iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,239
- 7,815
Hakuna aliesema beat-matching ni tatizo kwa DJs wa kibongo! Ila kuna baadhi yao beat-matching ni tatizo ndo wanatumia kuficha huo udhaifu kwa kuscratch! Pia kuna sababu unaweza kuta inachangiwa na controller yenyewe inaweza kua haizoeleki, au kama DJ anaetumia turntable lazima shughuli iwepo sabu turntable kila kitu ni manually mpaka kuset BPM, Cue - point, Key, manual gaining n.k!Habari za saa wakuu.
Nauliza kwa unyenyekevu kabisa .
Kwa nini mnasema Djs Wa bongo Beatmaching inawashinda ???
Inamaana hawawezi kuset BPM ??
au hawawezi kusoma wave??
au Wave zinadanganya au ??
Sasa ni nini kinachowafanya washindwe ??
Na kwa nini wengine waweze ??
Wakati wote wamesomea ???
Naombeni msaada juu ya hilo.
beatmatching.......
Sio hizi mashine za sasahiv unakuta unaload tu nyimbo kwenye software yako ya Serato/Virtual Dj, Recordbox/Djay Pro/Cross DJ /Tractor au Djuced then inaweka auto cue, auto loop, auto gain, auto detect bpm & key, SYNC n.k utaona kila kitu ni automatic tu.. Kutumia turntable ni mziki mwingine kabisa na lazima upige maembe tu hata DJs wachache sana wanaweza tumia hizi turntable hapa nchini labda wale wa zamani kina JD, PQ,BonyLove,John Lyatu, Mafuvu n.k