Top 5 IDs tamu za watoto wa kike

Top 5 IDs tamu za watoto wa kike

Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf

sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza

@Demiss jina tamu sana hili ata utamkaj wake simple sana
joanah hili ndo namba tatu yangu kajina flani hakana mbwembwe kwene utamkaj hopefully ata mmiliki wa jina ata kua mzuri kama jina lake

CUTE Eyes kajina flani hivi katamu mpaka sio poa some time huwa najisahau najikuta nataja tu hili jina kazuri in short na hii ndo namba 4 yangu

Shunie kajina flani kametulia na hili ndo funga kazi langu jina tamu sana

NB: watoto wa kike jitagidini kutafuta majina mazuri mnavojiunga unajua jina tu linakupa hadhi flani asa mwanamke unajiita misheli sijui mishil yaani jina baya ata mbwa yangu siwezi kuipa
Aisee
 
Back
Top Bottom