maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
- Thread starter
- #101
depal ni zuri lakini kwene top 5 yangu siez liweka may be usaba uko
depal ni zuri lakini kwene top 5 yangu siez liweka may be usaba uko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kama mwanaume basi ana gubu la kiwifi wifi
Basi ni mtu mmoja, umeridhika?Pamoja na kwamba umejitetea LKN bado utetezi wako hujanishawishi unless nyie ni mapacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana chura?
Chmura hapa nina uhakika asilimia mia tatuWana chura?
Yaan mm ndo nna jina sweet kuliko wote mana ndo lakwangu kikweliikwelii. Christina..Tina...very sweet.
Wengine humu wana majina ya ajabu sana mfano Numbisa,Mamndenyi nk.Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf
sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza
@Demiss jina tamu sana hili ata utamkaj wake simple sana
joanah hili ndo namba tatu yangu kajina flani hakana mbwembwe kwene utamkaj hopefully ata mmiliki wa jina ata kua mzuri kama jina lake
CUTE Eyes kajina flani hivi katamu mpaka sio poa some time huwa najisahau najikuta nataja tu hili jina kazuri in short na hii ndo namba 4 yangu
Shunie kajina flani kametulia na hili ndo funga kazi langu jina tamu sana
NB: watoto wa kike jitagidini kutafuta majina mazuri mnavojiunga unajua jina tu linakupa hadhi flani asa mwanamke unajiita misheli sijui mishil yaani jina baya ata mbwa yangu siwezi kuipa
Yaan mm ndo nna jina sweet kuliko wote mana ndo lakwangu kikweliikwelii. Christina..Tina...very sweet.
Love you more.
Hey...you good?😂😂😂
Umenitia hekaheka mno walaqhi' mdogo wangu..!!