TOTO AFRICAN VS YANGA Live

TOTO AFRICAN VS YANGA Live

dah ..timu nyingine kuzishabikia ni ugonjwa wa moyo. Toto wanatuangusha
 
mpira unarushwa kwenda lango la Yanga .... unarushwa tena moh hussein kapiga kichwa mpira ukatoka. Toto wanabadilisha henri mohamedi kaingia na katoka evaresti maganga.
 
alallalala hahah mpira imetoka .. Toto leteni goli bana acheni mzaha
 
Hii thread inahusu Yanga lakini haters kibao!
Inaonyesha jinsi gani Yanga inavyowatia wtu mchecheto! Kama CCM wanavyokalia kuongelea mambo ya M4C ya Chadema!!
 
Hahahhaa kaka ss tunawapa ma updates bana hahaha
 
Tegete kanipa raha ngoja niongeze glass ya gongo
 
Hii thread inahusu Yanga lakini haters kibao!
Inaonyesha jinsi gani Yanga inavyowatia wtu mchecheto! Kama CCM wanavyokalia kuongelea mambo ya M4C ya Chadema!!

duuu inaonekana ulikuwa ushaanza kupagawa baada nurdin kujifunga nini..
 
Hii thread inahusu Yanga lakini haters kibao!
Inaonyesha jinsi gani Yanga inavyowatia wtu mchecheto! Kama CCM wanavyokalia kuongelea mambo ya M4C ya Chadema!!

Haters wanadhani toto inavyowashikishaga adabu wakienda kirumba ni sawa na Yanga, wanasahau kwamba Yanga ni maji marefu sana kwa toto.
 
Huyu Jamaa vipi? anapiga Freekick Kizamani Ma Dotchi kama Mpira wa lailoni kashaufumua na Midole Peku. bend mpira huo mpate la pili.
 
Back
Top Bottom