Topic za Kurasa za anti Lulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topic za Kurasa za anti Lulu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NGULI, Jan 26, 2012.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ushawahi kusoma ule ukurasa wa mapenzi kwenye magazeti ya udaku zinakuaga na title kama "MUULIZE ANTI LULU" watu wanavyouliza maswali ya kimbuzi kama
  -Anti, mimi ni kijana mtanashati,kuna binti nampenda sana ila ni mke wa mtu nifanyeje??
  -Anti,tangu nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na demu wangu ananilazimisha tufanye nimkubalie??
  -Anti kila nikiamka asubuhi nakuta sehem zangu za siri zimesimama je huu utakua ni ugonjwa?unaitwaje?na tiba yake ipoje??
  -Anti,kuna kaka nampenda sana ila yeye ni mkubwa sana kwangu na mimi bado nasome je naweza kuanza nae mahusiano ya kimapenzi
  -Anti kuna binti nimeachana nawe mwezi wa sita sasa ila bado nampenda na yeye ana mchumba wake sasa je naweza kumuomba arudiane na mimi?maana siwezi kuishi bila yeye
  -Anti kuna nywele zinakua sehemu za siri nizifanyeje?naweza kuzinyoa au hata saloon wanayoa??
   
 2. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Napita ila hiyo ya mwisho Noma,Mx
   
 3. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Anti kunadada mrefu nampenda sana ila tatizo ananikataa eti mimi mfupi kuna dawa ya kunifanya nirefuke?
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,530
  Trophy Points: 280
  na mimi napita njia.
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ahahahahaaaaaaaaaaa...................smile!
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mesmerizing indeed!:happy:
   
 7. A

  ADAMSON Senior Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tehe! tehe! tehe! !!!!!!!!!!!!!!!!!

  mkuu umenichekesha sana huwa siyasomi hayo magazeti

  kumbe yanamambo makubwa hivyo
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  huyo anti lulu kazi anayo
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Halafu na huyo aunt Lulu anajibu upuuzi huu...shit!!
   
 10. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  anti mwenyewe ni yule lulu mcheza maigizo au?
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  you just made my day Nguli.....:lol::lol:
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tatizo siku hizi vijana wanapenda sana ngono ndo maana wanauliza maswali kama hayo, akili zao bado hazijakua
   
 13. Bwisso

  Bwisso Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh makubwa haya
   
 14. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  kuna mwandishi aliwahi andika hivi "dhambi itakayosumbua watu katika siku za mwisho ni dhambi ya uasherati", nadhani huu ndio wakati wenyewe.
   
 15. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hahaha lazima na wewe ushawahi kumuuliza anti lulu,
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaha. . . ngoja na mie nitafute gazeti niwe Aunt Lizzy. .
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  hili la mwisho ati kajibu nini?
   
 18. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,302
  Likes Received: 961
  Trophy Points: 280
  Anti kuna demu anajigonga gonga kwangu kwasababu ya kazi yangu, je anti nimkubaliea au nifanyaje?
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Anti nampenda FF nifanyeje?
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Weka tu thread kule jukwaa la mmu, kwa ajili ya kutoa ushauri kama wa anti Lulu!
   
Loading...