Anotherperson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 594
- 650
Dj Summer Tz
Dj Simple Simon
Dj Joe Mfalme
Huyu Simple Simon mtaalam wa kumatch beat kwa uzuri yan
Dj Simple Simon
Dj Joe Mfalme
Huyu Simple Simon mtaalam wa kumatch beat kwa uzuri yan
Wa wapi uyo simple simonDj Summer Tz
Dj Simple Simon
Dj Joe Mfalme
Huyu Simple Simon mtaalam wa kumatch beat kwa uzuri yan
KWA OLD SCHOOL HAO JAMAA NI NOMA1. DJ JD
2. DJ malice
3. DJ 45 King.
KUNA SIKU ADAMU MCHOMVU ALIMUALIKA KWENYE KIPINDI CHAKE CHA IJUMAA USIKU, JAMAA ALICHEZA OLD SKULL KALI SANAHuyo DJ malis ni konki niliwahi msikia atakuwa ni MTU mzima sasa
Nairobi, go to SupremacysoundsWa wapi uyo simple simon
DJ micho si yupo south Africa yule?Huku Tabata napenda sana kunywa 40 40 na Kitambaa Cheupe.. Kuna crew ya Ma Djs wakali sana kutoka Pro 24 Djs, hawa Pro24 ni kampuni inayotoa sana vijana katika fani hii ya DJs, Wakali kama Skrach designer, Dj Delvik nk ni zao la Pro 24. Sasa kuna Vichwa ukija Tabata utakutana navyo kama Dj Tics na Dj Micho.
Huyo mzee anajua kweli kweli sio mchezoKUNA SIKU ADAMU MCHOMVU ALIMUALIKA KWENYE KIPINDI CHAKE CHA IJUMAA USIKU, JAMAA ALICHEZA OLD SKULL KALI SANA
ILA BADO YUPO KISS FM
Hakuna DJs hapo!! Hao ni wapiga muzic wa window media player au jet Audio.Wakuu Mimi huwa siwaelewi kabisa
DJ sinyorita, na yule dj wa diamond tena huyo ndo kabisa ni dj kweli au kajipachika jina?
Cc ROGATH MCHAU
Smart Guy
King Kong III
Eti window media player hahahahHakuna DJs hapo!! Hao ni wapiga muzic wa window media player au jet Audio.
Eti window media player hahahah
Lakini mbona sinyorita anapataga tenda kubwa kubwa ? Au kisa mrembo?
sio mfuatiliaj mzuri wa wasafi fmWasafi FM mara mingi wanacheza recorded mixes...
sio kweli kwasababu mara nyingi delvick akiwa anapiga uwa anaenda insta live na mimi ni mfuatiliaji mzuri kinoma nomaMkuu mimi naskiza Wasafi FM muda mwingi mpaka usiku wa manane, hata hapa nipo naskiza ko nachokwambia na uhakika nacho tena toka jpili mpaka jana usiku wa manane wanapiga recorded mixes za DJ Delvick tu..
Sio kwamba ni wafanyakazi hewa hapana, Ila fuatilia utagundua kitu..
Usilolijua ni kama usiku wa giza mkuu! Nachokwambia na uhakika nacho na Dj Delvick nawasiliana nae sana na hata mix yake ikiwa inapigwa redioni akauaga kwenye mishe sehemu nyingine tu... Naweza kupa ushahidi wa chats zetu texts za kawaida au telegram.. Huyu Dj Lucky mwenyewe zile mixes zake za olds school zinazopigwa kila jpili huwa anakua off tu na tunachat nae sana huko WhatsApp kwenye group la Tanzania Djs! Ni mara chache sana wanapiga live vipindi vya usiku, Ingia Audiomack utapata mix zake Delvick na za Lucky baadhi zile unazoskia redioni kuanzia Amapiano na HipHop mpaka zina drops zilezile za Wasafi..sio kweli kwasababu mara nyingi delvick akiwa anapiga uwa anaenda insta live na mimi ni mfuatiliaji mzuri kinoma noma
Daah nimetokea kumkubali huyu dj kinomanoma....