TOTO AFRICAN VS YANGA Live

TOTO AFRICAN VS YANGA Live

emaaaaaaaaaaaaaaaa hhahahahah gooooo hahaha offside haaaaaa huyu ema matata sana ahahhahahahahahah emaaaaaa. Hahahah yanga wanataka kufanya mabadiliko sasa hivi

kwa hiyo lilikua goli la ngapi hilo na huyo ema ni timu gani..
 
toto wametulia huyu bonge la mtu mohamedi hussein anawasumbua sana hawa mabeki wa yanga pande la mtu hili .. Hahahha piga haoo pigaa toto nipeni goli mbili tena. Zitupieni katikati ya mabeki wa yanga watamalizia wenyewe hahaha. Totoooo

Hili jamaa lina goli moja leo nani anabisha?
 
kwa hiyo lilikua goli la ngapi hilo na huyo ema ni timu gani..

Ema ni wa timu ya toto afrika..basi nikiwataja majina nitakuwa nasema na timu zao kaka ili kuepusha mkanganyo si unajua tena ligi yetu hii kazi sana kuwajua wachezaji wote
 
eriki muriro wa toto afrika ameumia anatolewa nje anaingia ....
 
yanga msitegemee mteremko hapa kumbukeni alichofanywa jkt ruvu jumapili hapa so no mteremko leo hata kama
 
Mashabiki wa Yanga naona wanatoka Jasho la Meno na Ufizi.
 
Unajua ndoto za alinacha?? Hahah good dreams kaka. Jipe moyo kabla ligi haijaisha . Na msimu huu tunabeba ndoo mapemaa kama huamini muulize Crashwise

Endeleeni kujifariji.
Mnatumia baiskeli ya fito - tutawakamata na kuwaweka kando kama tulivyofanya 2010-2011!!
 
Ema ni wa timu ya toto afrika..basi nikiwataja majina nitakuwa nasema na timu zao kaka ili kuepusha mkanganyo si unajua tena ligi yetu hii kazi sana kuwajua wachezaji wote

kweli kabisa maana mpaka ni timu mbili zinazoandika jezi zake ya azam na simba basi ila hao wengine duuu yaitaji moyo kuwajua..
 
Back
Top Bottom