TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Hey, you have problems.

You are carrying 27" of used TV from Far East all the way to Dar as LG TVs are not available in Dar and you are asked to pay 200K you say you don't have.

First, you rise all suspicious alarms by carrying a huge TV as accompanied baggage.

Second, you are so stupid not to know that TVs are subject to taxation, no matter what.

Next time use your common sense and know that we have LG TV dealers locally and they do not cost that much.

Who, in his right mind buys a used TV and bring it all the way from Singapore to Dar by air as accompanied baggage?

I am asking you, which airline? It seems the question is too hard to be answered.

Besides, you are talking about TV but your picture shows an opened bag. Pathetic.
Old age comes with lot of mental baggage. Spitting your frustration. Go take care of your grand kids....Grandma
 
Bro, forget about the woman. Jamaa a alibeba TV mkononi. Her aim is to distort the reality.....27inch is small and can fit into a bigger bag. Though it was in a bag. She checked it in separately

Mara "kabeba mkononi" mara "she checked it in separately".

Halafu picha uliyoweka haionyeshi hiyo tv.

Wewe kama huna mada usilete uongo hapa. Wengine hatudanganyiki kijinga.
 
Old age comes with lot of mental baggage. Spitting your frustration. Go take care of your grand kids....Grandma

Indeed I am a grand ma and proud to be.

But here you are lying young man.
 
Hao jamaa walitaka nilipie ushuru wa vitabu. Nilibeba 5 novels na vitabu vingine vinne kwaajili ya kazi yangu.
Niliwaambia silipi na kaeni navyo mkitaka
Wakaona aibu wakaniacha
Ila wakati naishia nje nasikia mmoja akidai "kaka tuachie hela Ya chai"
Aibu TRA airport
 
Huyo mleta mada ni muongo hiyo mada ilishaletwa na tukaijadili humu.
 
Indeed I am a grand ma and proud to be.

But here you are lying young man.
Shame on you trying to distort lgitimate issues of national concern. Cursed will be your entire offspring. CCM will go in a matter of time, with your old self. Can't wait to see you then
 
Shame on you trying to distort lgitimate issues of national concern. Cursed will be your entire offspring. CCM will go in a matter of time, with your old self. Can't wait to see you then

Legitimate is to pay taxes and customs officers are making sure you are not carrying any illegal stuff.
 
Huwa wanakera sana..

Ilitokea kwa ndugu yangu mmoja alivyorudi kutoka ughaibuni...

Pale airport wakamfanyia upekuzi, kwenye moja ya mabegi yake wakakuta perfumes.

Yule dada wa TRA akaanza kumuomba moja tena ameshajichagulia kabisa. Akamwambia hizo ni zawadi kwa ndugu na kwa matumizi yangu mwenyewe.

Yule dada alivyoona amenyimwa akamtoza ushuru jamaa pale pale.
 
Porojo hizo.
 
Wanachingasha kinguvu wapate kutangaza mapato ya Nov. Serikali inaongozwa na wash-a-mba na short sighted organs
 
I don't get it.

They want people to pay taxes on what? Personal items like articles of clothing and whatnot?

Like pay taxes for my Polo underwear?

So stupid.
Wale jamaa wa pale Airport wanajulikana. Walizowea sana vya kunyonga sasa mfumo umebadirika hawapati mizoga kwahiyo unaambiwa wana njaa ya ajabu sana. Huo usumbufu wameutengeneza kwa sababu ya njaa. Wale jamaa wote walioko pale wachunguzwe utajiri walionao haufanani nawao.
 
Kwa hiyo jamaa wa TRA alikuwa anashika chupi,gagulo,skin tight,sidiria za huyo mama?

Halafu naona kama ni eneo watu wanapitapita,so wanaona vichupi vya huyo dada (kama vimetoboka,hajafua).

Baadae hizo nguo alizipanga vizuri nani ndani ya begi? Manake naona zimevurugwa haswa!

Kodi inasakwa hadi kwa kushikashika vichupi na sidiria!
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers

Aliyewatuma mbebe TV ni nani,Safirisha kwa meli kama ushuru airport mkubwa
 
Kwa hiyo jamaa wa TRA alikuwa anashika chupi,gagulo,skin tight,sidiria za huyo mama?

Halafu naona kama ni eneo watu wanapitapita,so wanaona vichupi vya huyo dada (kama vimetoboka,hajafua).

Very unseemly!
 
Dawa ukitoka nchi za nje,vitu vyote vipya vitoe kwenye makaratasi vionekane kama used kawaida tu.
 
Back
Top Bottom