TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Kama unaondoka na chochote cha thamani una declare, kuna forms za kujaza wakati unatoka nacho.

Hivi mtu unakuja na TV kama baggage yako kwanini usi declare kabisa kabla hujapeleka mabegi yako kukaguliwa? Kuna chumba cha custom pale airport.
Inabidi utoke Temeke uitembelee Dunia. Akili yako itapanuka. Uone wengine wanavyofanya
 
Ungekuwa umeshaenda nchi nyingine na kuona taratibu zao usingekimbilia kusema lazma ulipe kodi ila kwakua mwisho wako ni hapo coco beach siwezi bishana na wewe!

Mwanjomwanjo utamjuwa tu, wewe kusafiri unakuona kwa maana sana katika karne hii ambayo dunia ni kijiji?

Tena unakuja na ji TV la nchi 27 Kama accompanied baggage? Kama nchi nyingine wanalitupa kwenye dustbin.

For your information, nimekanyaga "continents" zote za dunia hii na hivi sasa nimeshafanya booking ya moon express na Virgin Galactic na probabilities are very high za kuwa abiria wa mwanzo mwanzo wa kutembelea mwezini.
 
Kati ya wanne mmoja ni kichaa...!!
 
Hoja imekuingia sasa wewe hororoja na kubwabwaja bila mpango.

Ni heri kuwa kichaa kuliko kuwa punguani - kumbuka hilo.
Hoja gani umeweka wewe! Hujui hata carry on kwenye ndege inatakiwa iwe na ukubwa gani unaongea tu! Kwaakili zako unafikiri unaweza kubeba tv ndani ya ndege. Mnatakiwa haya mambo myaelewe sio kushabikia tu.
 
Wanawake karibu wote wakishavunja ungo huwa wanakwenda Mwezini kila mwezi. Labda aje Faru John aharibu hewa na hapo itabidi kusubiri miezi kama 9 hivi.

Sasa hii kwenda mwezini kwako ni kupi tena? Mpaka ufanye booking? Wapi Tampon? PAD?
More Tax for tampon and durex.
Mwanjomwanjo utamjuwa tu, wewe kusafiri unakuona kwa maana sana katika karne hii ambayo dunia ni kijiji?

Tena unakuja na ji TV la nchi 27 Kama accompanied baggage? Kama nchi nyingine wanalitupa kwenye dustbin.

For your information, nimekanyaga "continents" zote za dunia hii na hivi sasa nimeshafanya booking ya moon express na Virgin Galactic na probabilities are very high za kuwa abiria wa mwanzo mwanzo wa kutembelea mwezini.
 
Wewe punguani unakuja kudanganya watu eti tv ya nchi 27 umekuja nayo, ni airline ipo hiyo ilikuruhusu kubwa tv ya nchi 27?

Mnatakiwa muwe mnapima

Dadangu. Kama alicheck in je? Hacheni kubisha ili mradi. Haya ni maswala maana ya kitaifa

Muuulize mleta mada.
 
Kwakweli TRA wa JNIA wanatia aibu , vizawadi wanang'ang'ana kuvitoza ushuru,,, kwakweli hii ni aibu ,,,

Japo mtoa mada umepitiliza kidogo ,eti kipindi cha Kikwete". Hao jamaa wamekuwa wakifanya ivyo tangu kipindi hicho.

"Ongea ukweli,,, usiingize siasa"
 
Ukisimama kuurekebisha mfumo wa ukusanyaji Kodi Tanzania.
Utakuta unatekebisha Mfumo Bepari, Unyonyaji, Ukabaila.

Kodi lazima tulipe lakini lazima kuwepo na Ubinaadamu. Kodi lazima iendane na huduma ya jamii inayotolewa na Serikali.
Kuna nchi nyingi, usipolipa kodi, unaona hata aibu kutokana na kiwango kikubwa cha huduma Serikali inayotoa na jinsi Serikali na wadau wake wanavyowaangalia na kuwajali wananchi wake.

Waafrika hawakimbilii Ulaya bure kwenda kuosha viombo na kipiga deki. Haki za Binaadamu zipo Canada.

TB Joshua, tafadhali tunakuomba badilisha Ushauri wako. Wananchi wetu wanateseka.

Nyie ndio mnawaongoza na kuwashawishi baadhi ya viongozi wetu. Wanawatii ushauri wenu. Pilipili imezidi mdomoni. TB Joshua na Wanaijeria wenzako, hali ni mbaya.

George Bush aliyedharau amri ya Umoja wa Mataifa na kwenda kuivamia Iraq pasipo halali, anasema "Mwenyezi Mungu alimtuma".
Muinjilisti Mmoja Mashuhuri huko Marekani ndio aliyekuwa mshauri wake mkuu. Aibu tupu.

Ewe Mola Tuhifadhi na kuwa Wajinga, na Kutoiona Haki. Utulinde na Viongozi Matapeli wa Kidini. Hakika Waumini Matapeli ndio wameyaangusha na kuyapoteza mataifa yaliyopita.

Afrika Kusini, Wazungu wachache Makaburu enzi ya Ubaguzi wa rangi, walibarikiwa na Viongozi wao wa kidini.

Ewe Mola Muumba, tukomboe kwenye Ujinga, tuwezeshe tuwe na Taifa linalotenda haki.

b1c80b8bba7f00be391a47834e349010.jpg
 
hahahahaaaa..
mazombie kazini..
msuku... kwa hela,weka mbali na watoto, akiona hela mate humdondoka, afisa maduhuli.
 
Hilo sanduku ni sawa kabisa, utakuta huyo alisema hana cha ku declare wakambamba na tv.

Sanduku utafunguwa vipi kama si hivyo?

Ndo nimekuuliza hiyo tivii ilikuwa kwenye hilo sanduku? Tena sijui tivii ya inchi 27...!!!

Huo ni udhalilishaji mtupu.
 
Pengine wapi wewe punguani utapomkuta mtu kabeba ji tv la nchi 27 kusafiri nalo kama accompanied baggage?

Kama mie ndiyo custom officer ningehakikisha siku hiyo hutoki airport na ukitoka unapelekwa kwa psychiatrist akakupime.

Hivi una akili sawasawa ?
Hata nchi 42 unabeba ,, cha kushangaza ni hiyo TV kukaa kwenye bag
 
This woman has serious issues. It doesn't matter whether a carry on or a checked in luggage. We are talking about humiliation

Hey, you have problems.

You are carrying 27" of used TV from Far East all the way to Dar as LG TVs are not available in Dar and you are asked to pay 200K you say you don't have.

First, you rise all suspicious alarms by carrying a huge TV as accompanied baggage.

Second, you are so stupid not to know that TVs are subject to taxation, no matter what.

Next time use your common sense and know that we have LG TV dealers locally and they do not cost that much.

Who, in his right mind buys a used TV and bring it all the way from Singapore to Dar by air as accompanied baggage?

I am asking you, which airline? It seems the question is too hard to be answered.

Besides, you are talking about TV but your picture shows an opened bag. Pathetic.
 
Ndo nimekuuliza hiyo tivii ilikuwa kwenye hilo sanduku? Tena sijui tivii ya inchi 27...!!!

Huo ni udhalilishaji mtupu.
Bro, forget about the woman. Jamaa a alibeba TV mkononi. Her aim is to distort the reality.....27inch is small and can fit into a bigger bag. Though it was in a bag. She checked it in separately
 
Back
Top Bottom