TOTO AFRICAN VS YANGA Live

TOTO AFRICAN VS YANGA Live

jamani acheni kubishana leo lazima yanga ishinde kwani hamjui Toto ni tawi la Yanga?
 
Unajua ndoto za alinacha?? Hahah good dreams kaka. Jipe moyo kabla ligi haijaisha . Na msimu huu tunabeba ndoo mapemaa kama huamini muulize Crashwise


Kwani crashwise ndiye mmemkabidhi mikoba ya kamati ya ufundi, sorry i mean mikoba ya marhum sheikh yahya!?
 
Tanzania Nchi yetu kila kukicha Mitangazo ya Pombe mpaka inauzi, Michezo kama Mipira hii isingewekewa Matangazo ya Pombe wala Kamali Haya sio Wenetu tunayotaka waone.
 
hahahahhahahahhahahahhahahahahha nurdin bakariiiii hahahahahhahahahahahahhahahahahahhahahhahahahahha nurdin bakariiii
 
nurdin bakari kajifunga hahaha yanga 2:1 toto dakika ya 55. Hahhahaha totoz nipeni rahaaaaaaaaaaa
 
toto wametulia huyu bonge la mtu mohamedi hussein anawasumbua sana hawa mabeki wa yanga pande la mtu hili .. Hahahha piga haoo pigaa toto nipeni goli mbili tena. Zitupieni katikati ya mabeki wa yanga watamalizia wenyewe hahaha. Totoooo
 
Tanzania Nchi yetu kila kukicha Mitangazo ya Pombe mpaka inauzi, Michezo kama Mipira hii isingewekewa Matangazo ya Pombe wala Kamali Haya sio Wenetu tunayotaka waone.

unamaanisha ni Pazi
 
Last edited by a moderator:
Acha matusi. Usiulize nyama buchani utakimbia hapa matusi ndio nyumbani kwalo. Lets enjoy football my friend.
Thumb up to Nurdin

hii ispokuwa droo basi 3 kwa 2 maana toto wakati mwengine wanapemda sana droo..
 
emaaaaaaaaaaaaaaaa hhahahahah gooooo hahaha offside haaaaaa huyu ema matata sana ahahhahahahahahah emaaaaaa. Hahahah yanga wanataka kufanya mabadiliko sasa hivi
 
shamte ali anaingia anatoka othman ali ..... Jeri tegeke anatoka anaingia devidi
 
Back
Top Bottom