Msimamo wa ligi sisi hatujui, lakini sasa tumebadili utaratibu wa ligi ndogo ndani ya ligi kuu inachezwa na timu mbili, kwa hiyo sisi na Azam, nyie tafuteni mwenzenu; hata hivyo mmesota, pts 11 mechi 7, wakati sisi tulishapita huko tuna mechi nne tu. Kuna kila sababu ya kufuta utani wa jadi na nyie.Msimamo wa ligi baada ya mechi hii ukoje labda tuanzie hapo ili uone mnavyojichanganya, hii yote mnawaza kichapo mtakachopata mkiingia kirumba.








