TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Desturi zetu zipo wazi..imagine...ingekuwa kila mwaka nchi flani inazamu ya kugawa pumzi
 
Cookie hii mada ingebaki kwenye jukwaa la siasa ingekuwa vizuri zaidi maana huko ndiko wanapita wanasiasa wetu ambao ndio decision makers wakubwa, watunga sera pamoja na sheria.
Unadhani hata wakiona watakuja na wazo jipya? Siku hizi wanasubiri kuambiwa na mtu mmoja tuu.
Yeye mpaka aseme, kesho utaona mawaziri, nani na nani sijui wanaenda huko huku wanaimba hapakazi tuu.
Ni aibu kweli na karaha
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers

Hakunaga aibu kwenye vitu vya kisheria. Lipeni kodi.
 
Watu wa ajabu sana hawa!Mm walinitoza hadi saa ambayo nilinunua Dubai kwa dola 15 tu
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers

Pathetic animals
Duh.....!
 
Hii kali na udhalilishaji. Begi linasasambuliwa hadharani sasa tumefika pabaya, nakumbuka nilitoka south africa nilinunua simu nimpelekee zawadi mama kilichonipata sikisahau na simu nikaisamehe TRA wamekuwa waporaji
 
Kero inaanza pale unapoland na kama uko na wageni toka nje inabidi wafunge foleni ya almost 3 hrs

1. Kuna foleni ya finger print
2. Then kuna foleni ya kulipa
3. Then kuna 3hrs za kusubiri

All that is happening hakuna air-condition wala Viti vya kukaa

Sielewi why wasifanye process ya electronic visa ili kuondoa foleni

Then kuna foleni ya kusubiri mabegi kwenye mkanda ambao.ni moja tuu na joto

Then kuna kupekuliwa physically (walau siku hizi wameondoa wale jamaa wa wanuka vikwapa pale mlangoni)

So kama una mgeni toka Europe au USA nakuhakikishia atakuwa mle ndani not less than 4 hrs in total

Natamani Magu siku ashuke pale aone
Kuna terminal mpya inakaribia kwisha kama sio imekwisha kero ya AC na miundo mbinu itakuwa imekwisha itabakia hiyo ya TRA.
 
Ukitembelea nchi za wenzetu utaona jinsi Tanzania ilivyo ya hovyo kwenye huduma zake! Yaan tukiwaza sana tunakuja na wazo la kutembea kwa miguu dar dom nakujiita wazalendo
Huduma mbovu almost everywhere utadhani hawa wanasiasa hawatembei na kujifunza kutoka nje.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Jenga nchi kwa KULIPA KODI, UKIUZA DAI TOA RISITI, UKINUNUA DAI RISITI na yy hadeal na wanyonge [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Jenga nchi kwa KULIPA KODI, UKIUZA DAI TOA RISITI, UKINUNUA DAI RISITI na yy hadeal na wanyonge [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hivi mapato fake ya mwezi Novemba ni shilingi ngapi?
 
I don't get it.

They want people to pay taxes on what? Personal items like articles of clothing and whatnot?

Like pay taxes for my Polo underwear?

So stupid.
Jamani hiki kitu kilikuwepo tangia siku nyingi sana ingawa sio sawa
 
Back
Top Bottom