Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,890
- 7,044
Ha ha ha!! Sawa sawaNi miaka mingi sana sijasikia redio, sasa nina kumbukumbu ya wale djs wangu wa zamani hawa wenu siwajui.
Ha ha ha!! Sawa sawaNi miaka mingi sana sijasikia redio, sasa nina kumbukumbu ya wale djs wangu wa zamani hawa wenu siwajui.
Kwa kweli wanazingua sometime inakuwa kelele.Alafu wengi tunatumia baby scratch & scratch drop tu kwisha habari [emoji23][emoji23] mambo ya scribble scratch, flare scratch, tear, stab, chirp scratches n.k hatuna habari nazo......
U Dj mgumu mazee thus why it's among of the professional job, sabu kuna mashine zingine ni balaa ukipewa unaanza kuangalia kwanza mpangilio wake ila ukizoea unacheza nazo tu kama kuendesha magari ya kila aina..
Namskiza hapa ni DJ Kiddylex anakiwasha kweli kweli! Jamaa anajua sana, kuna yule Delvick jamaa ana Playlist nzuri sana huyu ila shida ipo kwenye ku beatmatch anatumia sana scratch drop lakini inamshinda mara mingi, yaani inamfanya kuonekana kama anajifunza hivi...Kuna dj namsikia Mida hii anakung'uta mikito heavy wasafi fm, anaitwa nani huyu mwana?
Kitu cha Rane, Hizi mashine wengi DJ wa kisasa wanaziogopa mno....Huyu mrembo ni mkali lakini wanamkuza sana hamkuti hata DJ mamy.
Lakini pia anajitahidi kujibrand
Anajua ila nae beat matching ni zero View attachment 1593422
KabisaNamskiza hapa ni DJ Kiddylex anakiwasha kweli kweli! Jamaa anajua sana, kuna yule Delvick jamaa ana Playlist nzuri sana huyu ila shida ipo kwenye ku beatmatch anatumia sana scratch drop lakini inamshinda mara mingi, yaani inamfanya kuonekana kama anajifunza hivi...
Mkuu mimi naskiza Wasafi FM muda mwingi mpaka usiku wa manane, hata hapa nipo naskiza [emoji23][emoji23] ko nachokwambia na uhakika nacho tena toka jpili mpaka jana usiku wa manane wanapiga recorded mixes za DJ Delvick tu..Ukiskia wapi mkuu kweli?
Kwahiyo jamaa ni wafanyakazi hewa?
Yeah mpaka mixes zao ninazo kwema flash huwa narecord saa zingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe
Ha ha ha!!Yeah mpaka mixes zao ninazo kwema flash huwa narecord saa zingine [emoji23]
Kwako we we mwenyewe taja madj wako watatu unaona wako kwenye heat kwa sasa ,uwezo wao mkubwa..
Pia wale ambao ni talented pia na hawana nyota/bahati yaani wapo wapo tu ..
Na pia wale madj ambao ni overrated uwezo wao ni mdogo kuliko wanavyokuzwa ...
Mimi kwa kweli DJ d ommy huwa simuelewi uzuri jamaa anajua kujibrad ndo maana amefika mbali lakini uwezo wake ni kawaida
Tiririka
Hivi kwanini wanaziogopa au sababu ya mtindo wake au gharama ziko vipi fafanuaKitu cha Rane, Hizi mashine wengi DJ wa kisasa wanaziogopa mno....
We sio mtu wa kwanza kusema hiliTanzania hakuna dj mkali kama yule dj scrachi designer wa clouds pale sema wanambania sana dogo yule anajua balaa yan .
innocent dependent ambia bosi yako kumbe mnapiga recordedMkuu mimi naskiza Wasafi FM muda mwingi mpaka usiku wa manane, hata hapa nipo naskiza [emoji23][emoji23] ko nachokwambia na uhakika nacho tena toka jpili mpaka jana usiku wa manane wanapiga recorded mixes za DJ Delvick tu..
Sio kwamba ni wafanyakazi hewa hapana, Ila fuatilia utagundua kitu..
Huyu nadhani ni bora kuliko wote pale yaani ana skills za kupindukia, Kuanzia upangiliaji wa Playlists, scratching, mixing, cutting na Beat matching zilizo kwenda shuleTanzania hakuna dj mkali kama yule dj scrachi designer wa clouds pale sema wanambania sana dogo yule anajua balaa yan .
Yeah! Scratch designer ana skills flani hivi za kipekee hata wenzie pale clouds fm wanalijua hilo hadi watangazaji walishawahi kuliongelea hilo kua scratch designer ana skills flani hivi amazing...Tanzania hakuna dj mkali kama yule dj scrachi designer wa clouds pale sema wanambania sana dogo yule anajua balaa yan .
Hii Rane naona Clouds Djs wanaitumia kwa sasaKitu cha Rane, Hizi mashine wengi DJ wa kisasa wanaziogopa mno....
Halafu huyo d ommy ndo tunaambiwa ni international DJ sasa dah kweli watu sana bahatiSana yani jamaa anagonga ngoma sana nilikuwa tips pale kama 3weeks ago kulikuwa na kama exhibition fulani aligonga ngoma alafu yakaingia hayo madj domy sijui hamna kitu yan unaona kabisa tofauti ya uwezo
Amelewa huyu mshikeniiDj baunsa enzi hizoo bukoba
Halafu huyo d ommy ndo tunaambiwa ni international DJ sasa dah kweli watu sana bahati