TOTO AFRICAN VS YANGA Live

TOTO AFRICAN VS YANGA Live

Definetly.. Nimeona hapo wamama kibao na manguo yao ya ccm chama yanga

Rangi zikivaliwa na chama Yanga ziko bomba sana. Yaani poa ile mbaya!

Lakini zikivaliwa na chama CCM zinaonekana mbendembende vibaya. Kichefuchefu!
 
Inabidi PCCB wachunguze mechi ya Toto dhidi ya Yanga, kwa nini mabilionea wa Yanga wote waende Mwanza?
 
Yeaa Mwita inabidi tuwe na wasiwasi naye maana anashabikia timu ya gamba rangi za timu hii ni za magamba pure na mimi nahisi kichefuchefu nikiona njano na kijami Mwita amepata wapi ujasiri huuu?

Wasiwasi wako umeshajibiwa hapa na mdau. Siku nyingine ujitahidi kuijua historia ya Yanga kabla hujapandisha mzuka.

Rangi zikivaliwa na chama Yanga ziko bomba sana. Yaani poa ile mbaya!

Lakini zikivaliwa na chama CCM zinaonekana mbendembende vibaya. Kichefuchefu!

Nitawaomba ndugu zangu Balantanda na Gang Chomba watoe tuition kwa watu wasioifahamu Yanga.
 
Last edited by a moderator:
Wasiwasi wako umeshajibiwa hapa na mdau. Siku nyingine ujitahidi kuijua historia ya Yanga kabla hujapandisha mzuka.

Nitawaomba ndugu zangu Balantanda na Gang Chomba watoe tuition kwa watu wasioifahamu Yanga.

Achana nao hao.....Kila siku tunawaambia Yanga ni timu kongwe, Yanga imeanza kabla hata ya TANU na mwanae CCM......Yanga imeanza hata kabla ya Simba....Yanga imeanzishwa mwaka 1935 na Simba imeanzishwa mwaka 1936...Ni TANU na CCM ndio wameiga rangi za Yanga......

Young Africans S.C. - Wikipedia, the free encyclopedia

402757_376824605668256_2136453054_n.jpg

Yanga imeanza kabla ya Queens na rangi za njano na kijani na wakati mwingine zikichanganywa na nyeusi tumeanza kuzitumia tangu mwaka 1935 kama Queens walivyoanza kuzitumia jezi za rangi nyekundu na nyeupe mwaka 1936

Sijui hata kama huyo bwana anajua Simba ilivyoanzishwa ilikuwa ikiitwa Queens Simba S.C. - Wikipedia, the free encyclopedia baadae ikaitwa Sunderland then Simba.....
 
Leo kweli ndio nimeamini Bala is always here! kwahiyo huwa unavisit JF kama Guest au leo ndio umepata muda? nimekukumbuka sana leo kabla ya kuona post na mtu mwingine niliyemkumbuka ni Waberoya amekuwa kimyaa mno.
 
Last edited by a moderator:
Yanga Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Haya Ndio matatizo ya Mipira yetu Tanzania sasa hivi Jezi zote mbili si zinaingiliana kuchanganyana ki Macho? wengine wangevua tu Flana au kuvaa Rangi nyengine hata Blue.
binamu na kaka yake wewe una wasi wasi gani wakati watu wanajuana usoni.
 
Achana nao hao.....Kila siku tunawaambia Yanga ni timu kongwe, Yanga imeanza kabla hata ya TANU na mwanae CCM......Yanga imeanza hata kabla ya Simba....Yanga imeanzishwa mwaka 1935 na Simba imeanzishwa mwaka 1936...Ni TANU na CCM ndio wameiga rangi za Yanga......

Young Africans S.C. - Wikipedia, the free encyclopedia

402757_376824605668256_2136453054_n.jpg

Yanga imeanza kabla ya Queens na rangi za njano na kijani na wakati mwingine zikichanganywa na nyeusi tumeanza kuzitumia tangu mwaka 1935 kama Queens walivyoanza kuzitumia jezi za rangi nyekundu na nyeupe mwaka 1936

Sijui hata kama huyo bwana anajua Simba ilivyoanzishwa ilikuwa ikiitwa Queens Simba S.C. - Wikipedia, the free encyclopedia baadae ikaitwa Sunderland then Simba.....
yote kwa yote simba ni kiboko.
 
Tukifungwa twaitwa mashoga,tukishinda twaitwa mafisadi wenye pesa haramu,semeni basi mwataka nini!
 
Back
Top Bottom