Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Huku Tabata napenda sana kunywa 40 40 na Kitambaa Cheupe.. Kuna crew ya Ma Djs wakali sana kutoka Pro 24 Djs, hawa Pro24 ni kampuni inayotoa sana vijana katika fani hii ya DJs, Wakali kama Skrach designer, Dj Delvik nk ni zao la Pro 24. Sasa kuna Vichwa ukija Tabata utakutana navyo kama Dj Tics na Dj Micho.
 
DJ micho si yupo south Africa yule?
KUNA SIKU ADAMU MCHOMVU ALIMUALIKA KWENYE KIPINDI CHAKE CHA IJUMAA USIKU, JAMAA ALICHEZA OLD SKULL KALI SANA
ILA BADO YUPO KISS FM
Huyo mzee anajua kweli kweli sio mchezo
 
Saivi kuna kajamaa kapo hapo wasafi kanajua kweli kweli kanakuja juu sana.

Anapigaga beach kidimbwi,
Mbaya sana huyo dogo dj kidyluxy
 
Mkuu mimi naskiza Wasafi FM muda mwingi mpaka usiku wa manane, hata hapa nipo naskiza ko nachokwambia na uhakika nacho tena toka jpili mpaka jana usiku wa manane wanapiga recorded mixes za DJ Delvick tu..

Sio kwamba ni wafanyakazi hewa hapana, Ila fuatilia utagundua kitu..
sio kweli kwasababu mara nyingi delvick akiwa anapiga uwa anaenda insta live na mimi ni mfuatiliaji mzuri kinoma noma
 
Habari za saa wakuu.

Nauliza kwa unyenyekevu kabisa .
Kwa nini mnasema Djs Wa bongo Beatmaching inawashinda ???
Inamaana hawawezi kuset BPM ??
au hawawezi kusoma wave??
au Wave zinadanganya au ??

Sasa ni nini kinachowafanya washindwe ??
Na kwa nini wengine waweze ??
Wakati wote wamesomea ???

Naombeni msaada juu ya hilo.

beatmatching.......
 
sio kweli kwasababu mara nyingi delvick akiwa anapiga uwa anaenda insta live na mimi ni mfuatiliaji mzuri kinoma noma
Usilolijua ni kama usiku wa giza mkuu! Nachokwambia na uhakika nacho na Dj Delvick nawasiliana nae sana na hata mix yake ikiwa inapigwa redioni akauaga kwenye mishe sehemu nyingine tu... Naweza kupa ushahidi wa chats zetu texts za kawaida au telegram.. Huyu Dj Lucky mwenyewe zile mixes zake za olds school zinazopigwa kila jpili huwa anakua off tu na tunachat nae sana huko WhatsApp kwenye group la Tanzania Djs! Ni mara chache sana wanapiga live vipindi vya usiku, Ingia Audiomack utapata mix zake Delvick na za Lucky baadhi zile unazoskia redioni kuanzia Amapiano na HipHop mpaka zina drops zilezile za Wasafi..
 
Back
Top Bottom