TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Kuna mshikaji hapo nyuma kasema alilipia ushuru unyunyu....

Manukato nayo ni ya kulipiwa ushuru?
Kigezo cha kulipia ushuru sio aina ya kitu bali thamani ya kitu. Kwa sheria zetu za Tz kitu chochote chenye thamani kuanzia usd 100 unalipia ushuru hata ikiwa peni perfume underwear n.k mradi afisa ajiridhishe kuwa imefika na kuzidi thamani hiyo japo kuna sheria za msamaha kwa mtanzania aliyetoka kusoma anayerudi nyumbani baada ya kukaa nje kihalali kwa muda fulani (miaka) kabla ya kuanza kulalamika fanyeni utafiti kidogo wa kujua kanuni taratibu na sheria za kulipa ushuru na kama huna muda au mvivu wa kutafuta elimu hiyo basi uliza
Kuna mshikaji hapo nyuma kasema alilipia ushuru unyunyu....

Manukato nayo ni ya kulipiwa ushuru?
Kigezo cha kulipia ushuru sio aina ya kitu bali thamani ya kitu. Kwa sheria zetu za Tz kitu chochote chenye thamani kuanzia usd 100 unalipia ushuru hata ikiwa peni perfume underwear n.k mradi afisa ajiridhishe kuwa imefika na kuzidi thamani hiyo japo kuna sheria za msamaha kwa mtanzania aliyetoka kusoma anayerudi nyumbani baada ya kukaa nje kihalali kwa muda fulani (miaka) kabla ya kuanza kulalamika fanyeni utafiti kidogo wa kujua kanuni taratibu na sheria za kulipa ushuru na kama huna muda au mvivu wa kutafuta elimu hiyo basi uliza kwanza kabla ya kulaumu wakati hujui kwa sab kama kuna tatizo ni kwenye sheria nzima ya kodi sio kwa mfanyakazi wa TRA au Mh Rais sab sheria amezikuta. Kuachiwa na ofisa wa TRA wakati wa Mh Kikwete ni uamuzi wake sio sheria haki au lazima.
 
Hao TRA hapo airport nadhani kunatakiwa kufuatiliwa kwa Karibu. Hili sio suala la Uongo nilikuja Tz na nilikuwa nimekaa nje miezi 11 nakumbuka aliyekuwa ananipekuwa ni mwanaume, anakuta nguo za ndani anapekuwa tu, sijawahi ona hii tabia, sidhani kama ni sahihi mtu kuja nyumbani akashindwa hata kununua nguo za wanawe na ndugu zake jamani, Its too much. nguo na vitu vya biashara vinaeleweka. Acheni chuki unyanyasaji. Ila nachoshangaa kama wako serious hao wanaopita hapo na drugs wanakuja kamatwa nje ya nchi inakuwaje?
Sidhani kama hii dhamana wamepewa na mamlaka husika au ni tabia zao tu.
 
Hapo ndipo ujuwe mleta mada ni muongo. Mada tv! Picha uharo!


Hacha kupoteza topic wewee bibi huyo dada hajabeba tv ni nguo zake wanazimwaga chini au unaona raha kuona chup... za wana wake wenzio?
 
Hiyo haikubaliki kwa kweli. Ni udhalilishaji mkubwa sana huo.

Huko ni kuingilia faragha za watu sasa.

Mtu kama mimi hapo sikawii kuwarushia ngumi za videvuni hao watu aisee.
Ukipigwa usije ukalialia humu.
 
TV iwe moja au 11 inabidi uilipie ushuru.

Dada TRA wanakusanya ushuru lakini je pesa wanayokusanya inakwenda wapi Juzi tu tumekopa bilion 360 Alafu mnatwambia TRA wanavuka lengo kila siku
 
Mwisho wa Siku atawaita ikulu kidangote dangote wasafiri wote wanatumia jknia na kia name kugonga press conference hitimisho litakuwa wale ealikuwa wapiga dili! " let us read number were! Ccm front to front"
 
Hey, you have problems.

You are carrying 27" of used TV from Far East all the way to Dar as LG TVs are not available in Dar and (when) you are asked to pay 200K you say you don't have.

First (Firstly), you rise (raise) all suspicious alarms by carrying a huge TV as accompanied baggage.

Second (Secondly), you are so stupid not to know (that you don't know) that TVs are subject to taxation, no matter what.

Next time use your common sense and know that we have LG TV dealers locally (local LG TV dealers) and they do not cost that much.

Who, in his right mind buys a used TV and bring (brings) it all the way from Singapore to Dar by air as accompanied baggage?

I am asking you, which airline? It seems the question is too hard to be answered(to answer).

Besides, you are talking about (a) TV but your picture shows an opened bag. Pathetic.
🙂
 
Hii kitu inayoitwaFaizaFoxy ni laana kutoka kwa mungu!
 
I don't get it.

They want people to pay taxes on what? Personal items like articles of clothing and whatnot?

Like pay taxes for my Polo underwear?

So stupid.
Maybe you bought those stuff duty free, so they're out there making sure you also pay the duty fee😛
 
li nchi la hovyo!! kama kutapatapa, kiwango cha huyu mfamaji kimevunja rekodi. kodi mpaka vyupi ndani ya mabegi??
 
Wewe punguani unakuja kudanganya watu eti tv ya nchi 27 umekuja nayo, ni airline ipo hiyo ilikuruhusu kubwa tv ya nchi 27?

Mnatakiwa muwe mnapima



Muuulize mleta mada.
Kwa hiyo hiyo ndege alipandia Dar? Au unataka kusema hicho kitv wengine hawakukiona? Kwa taarifa huko alikotoka kuna watu wenye akili, walimuelewa kwamba mtu anapeleka kazawadi kwa familia yake. Shida wewe unawaza kuwa DC mpka common sense umeacha sandukuni. Fecal oral thinking. Hizi kodi mtaondoka nazo 2020, the damage you are causing to common people is immense.
 
Hey, you have problems.

You are carrying 27" of used TV from Far East all the way to Dar as LG TVs are not available in Dar and you are asked to pay 200K you say you don't have.

First, you rise all suspicious alarms by carrying a huge TV as accompanied baggage.

Second, you are so stupid not to know that TVs are subject to taxation, no matter what.

Next time use your common sense and know that we have LG TV dealers locally and they do not cost that much.

Who, in his right mind buys a used TV and bring it all the way from Singapore to Dar by air as accompanied baggage?

I am asking you, which airline? It seems the question is too hard to be answered.

Besides, you are talking about TV but your picture shows an opened bag. Pathetic.
Faiza kweli nimeamini kwanini huwa unarekebisha watu kiswahili na niliwahi kukwambia utakuwa mwalimu wa kiswahili!! Unasema umetembea mabara yote halafu kiingereza hujui kabisa! Basi nadhani huwa unasafiri na mkalimani!!!! Kiingereza gani hichi mrembo! Kweli lugha ya malkia ni shida!!! Hata mtoto wa kindergatten hawezi andika lugha ya kiingereza kibovu kama ulichoandika!!! Kuna umuhimu gani wa kutumia lugha usiyoijua kwa usahihi? Ina maana hata pc au simu unayotumia ilikuwa haikuonyeshi kuna makosa ya grammar? Pumbavu wewe!!!
 
Back
Top Bottom