GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 145
- 166
Habari,
Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze?
Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo.
Suala la mtoto wa maskini kuajiria TRA itakuwa ni ndoto za mchana kweupe, Natamani Raisi Samia angelijua hili arudishe mamlaka kwa tume yua ajira ya serikali.