maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
- Thread starter
- #61
ohoooo
ohoooo
Vp weweAisee
Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf
sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza
@Demiss jina tamu sana hili ata utamkaj wake simple sana
joanah hili ndo namba tatu yangu kajina flani hakana mbwembwe kwene utamkaj hopefully ata mmiliki wa jina ata kua mzuri kama jina lake
CUTE Eyes kajina flani hivi katamu mpaka sio poa some time huwa najisahau najikuta nataja tu hili jina kazuri in short na hii ndo namba 4 yangu
Shunie kajina flani kametulia na hili ndo funga kazi langu jina tamu sana
NB: watoto wa kike jitagidini kutafuta majina mazuri mnavojiunga unajua jina tu linakupa hadhi flani asa mwanamke unajiita misheli sijui mishil yaani jina baya ata mbwa yangu siwezi kuipa
Yaaah ni watu wawili tofauti we huoni ata majina tu, jina moja sumu lingine maziwa(dawa)
uyo mtu atakua anajua sana kuchagua majina mazuriNa usishangae zote hizo ukakuta ni mtu mmoja
trust himFor real?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yaaah ni watu wawili tofauti we huoni ata majina tu, jina moja sumu lingine maziwa(dawa)
hahaha mi sina gundu kiasi hiko mamyUna Gundu kama ID yako
Huko kwako inaonesha kama ni mmoja?
Vp wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu kama mwanaume basi ana gubu la kiwifi wifi
.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kama mwanaume basi ana gubu la kiwifi wifi
Teh teh teh
Kulwa...!!For real?
Huwa wananichanganya sana mpaka najikuta kuhisi ni mtu mmoja mwenye ID mbili tofautiYaaah ni watu wawili tofauti we huoni ata majina tu, jina moja sumu lingine maziwa(dawa)
Writing style, commenting style and the way wanavyo behave loooks like ni mtu mmojaHuko kwako inaonesha kama ni mmoja?