Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

Hawa viongozi ni wagonjwa wa akili, Kama mmshindwa kufikiria ombeni msaada tuwaainishie vyanzo mbadala vya mapato siyo kuwanyonya wananchi.
 
Kabla hawajafanya marekebisho lazima wamuangalie mtumiaji wa mwisho ataathirika vipi.Vinginevyo kuongeza utitiri wa kodi kutawafanya watumiaji wa sim wapunguze matumizi ya simu.
Kisha wao watakosa makusanyo ya kodi tokea kwa makampuni ya simu.
Wanataka kuyamaliza ibakie TTCL na Nandy.

Wabunge wanachangia nini kwenye pato la hii nchi??
Fyeka vikao vya kipuuzi vya kula posho, vikao viwe conference calls, zoom ONLINE, tuone kama hawatasevu hela za maana. Vikao wanaendeshwa na magari, mafuta, night allowances.etc

Mwigulu kategeka bajeti ya kwanza chali!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Viongozi out of touch with reality -Hivi viongozi hawajui Tsh 3000 ndio bajeti ya mawasiliano ya simu mwezi mzima ya watanzania wengi tu.
Mfumo uliowekwa utazingatia viwango vya mapato ndio maana wameweka range ya sh 10-200. Kwa hiyo wenye kipato kidogo watalipa sh 10 ambayo ni sh 300 kwa mwezi.

Serikali inaendeshwa kwa kodi. Hakuna njia nyingine. Wananchi wote lazima tulipe kodi ili kuiwezesha serikali kutoa huduma mbalimbali.
 
Swali. Kila siku wakiondoa 10 kwenye vicha ya sh 500 utakayo enda kununua utaungaje kifurushi?
 
Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya sh 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha sh 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900.

Hayo yanajiri ktk marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha.
Serikali ina shirikiana na mitandao ya simu kutuhujumu na kutuibia wananchi
 
Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya sh 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha sh 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900.

Hayo yanajiri ktk marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha.
Hawa jamaa nao mbona vimakato vidogo hivyo hebu waambieni waongeze hata kidogo basi 😜!
 
Hawa jamaa nao mbona vimakato vidogo hivyo hebu waambieni waonheze hata kidogo basi 😜!
Vina disturb namna ya kununua kifurushu umepanga kununua kifurushi cha 2000 halafu kabla hujaunga unatumiwa meseji umekatwa tsh 178 salii baki ni 1822. Hapo utaungaje kifurushi? Unalazimika kwenda tena dukani kununua vocha ya 500 ili uunge. So kifurushi cha 2000 siku hiyo unalazimika kutumia 2500
 
Mitandao ya simu watajua tu namna ya kudeal na hiyo changamoto. Mbona vat unalipa unaponunua vocha lakini haiathiri ununuaji wa vifurushi?
 
Vina disturb namna ya kununua kifurushu umepanga kununua kifurushi cha 2000 halafu kabla hujaunga unatumiwa meseji umekatwa tsh 178 salii baki ni 1822. Hapo utaungaje kifurushi? Unalazimika kwenda tena dukani kununua vocha ya 500 ili uunge. So kifurushi cha 2000 siku hiyo unalazimika kutumia 2500
Una akili ndogo sana. Vat unazolipa kwenye vocha au makato ya Tanesco kuna Rea kule na mangine wanakataje? Hawakati kama unavyodhani, vifurushi vita adjust automatically kwenda chini kuacha gape ya wewe kulipia hio tozo.

So utaona kifurushi unanunua vha buku kumne umenunua 600, 400 ni mgawanyo wa makato mengine
 
Back
Top Bottom