa kwa maana wewe ni muongo/ umedanganywa!
mkuu, huyo jamaa ni kada na mtetezi wa kila kitu na ataendelea kubisha tu koz hana gari anabebwa na kuruza ya chama,juu huko alisema kodi ya gari inatokana na km ilizotembea,usijichoshe kumuelekeza.TRA wanashangaza sana.....Kwanza kuweka kodi kubwa kama hii lengo huwa ni ku discourage imports
It would make sense endapo kungekuwa na viwanda humu nchini
Lakini cha ajabu zaidi gari Jipya linapigwa kodi kubwa zaidi kuliko gari la zamani......Angalia mfano wa hiyo KLUGER hapo chini...Model Moja....Ipo ya mwaka 2003 na ya mwaka 2009...Ya mwaka 2009 Ni kodi kubwa zaidi......
View attachment 390823
View attachment 390824
hii hatariTRA wanashangaza sana.....Kwanza kuweka kodi kubwa kama hii lengo huwa ni ku discourage imports
It would make sense endapo kungekuwa na viwanda humu nchini
Lakini cha ajabu zaidi gari Jipya linapigwa kodi kubwa zaidi kuliko gari la zamani......Angalia mfano wa hiyo KLUGER hapo chini...Model Moja....Ipo ya mwaka 2003 na ya mwaka 2009...Ya mwaka 2009 Ni kodi kubwa zaidi......
View attachment 390823
View attachment 390824
Malalamiko yako ni ya msingi sana. Kuna jamaa kama watatu wana thread kama hii ya kwako, wote wanalalamikia kadhia hiyo hiyo (unfair calculation system). Nadhani kuna shida mahali ambayo TRA hawataki kwa makusudi kuifanyia kazi. Haiwezekani gari uingize kwa milioni 9 then ulipe kodi milioni 15.Barbabosa,
Kama kudanganya basi aliyedanganya ni yule aliyeniuzia. Mimi nimenunua gari online, na hiz ndizo details nilizopatiwa. Na hiyo valuation na kodi husika ilikokotolewa ka kutumia TRA Valaution Calculator. Ninavyozungumza hivi hata Shipping docs za hiyo gari zijazishika mkononi. Vinginevyo ninaweza kukutumia docs za manunuzi hujionee mwenyewe details za gari na manunuzi.
Ahsante kwa kunichallenge though...
wamepeleka ffu kufaniya mazoeziUnatoa kodi kubwa hivyo halafu wanaenda kufanyia ujinga ujinga.
Ukiulizia matumizi ya kodi hiyo kodi unaitwa mchochezi.
Umenena sawa kabisa mkuu. Wenzetu wanakwenda kwa fashion na si vinginevyo. Nawala sio kwenye magari tu bali nikaribia kila kitu. Nilikuwa word cup Brazil 2014 niliona mambo ya ajabu sana kwa wenzetu. Jezi za nchi mbali mbali zenye majina ya stars wao kabla ya mechi utakuta jezi moja ni USD500-1500. Lakini baada ya mechi ikitokea timu husika imefungwa, keshoyake ukiingia duka hilohilo ulilopita Jana utakuta bei imepolomoka mpaka dola50.Usiwe mbishi wenzetu gari wanatumia kutokana na toleo sio mpaka gari lizeeke. Gari ndani ya mwaka inatoka toleo jingine kwa hiyo mtu anauza na kuchukua model mpya. Usifikiri kwao gari wanatumia mpaka kiti cha dereva kinakuzoea kama huku kwetu.
Hili halihusiani na uchaguzi. Mleta mada apelike mbele malalamiko yake as it is not fair at all!Samahani mkuu...kweni uchaguzi uliopita ulikuwa upande gani?