Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 32,236
- 33,936
Huu upumbavu wa kwenda TRA kila mwaka tumeukataa kitambo, ndiyo maana road licence ilihamishiwa kwenye mafuta, leseni za udereva zikawa ni 5 yrs, nilidhani utasema Mamlaka iweke mitambo ya ukaguzi wa namba fake barabarani badala ya mentality ya wizi unaoutengeneza hapaTRA wakati umefika sasa tuache kutoka "plate number" za magari "lifetime period" tutoe plate number kwa Mwaka mtu anarenew baada ya mwaka kwa kulipia kiwango fulani cha pesa