Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Ohoo au uzee umeanza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kweli
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ohoo au uzee umeanza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Honey moon ipi hiyo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Bundle limekua ghali
Itakua uzee unakuja kwa kasi
Nimekumiss wewe dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, nimekuja kukuchukua twende Kwa mkono [emoji1787]Itakua uzee unakuja kwa kasi
Me sanaaa kipenzi likizo yangu ya mwaka huu naanzia visiwani kwenu kuna dada yangu anaishi huko ananisumbua kuja nije kukaa hata week ila likizo sio leo wala kesho tuombe uhai. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekumiss wewe dada
Kwa Mkono advocate au Kwamkono kule kwetu Handeni?Mkuu, nimekuja kukuchukua twende Kwa mkono [emoji1787]
Ukujeeee jamani. Mimi nikija huko muda hautoshi kabisaMe sanaaa kipenzi likizo yangu ya mwaka huu naanzia visiwani kwenu kuna dada yangu anaishi huko ananisumbua kuja nije kukaa hata week ila likizo sio leo wala kesho tuombe uhai. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamkono Handeni bwana!Kwa Mkono advocate au Kwamkono kule kwetu Handeni?
Twende tuu vijana hawanioni kabisa sasa hiviKwamkono Handeni bwana!
Vijana hawajaona huo uumbaji kweli, haya twende kwamkono basi tukafurahie mandhari nzuri...Twende tuu vijana hawanioni kabisa sasa hivi
Hawanioni yani, twende tukatembelew ndugu wa babaVijana hawajaona huo uumbaji kweli, haya twende kwamkono basi tukafurahie mandhari nzuri...