TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers

wanasumbua watu Airport pesa zenyewe wakizikusanya hazionekani zinaenda kutumika kwa mambo ya ajabu hazijengi viwanda wala kuleta maendeleo,wanazitumia kumpatia Lipumba adhoofishe Ukawa,Usumbufu huu upo Dsm Airport pekee kenya Uganda huwakuti wanasumbua watu wanaokuja likizo na zwadi au shopping ya nguo zao binafsi.
 
Wee komaa na kingereza chako.TRA wakikukomalia utaongea tu kiswahili baaada ya kummwagiwa hadi chupi zako chini na kuanza kukudai kodi hata kama zina kinyesi au mikojo! Hata ukisema hizi huwa navaa wanasema hizi ni mpya ila wewe ulizinyea na kuzikojolea ili zionekane za zamni wakati ni mpya tunataka kodi.Hapo ndipo utakuwa mwisho wa hicho kiingereza chako na ndipo utajua tax receipt ni kitu gani.

Tushawajulia hao vijana wako pale airport mkuu.
Ukiwaonyesha wekundu wawili tu kicheko hadi jino la mwisho
Tunafanya hivi ili kuokoa kupotezeana muda
 
Their concocted inventions.....Tanzania has all kinds of homosapiens. The likes of FaizaFoxy

Halafu wewe mleta maada mkenya NAIROBIAN nilishakuonya mara nyingi hili ni jukwaa la watanzania.Si uende kwenu kenya mkaongelee mambo yenu ya ukabila yasiyoisha.
 
Wee komaa na kingereza chako.TRA wakikukomalia utaongea tu kiswahili baaada ya kummwagiwa hadi chupi zako chini na kuanza kukudai kodi hata kama zina kinyesi au mikojo! Hata ukisema hizi huwa navaa wanasema hizi ni mpya ila wewe ulizinyea na kuzikojolea ili zionekane za zamni wakati ni mpya tunataka kodi.Hapo ndipo utakuwa mwisho wa hicho kiingereza chako na ndipo utajua tax receipt ni kitu gani.

Ulianza mwenyewe kwa kujipendekeza kunikwoti kwa Kiingereza.

Sasa kimekushinda umeanza kuja na viroja vingine.

You are so dumb it's not even funny!
 
Halafu wewe mleta maada mkenya NAIROBIAN nilishakuonya mara nyingi hili ni jukwaa la watanzania.Si uende kwenu kenya mkaongelee mambo yenu ya ukabila yasiyoisha.
Dude, take a chill pill. Concentrate on TRA'S shameful act discussion or video. I suppose you were the English master?

Kwetu Kenya hakuna njaa za kijinga hivi za kujua wanawake Airport Heti kutafuta ushuru. Fool

Shame on you
 
Lipa kodi kwa maendeleo ya twaifya lako aaaah This country bhana it is very poor...
 
Ulianza mwenyewe kwa kujipendekeza kunikwoti kwa Kiingereza.

Sasa kimekushinda umeanza kuja na viroja vingine.

You are so dumb it's not even funny!

samahani sikujua naongea na mtu ambaye anajua sana kiingereza sababu anafanya kazi ya kusafisha vinyesi kwenye nyumba za waingereza
 
Anything. Try to fly into Dar with a big luggage. They will ransack your bags. They found me with 6 perfumes and asked me for individual prices. I ended up paying $20 in taxes and these were gifts
Tanzania Zawadi hata ya tshs 500 inalipiwa kodi sasa utawala huu unataka watu wawe wachoyo wakisafiri wasinunue Zawadi wala shopping Nchi hii kila kukicha vioja vinaongezeka zaidi.
 
samahani sikujua naongea na mtu ambaye anajua sana kiingereza sababu anafanya kazi ya kusafisha vinyesi kwenye nyumba za waingereza
Usigeuze kushindwa kwa kuwa matusi. Hakuna cha kuzoa vinyesi. Jibu hoja za uchafu wa TRA airport

Typical cramming machines.. can't make a meaningful sentence or argument.....TRA is filthy rotten and needs overhaul
 
samahani sikujua naongea na mtu ambaye anajua sana kiingereza sababu anafanya kazi ya kusafisha vinyesi kwenye nyumba za waingereza

Unaona sasa jinsi ulivyo zumbukuku?

Ulianza mwenyewe kwa kuandika Kiingereza. Uongo?

Sasa umejikuta huna hoja umeanza viroja.
 
O
Hii kali na udhalilishaji. Begi linasasambuliwa hadharani sasa tumefika pabaya, nakumbuka nilitoka south africa nilinunua simu nimpelekee zawadi mama kilichonipata sikisahau na simu nikaisamehe TRA wamekuwa waporaji
Ooh, pole sana
 
Usigeuze kushindwa kwa kuwa matusi. Hakuna cha kuzoa vinyesi. Jibu hoja za uchafu wa TRA airport

Typical cramming machines.. can't make a meaningful sentence or argument.....TRA is filthy rotten and needs overhaul
Tukipende Kiswahili kama wazungu wanavyojifunza Kiswahili pindi wakiteuliwa kuwa mabalozi Tanzania,tupende cha kwetu kama wachina,waarabu nk wanavyothamini lugha zao, ni vyema tuweke bayani hii Tabia ya kuwafundisha watanzania Uchoyo na ubahili yaani wataogopa kuwanunulia watu Zawadi na shopping binafsi kwa kuogopa kulipia kodi maana ukinunua kiatu dola 50 alafu ukilipie kodi ni bora ungenunua hapa kuliko kwenda kununua huko nje,uchoyo na ubahili na rushwa vinachochewa na TRA Nchi hii vioja havitakwisha.
 
Sizonje tukimwambia anaugua gonjwa hatari la Zika anafura na kufukuza watu kazi!
 
Awamu ya tano ni awamu ya kuwazuia watanzania kuja na Zawadi na kufanya shopping binafsi kwani Zawadi na nguo binafsi ni shiiiiida kodi yake ni hatari kwani ni mara mia ununue mguo kkoo ni nafuu kuliko kununua nguo zako binafsi ulaya kusha upite nazo Airport ya njaa utajuta kuzaliwa.
 
Halafu wewe mleta maada mkenya NAIROBIAN nilishakuonya mara nyingi hili ni jukwaa la watanzania.Si uende kwenu kenya mkaongelee mambo yenu ya ukabila yasiyoisha.

Jamii Forums ni Ya watu wote!
Hata wakenya wanakaribishwa
Hakuna sheria Ya JF inasema ni kwa watz tu
JF sio TRA
 
Tukipende Kiswahili kama wazungu wanavyojifunza Kiswahili pindi wakiteuliwa kuwa mabalozi Tanzania,tupende cha kwetu kama wachina,waarabu nk wanavyothamini lugha zao, ni vyema tuweke bayani hii Tabia ya kuwafundisha watanzania Uchoyo na ubahili yaani wataogopa kuwanunulia watu Zawadi na shopping binafsi kwa kuogopa kulipia kodi maana ukinunua kiatu dola 50 alafu ukilipie kodi ni bora ungenunua hapa kuliko kwenda kununua huko nje,uchoyo na ubahili na rushwa vinachochewa na TRA Nchi hii vioja havitakwisha.
tunaithamini lugha. Sema Kuna visit visit ugumu vinapenda sana kutishia nyau
 
Back
Top Bottom