TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Muwe mnashukia nairobi halafu namanga mpite njia za panya.
Sasa kama unalipia ushuru mpaka tube ya colgate iliyomo kwenye bag,mambo yameshakuwa mambo.

Wewe nae bado tu unabeba colgate wakati wa kusafiri? Hayo yalikuwa wakati wa Nyerere.
 
Uwezo wako ndio umeishia hapo! Unastahili ukuu wa wilaya wewe
Ukamishna wa mkoa utamfaa sana, kushika nafasi hizo kunahitaji sifa ya kujitoa ufahamu.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Ukienda kununua bidhaa yoyote kaliakoo, mfano Tv ya 500,000 utapewa risiti ya 210,000 na hizo risiti ni za miezi au tarehe zilizopita na risiti hizo uchukuliwa kwenye duka lingine sio ulilonunua bidhaa.Kwamba kuna mtu/watu kazi yao ni kutoa risiti kwa niaba ya maduka mengine.Tafuteni namna ya kukusanya kodi kwa hawa wakwepaji!!!
Vipi wewe unaekubali risiti ya aina hio? Tv ikipata matatizo baada ya siku mbili utarudishaje bila risiti?

Watanzania wamezidi uzoba.
 
Tanzania haina raia wake hawatumii vitu vipya na vizuri kwa sababu ya Roho mbaya na ya damu ya umasikini tulionayo ndio maana vitu vya kawaida tuu inakua hatari Tv,Radio,washing machine,Camera na Laptop wamewengana navyo hapo airport utadhani sijui ni nini? watu wanabaki kutumia used tuu Nchi la ajabu sana na Roho ya kimasikini tuu.
 
Vipi wewe unaekubali risiti ya aina hio? Tv ikipata matatizo baada ya siku mbili utarudishaje bila risiti?

Watanzania wamezidi uzoba.
Kumbuka mimi na wewe tuna mwanga flani hivi, kuna wenzetu bado na hawaoni na hawa ndio mtaji mzuri kwa wafanya biashara. Kumbuka sio wote wenye kuhitaji risiti, haoni umuhimu.Wafanayabiashara hutoa hizo risiti ili wasikamatwe na watu wa TRA
 
Ukienda kununua bidhaa yoyote kaliakoo, mfano Tv ya 500,000 utapewa risiti ya 210,000 na hizo risiti ni za miezi au tarehe zilizopita na risiti hizo uchukuliwa kwenye duka lingine sio ulilonunua bidhaa.Kwamba kuna mtu/watu kazi yao ni kutoa risiti kwa niaba ya maduka mengine.Tafuteni namna ya kukusanya kodi kwa hawa wakwepaji!!!
Ili tv upate kwa 500,000 retail lazima wanakwepa kodi,kihalali ni pkuanzia 600,000+
Laki 5 wanakwepa kodi ndio maana unapewa hizo risiti za makanjanja
 
TRA wana haki ya kukagua mizigo yenu kuangalia nini kilipiwe kodi. Hawawezi kujua umebeba nini bila kufungua.

TV hata ya 21" inatakiwa ulipie kodi unless wewe ni returning resident umekaa nje ya nchi zaidi ya mwaka.

Hivi mnajua kuna watu wanakuja na bag moja tu la vipodozi lina value za milions of tzs?

Hivi mnajua kuna watu wanaenda China wakirudi wananunua kg za wenzao wanabeba mabegi hata kumi ya nguo?

Watu wanarudi na bags zimejaa simu,na vitu vidogo vyenye thamani kubwa. Hawawezi kujua hivyo bila kufungua kujiridhisha.

Btw ni kweli sometimes custom officials wanakosea ila na wasafiri wengi wabongo wasanii vile vile.
 
