Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Writing style, commenting style and the way wanavyo behave loooks like ni mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweliuyo mtu atakua anajua sana kuchagua majina mazuri
Nakuona unaning'ata na kunipuliza 😊Vp wewe
wapi nimekung'ata wapi nimekupuliza dada angu!Nakuona unaning'ata na kunipuliza 😊
Basi huwa unamkosea sana miss wangu joanah kwa kumfananisha na hao wengineHuwa wananichanganya sana mpaka najikuta kuhisi ni mtu mmoja mwenye ID mbili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwamba umejitetea LKN bado utetezi wako hujanishawishi unless nyie ni mapachaYeah,hata mimi huwa naona hivyo...na nilishawahi kumwambia
The way anajibu sometimes najiona mimi ningejibu exactly kama yeye....yaani sometimes she speaks my mind
Buuuut sio mtu mmoja
wapi nimekung'ata wapi nimekupuliza dada angu!
Pamoja na kwamba umejitetea LKN bado utetezi wako hujanishawishi unless nyie ni mapacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado siamini kama kuna mwanamke anaweza kujiunga JF na kuitumia...humu wote sisi ni madume
Hivi sakayo inaweza ikawa I'd nzuri kweli? sisi kikwetu sakayo ni soli ya rain [emoji152]
Vp wewe
Jaribu kuwafuatilia mkuu..Utakubaliana na mimi kwamba hawa wawili wanafanana in almost everything...Angalia uandishi wao, behavior and their arguments looks similar
Of course, yes!Kumbe imesound kama kujitetea?[emoji134][emoji134]
Ahsante kunisaidia kumuelewesha huyu ndugu yanguWewe huangalii watu wazuri ila unaangalia ID inayovutia lenye jina tamu [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
ambacho hujakijua joanah mstaharabu ana majibu mazuri yanayoendana na Mada ila Khantwe ana gubu mda wote amekaa kishari shariJaribu kuwafuatilia mkuu..Utakubaliana na mimi kwamba hawa wawili wanafanana in almost everything...Angalia uandishi wao, behavior and their arguments looks similar
Sent using Jamii Forums mobile app
una jina tamu bharaa yaani jina tu ilo nshakupa marks 40sikujua kumbe nina kajina katamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]