TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Kero inaanza pale unapoland na kama uko na wageni toka nje inabidi wafunge foleni ya almost 3 hrs

1. Kuna foleni ya finger print
2. Then kuna foleni ya kulipa
3. Then kuna 3hrs za kusubiri

All that is happening hakuna air-condition wala Viti vya kukaa

Sielewi why wasifanye process ya electronic visa ili kuondoa foleni

Then kuna foleni ya kusubiri mabegi kwenye mkanda ambao.ni moja tuu na joto

Then kuna kupekuliwa physically (walau siku hizi wameondoa wale jamaa wa wanuka vikwapa pale mlangoni)

So kama una mgeni toka Europe au USA nakuhakikishia atakuwa mle ndani not less than 4 hrs in total

Natamani Magu siku ashuke pale aone
 
Cookie hii mada ingebaki kwenye jukwaa la siasa ingekuwa vizuri zaidi maana huko ndiko wanapita wanasiasa wetu ambao ndio decision makers wakubwa, watunga sera pamoja na sheria.
 
Vipi kama ulienda nayo huko ulikoenda na kurudi nayo?

How do they figure that?

Kama unaondoka na chochote cha thamani una declare, kuna forms za kujaza wakati unatoka nacho.

Hivi mtu unakuja na TV kama baggage yako kwanini usi declare kabisa kabla hujapeleka mabegi yako kukaguliwa? Kuna chumba cha custom pale airport.
 
Ukitembelea nchi za wenzetu utaona jinsi Tanzania ilivyo ya hovyo kwenye huduma zake! Yaan tukiwaza sana tunakuja na wazo la kutembea kwa miguu dar dom nakujiita wazalendo

Mlitaka asilipie ushuru?
 
Kama unaondoka na chochote cha thamani una declare, kuna forms za kujaza wakati unatoka nacho.

Hivi mtu unakuja na TV kama baggage yako kwanini usi declare kabisa kabla hujapeleka mabegi yako kukaguliwa? Kuna chumba cha custom pale airport.
Kuna mshikaji hapo nyuma kasema alilipia ushuru unyunyu....

Manukato nayo ni ya kulipiwa ushuru?
 
Hii nchi tunako elekea ni kubaya hata kama wanakusanya kodi si kwa njia hiyo huo ni udhalilishaji wa hari ya juu nulibahatika kuiona hiyo video
 
Kuna mshikaji hapo nyuma kasema alilipia ushuru unyunyu....

Manukato nayo ni ya kulipiwa ushuru?

Inategemea na quantity uliyongia nayo. Kama ni vichupa viwili vitatu vya kutumia mwenyewe haulipishwi.

Muulize huyo "mshikaji" wako alikuwa na chupa ngapi?
 
Uwezo wako ndio umeishia hapo! Unastahili ukuu wa wilaya wewe

Ahsante sana tena sana. Ukianza kuteua wakuu wa wilaya utanifikiria.

Kwa sasa nnaona hoja imekuingia na hauna jipya unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
Ahsante sana tena sana. Ukianza kuteua wakuu wa wilaya utanifikiria.

Kwa sasa nnaona hoja imekuingia na hauna jipya unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Ungekuwa umeshaenda nchi nyingine na kuona taratibu zao usingekimbilia kusema lazma ulipe kodi ila kwakua mwisho wako ni hapo coco beach siwezi bishana na wewe!
 
Back
Top Bottom