Kumbuka mimi na wewe tuna mwanga flani hivi, kuna wenzetu bado na hawaoni na hawa ndio mtaji mzuri kwa wafanya biashara. Kumbuka sio wote wenye kuhitaji risiti, haoni umuhimu.Wafanayabiashara hutoa hizo risiti ili wasikamatwe na watu wa TRA
Sawa. Hapa umeonesha jinsi wafanyabiashara wetu walivyo.
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers

They are desperate; arbitrary revenue targets are unreachable; even traffic offences have become a cash cow for the state; these days you get hit by a ticket before you say Judas! Kwani umesikia taarifa ya makusanyo ya mwezi Novemba mpaka leo 10 days to New year?! Hali ni tete; let us pray for Gods intervention!!!
 
umbumbu wa sheria sio kinga ya kosa, naloliona hapa wengi sisi hatujui hizo sheria za custom zinasemaje kwa hiyo tukienda nje ya nchi tunanunua tu mavitu tukitegemea tutapita tu uwanja wa ndege na kutoka free. Maafisa wa TRA wao wanatekeleza sheria tu hawana kosa lolote. Tuzisome sheria za kodi na custom kama zina mapungufu tunayo nafasi ya kuziboresha kupitia taratibu zilizopo na sio kuwalaumu watu wakiwa wanafanya kazi zao na kutekeleza sheria.
Huwezi kuchaji kodi kwenye single item mfano tv 1,ama simu 1 ila ukibeba mbili ama zaidi sheria ina assume you are duing business hapo unapaswa kulipishwa kodi
 
Kwa vyoyote, ni system ya kizamani wanatumia uwanja wa ndege.

Kama tunataka watalii wa nyumbani na wa nje wakue, lazima tubadilike.

Hamna nchi iliyo mkali katika ulipaji kodi kama Marekani. Lakini husumbuliwi hivyo na vitu vidogo vidogo.

Unapewa ruhusa ya kuleta vitu kadhaa bila ya ushuru chini ya $200 kwa vitu kama perfume na sigara na $800 kwa mizigo mingine katika begi. (cpv.org).
Hii ni standard kwa nchi nyingi sana.

Visa wafanye kama Thailand. Visa on arrival, free of charge kwa karibu kila raia wa dunia. Utalii wao umewaingizia
$42 Bilioni mwaka 2014 .(worldbank.org).

Kwa sasa sera ni za kukomoana tu.
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers

THIS IS UNACCEPTABLE!!!!! SHME ON YOU SHAME ON YOU TRA! Wanaovisha kwa magendo manawpitisha mtu kajinunulia zawadi zake mnamdhalilisha hii haikubaliki hata kidogo!
 
Kwa vyoyote, ni system ya kizamani wanatumia uwanja wa ndege.

Kama tunataka watalii wa nyumbani na wa nje wakue, lazima tubadilike.

Hamna nchi iliyo mkali katika ulipaji kodi kama Marekani. Lakini husumbuliwi hivyo na vitu vidogo vidogo.

Unapewa ruhusa ya kuleta vitu kadhaa bila ya ushuru chini ya $200 kwa vitu kama perfume na sigara na $800 kwa mizigo mingine katika begi. (cpv.org).
Hii ni standard kwa nchi nyingi sana.

Visa wafanye kama Thailand. Visa on arrival, free of charge kwa karibu kila raia wa dunia. Utalii wao umewaingizia
$42 Bilioni mwaka 2014 .(worldbank.org).

Kwa sasa sera ni za kukomoana tu.
Very accurate
 
Hoja gani umeweka wewe! Hujui hata carry on kwenye ndege inatakiwa iwe na ukubwa gani unaongea tu! Kwaakili zako unafikiri unaweza kubeba tv ndani ya ndege. Mnatakiwa haya mambo myaelewe sio kushabikia tu.
....
.....hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: ydn
leten sheria ya kodi kwa vitu gan hasa vya biashara au kutumia home
Sheria ya kodi. ...suala muhimu sana. ...tujue tukinunua nini tunatakiwa kulipaje. Mwisho wa siku TRA pia inahitaji mabadiliko kama sehemu nyingine. Kazi za mazoea ziishe
 
Back
Top Bottom