Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
......Au utawasikia 'kaka tuachie mpunga basi'...
Hahaaaaa jamaa wana njaa sana kwa kweli.
......hahaha ha Mkuu
......Au utawasikia 'kaka tuachie mpunga basi'...
Hahaaaaa jamaa wana njaa sana kwa kweli.
continents zote za dunia hii umefikaje ww acha uongo....antarctica ulienda kufanya nn?Mwanjomwanjo utamjuwa tu, wewe kusafiri unakuona kwa maana sana katika karne hii ambayo dunia ni kijiji?
Tena unakuja na ji TV la nchi 27 Kama accompanied baggage? Kama nchi nyingine wanalitupa kwenye dustbin.
For your information, nimekanyaga "continents" zote za dunia hii na hivi sasa nimeshafanya booking ya moon express na Virgin Galactic na probabilities are very high za kuwa abiria wa mwanzo mwanzo wa kutembelea mwezini.
.....Huwa anavaa kaptula,,, uzeeni chupi hulegea.
Do you have any legal documentary evidence provable in any court of law that what you had in your bag was for personal use?so you got to pay taxes again when you bring them with you into the country for your own personal use?
Ukiwapiga ngumi na wewe utakuwa umewadhalilisha.Hiyo haikubaliki kwa kweli. Ni udhalilishaji mkubwa sana huo.
Huko ni kuingilia faragha za watu sasa.
Mtu kama mimi hapo sikawii kuwarushia ngumi za videvuni hao watu aisee.
documentary ama document?Do you have any legal documentary evidence provable in any court of law that what you had in your bag was for personal use?
Hivi mlalahoi huwa anaenda airport? Kufanya nini? Halafu anaenda gari hoooo!!! huyo mlala hoi mmmmmmmmmmHata ile kukata Tshs 2,000 ya parking pale airpot kwa muda mchache tu wakati mwingine haitimii hata nusu saa haiko poa. Tshs 2,000 ni kubwa sana kwa sisi walala hoi, tupunguziwe japo iwe 500 au 1000.
zote mbilidocumentary ama document?
Hahahahahabaa bibie una mambo.Ahsante sana tena sana. Ukianza kuteua wakuu wa wilaya utanifikiria.
Kwa sasa nnaona hoja imekuingia na hauna jipya unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
sawazote mbili
Wangeweka basi walau route ya BRT inayofika airport. Bodaboda wamekataza, na hakuna public transport..Halafu wanaongeza tozo ya parking?Hata ile kukata Tshs 2,000 ya parking pale airpot kwa muda mchache tu wakati mwingine haitimii hata nusu saa haiko poa. Tshs 2,000 ni kubwa sana kwa sisi walala hoi, tupunguziwe japo iwe 500 au 1000.
Ukiwapiga ngumi na wewe utakuwa umewadhalilisha.
Sidhani kama wewe ni mzima!Wewe nae bado tu unabeba colgate wakati wa kusafiri? Hayo yalikuwa wakati wa Nyerere.
TRA..... TRA wamegeuka Miungu watu !!!
Hongera TRA kwa kukamata sisimizi na mende wakati mnaachia TEMBO ,TWIGA, SIMBA kuondoka nchini.... !!!
Huyu bibi Gagula mchawi halali.........bibi bora ujibu video badala ya kuhangaika na watu. Utakufa na ugonjwa wa moyo siku si zakoHizo si kazi za TRA.
Tumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu na si kukiacha kama mzigo juu ya mabega yako.
Do you have any legal documentary evidence provable in any court of law that what you had in your bag was for personal use?