Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Kwangu mm ukizungunzia Dj Mkali huwa siwazi zaidi ya DJ John Dillinga Matlou au DJ JD au they call him Everlasting DJ lkn wengina wanamwita Dj of the past, present and the future.

Sijaanza kumjua leo wala jana, nimemjua kwenye 90's lkn amekuwa akibadilika kulingana na mazingira na of coz ndie DJ ambaye ameweza kufanya kazi ya UDj ikaonekana kama kazi zingine na si kazi ya kihuni kama ambavyo awali ilichukuliwa na wengi hasa wazazi.

Kwa nini nam-rate kama DJ wangu mkali muda wote;

1. Anauwezo mkubwa wa kufanya Radio DJ, Club DJ as well as Video DJ lkn hasa amebobea kwny Radio na Club, amepagawisha mashabiki katika nyanja hizo zaidi ya miaka 20 sasa bila dropping.

2. Anauwezo mkubwa wa kuwapagawisha mashabiki kwa ad-lip zake wakati huo akiwa anafanya michezo mingine ya DJying kama cut, loop, flangers, reversing, scratching, beat match echoes na hata kuwaimbisha mashabiki sambamba na yeye akiwa anaimba. Vitu hivi ni nadra na nadhani hakuna DJ ambaye anaweza mambo hayo hadi sasa.

3. Ana kiwango kikubwa cha ubunifu katika kazi yake, DJ ni km professionals nyingine, unapewa ABC's wewe una-create vingine kwa misingi ya taaluma hiyo....mfano katika majina ya vipindi vyake vya radio, majina yalikuwa unique na mazuri sana, eg John 14-16, The heat, Love 101, The Rock, Mtaa wa Mangona etc....!

Ni Dj ambaye amepiga club zote kali Tanzania zilizowahi kuvuma aidha kuwa guest DJ au ndo host DJ, ukiachili kwenye Radio, from Radio One, East Africa Radio,Uhuru, Kiss Fm, Clouds Fm, E fm, Wasafi etc ambako nako amepiga kama host au guest DJ.

Kwa upande wa mix tapes alizotoa nakumbuka kulikuwa na Tapes na CD zinaitwa DJ JD Bongo explosion Vol. 1 to 20 hivi so ni Dj ambaye pia amepromote Bongo flavour kwa kiasi kikubwa sana... watu kama wagosi wa kaya ndiye yy aliwaibua nakumbuka na ngoma yao ya wauguzi, kuna watu kama Yakuza Mobb, University Corner hawa wote walifanikiwa kuwa chart toppers kwa sababu ya DJ JD. I salute you John!!

Kwa sasa ametambua kuwa kuna uhitaji mkubwa wa muziki wa zamani old skul, alichoamua kufanya ni ku-establish hicho kitu kwenye club yake ya The legends and the program is doing much well. Kama kwamba haitoshi ameanza kupambanisha old skul na new skul so vitu viwili unaweza vipata sehemu moja na uka-enjoy.

Conclusion
Ukizingumzia ubora wa DJ zungumzia kwa mapana Dj katika nyanja zote, from kuinua muziki iwe local or inter'l, Club Djying, Radio and TV DJying. Producing mix tapes, organizing artist kufanya kazi ya pamoja etc... kwa sasa maDj wanaotamba hapa mjini wengi wanauwezo wa kufanya jambo moja au mawili mengine hawana uwezo nayo aidha kwa kukosa ubunifu au kubweteka wakiamini kwamba kazi hiyo inaishia pale walipofikia wao....

[emoji120][emoji120]
 
Wewe si umesema tutaje tunaowakubali??..unasema sio mkali kivile wewe kama nani?..

Haya mambo ni subjective..D Ommy kwa upande wangu anajua
Mbona makasiriko mkuu kwani nimekubishia?
Mimi si nimeongezea just chat tu
Ulipaswa kunipinga kwa Ku sema kwanini unaona yuko vizuri..!
 
Kwangu mm ukizungunzia Dj Mkali huwa siwazi zaidi ya DJ John Dillinga Matlou au DJ JD au they call him Everlasting DJ.

sijaanza kumjua leo wala jana,nimemjua kwenye 90's lkn amekuwa akibadilika kulingana na mazingira na of coz ndie DJ ambaye ameweza kufanya kazi ya UDj ikaonekana kama kazi zingine na si kazi ya kihuni kama ambavyo awali ilichukuliwa.

