TOTO AFRICAN VS YANGA Live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TOTO AFRICAN VS YANGA Live

Discussion in 'Sports' started by bemg, Oct 11, 2012.

 1. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mechi itaanza muda si mrefu na vijana wa Toto African wanakila sababu ya kufanya vizuri kwenye uwanja wao wa nyumbani na ikiwezekana kuchukua point 3 muhimu kwa ndugu zao Yanga.
  Kila la kheri Toto African
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Thubutu leo ushindi nje nje
   
 3. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  hahaha mkichapwa kamoja kama kaitaba sijui mtakimbilia wapi
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Afungwi mtu leo
   
 5. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  jipeni moyo.tusubiri dakika 90
   
 6. P

  Pazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,719
  Likes Received: 7,971
  Trophy Points: 280
  Dakika ya 2, Didier Kavumbagu keshafanya mambo
   
 8. F

  Fofader JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Go Yanga go!!!!!!!'
   
 9. P

  Pazi JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
 10. P

  Pazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Haya Ndio matatizo ya Mipira yetu Tanzania sasa hivi Jezi zote mbili si zinaingiliana kuchanganyana ki Macho? wengine wangevua tu Flana au kuvaa Rangi nyengine hata Blue.
   
 11. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,719
  Likes Received: 7,971
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mmetoa bei gani maana soko yanga hamliwezi labda kununua...
   
 13. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,719
  Likes Received: 7,971
  Trophy Points: 280
  Utakuwa unaumwa wewe sio bure, hayo ni macho au vidonda.

  Yanga wamevaa KIJANI
  Toto wamevaa NJANO
   
 14. P

  Pazi JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Wewe wacha kuharibu Jina la Kizaramo sio Panzi ni Pazi ala! hawa Toto wanakimbiakimbia tu wakiendelea hizi Rafu zao namna Yanga wanavyocheza watafungwa nyingi wanatakiwa kutulia.
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  We subiri dakika ya 90, sie tutashangilia ushindi wakati huo
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 17. P

  Pazi JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Toto Strikers pale Akili finyu bwana ushaona kipa kajaa mchambue ufunge yeye anapiga Dotchi ndomana wengi wanabaki kuwa washabiki wa Yanga na Simba tu.
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mtani taratibu nyie mnao cheza soko mbona mnaishia kuuza viloba hapa hapa!!!
   
 19. P

  Pazi JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Sijui Nani ana vidonda vya macho mie au Wewe?

  Yanga Kavaa , KIJANI Na NJANO na NYEKUNDU KIFUANI

  ToTo wamevaa NJANO na Kijani Mgongoni.
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mbuyu Twitte kacheka na nyavu
   
Loading...