Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
dah!!!!
Haya ngoja tuone dk 90
Mwenzio Crashwise kala kona
Raha utamu mpaka tunabeba ndoodah!!!!
toto mbona wanaukwepa mpira bana ala!!
Mwenzio Crashwise kala kona
Sisi tunawapa sapoti Toto, lakini kiukweli sisi tuna ligi yetu ndogo ndani ya ligi kuu, sisi tuna ligi na Azam, Prison na Kagera Sugar, na nyie mna ligi yenu na JKT Oljoro, Mtibwa na Coastal, kwa hiyo sisi hatuhusiki na ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, nyie mna yenu ya timu nne na sisi tuna yetu ya timu nne.Na bado!
bado goli moja tufunge mahesabu.
hivi kwa hali ilivyo kunamtu alitegemea yanga itafungwa leo...!?
Tatizo lako mtani unapenda uwe unashinda wewe tu j.mosi utagawa pointhivi kwa hali ilivyo kunamtu alitegemea yanga itafungwa leo...!?
bado goli moja tufunge mahesabu.
dah!!!!
Tegete kanipa raha ngoja niongeze glass ya gongo
hivi unatalajia toto washinde, chezea pesa ya epa