TOTO AFRICAN VS YANGA Live

TOTO AFRICAN VS YANGA Live

Sisi tunawapa sapoti Toto, lakini kiukweli sisi tuna ligi yetu ndogo ndani ya ligi kuu, sisi tuna ligi na Azam, Coastal na Mtibwa, na nyie mna ligi yenu na JKT Oljoro, Prison na Kagera Sugar, kwa hiyo sisi hatuhusiki na ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, nyie mna yenu ya timu nne na sisi tuna yetu ya timu nne.

Mkitoka mikoani hususan mkipita kirumba haya maneno hutathubutu kurudia kuyasema.
 
mwamuzi anaongeza dakika za nyongeza hapa anaongeza dakika t. Mbona kiduchu hivi ama ndio mambo ya EPA?
 
toto dk 15 za mwanzo walikuwa na nguvu kweli kipindi cha pili hiki.
 
jamani acheni kubishana leo lazima yanga ishinde kwani hamjui Toto ni tawi la Yanga?

hakuna cha tawi la yanga wala nini,toto wamewagomea yanga toka jana,Wamesema hawataki undugu,na yanga wamesema poa,tupige soka anaelijua zaid atachukua point 3,na matokeo umeyaona yanga kazoa point3 na goli 3,na ameshika nafas ya3,sasa gari limewaka litasimama tukichukua ubingwa.
 
hahahha Masuke kasema hiii"sisi tuna
ligi na Azam, Coastal na Mtibwa, na nyie mna ligi
yenu na JKT Oljoro, Prison na Kagera Sugar, kwa
hiyo sisi hatuhusiki na ligi yenu ndogo ndani ya
ligi kuu," hahahah haya sio maneno yangu kwa hio msinichukie
 
Last edited by a moderator:
Pesa ya EPA inawasaidia sana watani vinginevyo mlikuwa mfungwe nne bila...

Nyie mmekubali kumkabidhi mikoba yooote rage njaa kali, fedha yote ya simba ameielekeza kwenye siasa sasa unategemea nini.
Nakushangaa kamanda ada yako ya uanachama inakwenda kujenga chama huko tabora. hahaha
 
mpira umeisha hongereni wadau wa yanga toto kafunga goli moja yanga wana point 11 sasa na wamepaa hadi nafasi ya tatu wameishuha timu ya kagera
 
Mkitoka mikoani hususan mkipita kirumba haya maneno hutathubutu kurudia kuyasema.
Sana sana mkijitahidi mtakuja kuungana na sisi tucheze ligi ndogo ndani ya ligi, tukiona vipi tunagawa timu mbili mbili sisi tunabaki na Azam na nyie mtatafuta wa kucheza na nyie kwenye ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, Hongereni lakini kufikisha pointi kumi na moja na magoli kumi na moja na manane ya kufungwa.
 
Nyie mmekubali kumkabidhi mikoba yooote rage njaa kali, fedha yote ya simba ameielekeza kwenye siasa sasa unategemea nini.
Nakushangaa kamanda ada yako ya uanachama inakwenda kujenga chama huko tabora. hahaha

Mwita weka siasa pembeni bana
 
Hahaha kumbe ulikuwa unachungulia kama guest najua wewe kilumba utagawa point kwa madogo

mimi na jf hasa majukwaa ya sport na siasa hunikosi ila hutoniona pengine mpaka ni changie..nilikuwa naangalia hawa vijana ambao hata maji ya kunywa hawana sasa wakiangalia jukwaa lilvy nona wanawaza mshiko tu + pesa ya epa
 
hahahha Masuke kasema hiii"sisi tuna
ligi na Azam, Coastal na Mtibwa, na nyie mna ligi
yenu na JKT Oljoro, Prison na Kagera Sugar, kwa
hiyo sisi hatuhusiki na ligi yenu ndogo ndani ya
ligi kuu," hahahah haya sio maneno yangu kwa hio msinichukie

Msimamo wa ligi baada ya mechi hii ukoje labda tuanzie hapo ili uone mnavyojichanganya, hii yote mnawaza kichapo mtakachopata mkiingia kirumba.
 
mpira umeisha hongereni wadau wa yanga toto kafunga goli moja yanga wana point 11 sasa na wamepaa hadi nafasi ya tatu wameishuha timu ya kagera

Watizame table tu juu ndio watajuwa nani wa kwanza. Safarihii mpaka Bank Kuu naogopa itakauka ila bado hawatofika juu.
 
Sana sana mkijitahidi mtakuja kuungana na sisi tucheze ligi ndogo ndani ya ligi, tukiona vipi tunagawa timu mbili mbili sisi tunabaki na Azam na nyie mtatafuta wa kucheza na nyie kwenye ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, Hongereni lakini kufikisha pointi kumi na moja na magoli kumi na moja na manane ya kufungwa.

Thubutu yenu, mwaka jana tunajua mchezo mlioucheza kwa kushirikiana na azam, mwaka huu msahau kabisa hiyo maneno kwani tunawaangalia na kuwafuatilia nyote wawili na swahiba wenu.
 
Back
Top Bottom