ajira tra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    TRA hawatoi majina ya walioajiriwa badala yake wanapigiwa simu, hii inaonesha wazi kuna kuajiriwa kwa kujuana

    Habari, Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze? Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo. Suala la mtoto wa...
  2. Midimay

    Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

    Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali. Maswali langu ni: 1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)? 2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi...
  3. Hunteroflove

    Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
  4. sky soldier

    Anuani (P.O. Box) za kutuma barua TRA & TAKUKURU hazipo, Je anuani ipi itumike

    Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
  5. Ushimen

    Nafasi 49 za kazi TRA na TPRI

    Tanzania Revenue Authority (TRA) Jobs June 2021, TRA Vacancies 2021, UTUMISHI TRA Jobs 2021 1. POST TITLE: CUSTOMS ASSISTANT II - 7 POST POST CATEGORY(S): ACCOUNTING AND AUDITING HR & ADMINISTRATION LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To receive documents...
Back
Top Bottom