Kwa nini nam-rate kama DJ wangu mkali muda wote;

1. Anauqezo mkubwa wa kufanya Radio DJ, Club dj as well as Video DJ lkn hasa amebobe kwny Radio na Club, amepagawisha mashabiki katika nyanja hizo zaidi ya miaka 12 bila dropping.

2. Anauwezo mkubwa wa kuwapagawisha mashabiki kwa ad-lip zake wakati huo akiwa anafanya michezo mingine ya DJ kana cut, loop, flangers, reserving, scratching, beat match echoes na hata kuwainbisha mashabiki sambamba na yeye akiwa anaimba. Vitu hivi ni nadra na nadhani hakuna DJ ambaye anaweza hadi sasa.

3. Ana kiwango kikubwa cha ubunifu katika kazi yake, DJ ni km professionals nyingine za arts, unapewa ABC's wewe una-create vingine kwa misingi ya taaluma hiyo....mfano katika majina ya vipindi vyake vya radio,majina yalikuwa unique na mazuri sana, eg John 14-16, The heat, Love 101, The Rock etc....!

Ni Dj ambaye amepiga club zote kali Tanzania zilizowahi kuvuma aidha kuwa guest DJ au ndo host DJ, ukiachili kwenye Radio, from Radio One, East Africa Radio,Uhuru, Kiss Fm, Clouds Fm, E fm, Wasafi etc ambako nako amepiga kama host au guest DJ.

Kwa upande wa mix tapes alizotoa nakumbuka kulikuwa na Tapes na CD zinaitwa DJ JD Bongo explosion Vol. 1 to 20 hivi so ni Dj ambaye pia amepromote Bongo flavour kwa kiasi kikubwa sana... watu kama wagosi wa kaya ndiye yy aliwaibua nakumbuka na ngoma yao ya wauguzi,kuna watu kama Yakuza Mobb, University Corner hawa wote walifanikiwa kuwa chart toppers kwa sababu ya DJ JD

Kwa sasa ametambua kuwa kuna uhitaji mkubwa wa muziki wa zamani old skul,alichoamua kufanya ni ku-establish hicho kitu kwenye club yake ya The legends and the program doing much well. Kama kwamba haitoshi ameanza kuoambanisha old skul na new skul so vitu viwili unaweza vipata sehemu moja na uka-enjoy.

Conclusion
Ukizingumzia ubora wa DJ zungumzia kwa mapana Dj katika nyanja zote, from kuinua muziki iwe local or inter'l, Club Djying, Radio and TV DJying. Producing mix tapes, organizing artist kufanya kazi ya pamoja etc... kwa sasa maDj wanaotamba hapa mjini wengi wanauwezo wa kufanya jambo moja au mawili mengine hawana uwezo nayo aidha kwa kukosa ubunifu au kubweteka wakiamini kwamba kazi hiyo inaishia pale walipofikia wao....

[emoji120][emoji120]
Ingekuwa ni essay ungekuwa na A
 
Bila THE CRUISE, alikuwa anaisimamisha East Africa nzima,jamaa anajua sana tu

Huyo DJ Tass bado yupo?
Kuna watu wamezimeza controller kichwani yaani wanazichezea kama anamchezea dem wake
Daah! Jamaa si alikua anapiga radio Magic FM kipindi cha Kwetu Fleva saa 2 mpaka 5 usiku hivi, dah jamaa ana skills sijui kama bado yupo maana Magic FM sizipati frequency zao hapa Mbeya..
 
Nilichogundua madj wengi bongo scratch inaficha udhaifu wao wa beat matching yaani beat per minute..ukiifahamu hiyo vizuri.
Utaweza kupiga session yako nzima bila scratch hata kidogo na watu wakaelewa
BPM ni tamu inaonesha ufundi wako ulipo
Alafu wengi tunatumia baby scratch & scratch drop tu kwisha habari [emoji23][emoji23] mambo ya scribble scratch, flare scratch, tear, stab, chirp scratches n.k hatuna habari nazo......

U Dj mgumu mazee thus why it's among of the professional job, sabu kuna mashine zingine ni balaa ukipewa unaanza kuangalia kwanza mpangilio wake ila ukizoea unacheza nazo tu kama kuendesha magari ya kila aina..
 
Back
Top Bottom