TRA valuation system ya magari haiko fair

Unatakiwa ununue gari mpya ambayo haichafui mazingira yetu hiyo ndiyo sababu!

mkuu,sometimes ubishi wako huwa unanishangazaga sana,hivi unajua kuwa hata sasa hivi ukitaka kuagizia gari iliyokuwa manufactured mwaka huu ushuru wake unaweza kumtukana kamishna wa TRA?,yaani kiufupi hawa jamaa hawaeleweki,gari jipya na chakavu kodi juu,nashindwa kuelewa kodi zao zinalenga nini,yaani ni kuumizana tu
 
Siyo kweli gari mpya haina ushuru mkubwa kama gari chakavu!
 
bora hyo yako! fungua TOYOTA CROWN MAJESTA ya mwaka 2007

bei ya used ni dola 4000 (8.8M) lakin ukija TRA kodi yake ni dola 10000 (23M)

subaru forester ya mwaka 2005 kodi yake kabla ya serikali awamu ya 5 ilikuwa 5.7M lakini kwa sasa ni zaidi ya 9. M

hatareee! mie nafkir kuna watu wanataman magufuli aanguke! bandarin kumekauka kwa kuwa kodi imepanda
 
Lkn pia linachafua mazingira, na ndiyo maana kodi ni kubwa ili ununue gari mpya ambayo haichafui mazingira sana, hiyo ndiyo sababu na Dunia nzima hufanya hivi kwa namna moja au nyingine!
Ukinunua gari mpya ushuru wake pamoja na VAT ni balaa.
 
Siyo kweli gari mpya haina ushuru mkubwa kama gari chakavu!

ingia kwenye kikokotoleo cha tra,angalia ist ya mwaka 2002 cc1300 halafu angalia ist hyo hyo ya mwaka 2014,nipe jibu lake,halafu uje hapa uwatetee wenzako tena
 
Mie naona serikali ndo imetengeneza hayo Magari...

Km mtengenezaji anauza 9mil we kodi 15 mil huu sio uzalendo. Pia its turning our people into poorness...
Kama kodi inazidi bei ya kuuzia nadhani hatuma haja ya kujenga viwanda!
 
Hiyo ni gari KUU KUU na hapo unadanganya/umedanganywa haiwezekani gari ya miaka zaidi ya 8 iwe imetembea km 30 000 tu!
Huo ni uongo mweupe hizo km inazimaliza kwa mwaka mmoja tu na isitoshe kama ni kweli imetembea km 30 000 haiwezi ikauzwa
Dola 4 500 hilo haliwezekani, hivyo TRA wetu wako sawa kabisa kwa maana wewe ni muongo/ umedanganywa!

We ibilisi ukoje mbona unakera jamani! Tired of your nonsenses
 
ingia kwenye kikokotoleo cha tra,angalia ist ya mwaka 2002 cc1300 halafu angalia ist hyo hyo ya mwaka 2014,nipe jibu lake,halafu uje hapa uwatetee wenzako tena
Toyota Land cruiser ya 2016 ushuru wake ni zaidi ya milioni 40 mkuu.

Usitoe namba tu hivyo huwezi kujua kama ni nyingi au siyo nyingi ukilinganisha na Toyota hiyo hiyo ya mwaka labda tuseme 2004!
Ukitaka kulinganisha toa asimia (%) yaani ushuru wa hiyo gari ya 2016 ni asilimia ngapi ukilinganisha na wa gari ku kuu?

Hivyo ndivyo unavyoweza kulinganisha vitu viwili!
 
We ibilisi ukoje mbona unakera jamani! Tired of your nonsenses

Kwani nimekulazimisha kusoma ninachoandika? Mbona post za kusoma ambazo zinaongelea unavyopenda wewe ziko nyingi tu?
 
Usitoe namba tu hivyo huwezi kujua kama ni nyingi au siyo nyingi ukilinganisha na Toyota hiyo hiyo ya mwaka labda tuseme 2004!
Ukitaka kulinganisha toa asimia (%) yaani ushuru wa hiyo gari ya 2016 ni asilimia ngapi ukilinganisha na wa gari ku kuu?

Hivyo ndivyo unavyoweza kulinganisha vitu viwili!
Depreciation ni 10% kwa mwaka mpaka gari ikifikisha miaka 8 kutokana na calculator ya tra. Baada ya hapo gari inapata dumping charges /uchakavu. Gari mpya ina bei mbaya zaidi bongo kuliko huko zinapo toka.
 
Duh sasa kuna uhusiano gani kati ya mada hii na upande niliokuwa wakati wa uchaguzi?
Nikusaidie. Anataka kujua Kama unalia kwa jambo ulilojitakia. Si unajua kifo cha kujitakia hakina kilio? Mimi nimeingiza gari hivi karibuni cif 2000 lakini nikagongwa 3000 na tra.
 
Hiyo ni gari KUU KUU na hapo unadanganya/umedanganywa haiwezekani gari ya miaka zaidi ya 8 iwe imetembea km 30 000 tu!
Huo ni uongo mweupe hizo km inazimaliza kwa mwaka mmoja tu na isitoshe kama ni kweli imetembea km 30 000 haiwezi ikauzwa
Dola 4 500 hilo haliwezekani, hivyo TRA wetu wako sawa kabisa kwa maana wewe ni muongo/ umedanganywa!
Hiyo ni gari KUU KUU na hapo unadanganya/umedanganywa haiwezekani gari ya miaka zaidi ya 8 iwe imetembea km 30 000 tu!
Huo ni uongo mweupe hizo km inazimaliza kwa mwaka mmoja tu na isitoshe kama ni kweli imetembea km 30 000 haiwezi ikauzwa
Dola 4 500 hilo haliwezekani, hivyo TRA wetu wako sawa kabisa kwa maana wewe ni muongo/ umedanganywa!
Gari kutengenzwa mwaka fulani haina maana kwamba huo mwaka ndio imean9a kutumika, inategemea mwaka iliyouzwa. Pia matumizi ya gari hayalingani kati ya mtu na mttu, na kuna watu wanatumia gari kwa ajili ya kazi maalum tu Hata hapa bongo tu kuna watu wanatumia magari mwaka mzima mtu hamalizi km hata 6000 sembuse huko majuu
 
Vyovyote vile gari ya miaka 8 kuwa umetumia km 30 000 tu huwo wizi mchana kweupe na isitoshe haiwezi kuuzwa dola 4 000 kwa maana ni karibia mpya hiyo!
 
Siyo kweli gari mpya haina ushuru mkubwa kama gari chakavu!
Kuna wakati unakuwa mbishi hadi unakera
uploadfromtaptalk1472586778901.png
uploadfromtaptalk1472586789036.png
Hiyo ya 17mil vitz ni ya 2016, hiyo nyingine ni ya 2005. Nimeshindwa kupiga full pics.

Yani hiyo ya 2016 ni 17.mil wakati ya 2005 ni 4.mil. usiwe mbishi kila mara.
 
Back
Top Bottom