Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,579
- 21,135
Id nyingi za kike humu ni mashushushu, nyie endeleeni kujilengesha tuu[emoji851].
Unforgetable
Unforgetable
Au mashoga...Id nyingi za kike humu ni mashushushu, nyie endeleeni kujilengesha tuu[emoji851].
Unforgetable
Kwan wanawake hawaijui jfHUWA NAPATA MASHAKA SANA NA UWEPO WA WANAWAKE HUMU NDANI WENGI NI WANAUME WANAOTUMIA IDs ZA KIKE
😂 😂 😂Id nyingi za kike humu ni mashushushu, nyie endeleeni kujilengesha tuu[emoji851].
Unforgetable
Ana chura?Tatizo Khantwe ni msukuma tokea Kolomije kitongoji cha Chattle
Mkuu kwani wanawake unawachukuliaje?Mimi bado siamini kama kuna mwanamke anaweza kujiunga JF na kuitumia...humu wote sisi ni madume
Shikamoo babuTatizo Khantwe ni msukuma tokea Kolomije kitongoji cha Chattle
Umesahau "mzigua"Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf
sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza
@Demiss jina tamu sana hili ata utamkaj wake simple sana
joanah hili ndo namba tatu yangu kajina flani hakana mbwembwe kwene utamkaj hopefully ata mmiliki wa jina ata kua mzuri kama jina lake
CUTE Eyes kajina flani hivi katamu mpaka sio poa some time huwa najisahau najikuta nataja tu hili jina kazuri in short na hii ndo namba 4 yangu
Shunie kajina flani kametulia na hili ndo funga kazi langu jina tamu sana
NB: watoto wa kike jitagidini kutafuta majina mazuri mnavojiunga unajua jina tu linakupa hadhi flani asa mwanamke unajiita misheli sijui mishil yaani jina baya ata mbwa yangu siwezi kuipa
Mrembo kuliko wote Jf 😊Good Morning 🌄
Haya notedNa mimi pia 😞
list unaionaje bebe