Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Wakenya ama watoto wetu hawajifunzi lugha nyingi ili wawashinde Watanzania, ila uwezo wa kuongea lugha kadhaa unasaidia sana kimaisha haswa kisasa.
- Kampuni nyingi multi-national huwapa kipaombele wenye uwezo wa kuongea lugha kadhaa za kimataifa
- Utafiti wa kisayansi umebainisha kuwa kujifunza lugha kadhaa kunasaidia kiakili, ka-Goole sina muda huo
Ukiweza kama unafahamu Kingereza soma hapa 10 Benefits of Learning a Second Language — PsyBlog


Wewe hebu acha porojo,

Hao watoto wa kikenya wanajua lugha ngapi?

Kingereza ndio hicho mko daraja la "competent". Kiswahili, sidhani hata asilimia 30 mnafikisha. Labda kikikuyu.

Ukiongea hadithi kama hizi uwe unaleta na ushahidi usiopingika, sio vijiblogu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Fomu kuandikwa kwenye lugha ya Kingereza inawezekana ili kuwafikia wengi, lakini lugha kukubalika kisheria kama lugha rasmi hiyo ni tofauti na ndio nazungumza kuhusu. Nyie Kingereza kimetumika hadi kwenye noti ama hela za nchi.


Sasa wewe Mkenya mwenye akili mbovu, utamjazishaje fomu za benki kwa kiingereza zinazomuhitaji aweke sahihi yake kama hiyo lugha haikubaliki kisheria?

Mbona unaleta ubishi kwa vitu usivyovijua?

toka nje ya Mathare, zunguka uone mambo yanavyofanyika duniani, GUGO haiwezi kukusaidia kupata majibu yote, itumie kama sehemu tu ya maarifa, sio alfa na omega ya kila kitu.

Sasa nimekuwekea hapo kadi ya kuishi japani ya kiingereza, kwa nini hawajaiandika kikikuyu au kirusi?wameandika kiingereza kwa kuwa sheria za nchi yao zimeridhia itumike kama lugha rasmi mbadala wa Kijapani.

Hivyo ndivyo Kiingereza kinavyotumika kwenye nchi zetu maskini.

Nchi pekee zinazotumia kiingereza kama lugha zao za kwanza ni visiwa vya Caribbean, ndio maana hawafanyi huu upuuzi wa IELTS kwa kuwa Kiingereza ni lugha yao ya kwanza,ukiachilia mbali lugha za asili.

Ukikosea kubalikurekebishika, sio kuleta ubishi usio na mwanzo wala mwisho.

hicho kilisti chako uchwara,ni sawa na kupanga nchi zinazoongea kichina Africa,utapata maoni ya wachache wenye uwezo huo,hiyo haimaanishi hiyo ndio picha halisi ya nchi nzima.

Wenye lugha yao wanajua hayo vizuri sana, ndio maana mtu kutoka Kenya akitaka kutia maguu kusoma kwabibi, wanamkalisha chini afanye IELTS,hawasikilizi porojo nyengine.
 
We can make Tanzania be among the best English speaking countries in Africa if we teach English and use it effectively in our daily activities. It goes without saying that English as a language is prerequisite in the world.

There are many languages which are currently equally important as is English: Chinese, Arabic, French and the list goes on.
We have more to learn than just English.
 
Chetu ndio kipi maana hata Kiswahili ambacho kilitokana na mwarabu bado sio chetu, labda nijivunie lugha yangu ya asili Kikikuyu.
Zungumza Kiswahili kwa mwarabu anaezungumza Kiarabu tu kama mtaelewana. Kiswahili kimetokana na muunganiko wa maneno ya kibantu, kireno, Kiarabu, Kiingereza na Kijerumani.
 
tatizo lako wewe ni utanzania, kitu chochote chenye chembe chembe ya utanzania lazima ukosoe tu..!!!

Inaitwa superiority complex, mtu hudhani au kuamini ana uwezo kuliko fulani kiasi cha kushindwa kuamini kuwa kuna chochote asichoelewa ambacho huyo anaemdhania hana uwezo anakiweza au kukijua. Hata hao wazungu wanaojaribu kuwaiga/impress, wanalijua hilo
 
Jadili hoja, wacha sideshow, tatizo lenu mkilemewa hoja mnaanza kujificha nyuma ya nchi ili mpate sympathy kutoka kwa wenzenu. Fuatilia hii mada utaona hata kuna Watanzania wanaukubali huu ukweli. Kiswahili nakipenda, na huwa nahamasisha watoto wangu kukitumia pia pamoja na lugha zingine wanazoweza, lakini tusilazimishe lugha kwa kutumia upotovu na uwongo wa kubadilisha historia.

Uongo ni upi? Ni historia ipi iliyobadiloshwa?
 
Tanzania itself has failed to embrace Swahili in fullness. Go through your documentations such as tenders, contracts, laws etc are all written in English.

Whats the problem with that if our intention is to communicate with all groups of people?
 
Kuna Mtanzania amenirushia vijimaneno kwenye thread nyingine, ila badala ya kuandika kwa Kiswahili amelazimika kuchakachua, nairusha hapa kama changamoto kwa wale mnaodai Kiswahili kimejitosheleza, muitafsiri bila kuchakachua na mkishindwa mbaki kimya bila ubishi zaidi.

Hii hapa

So whats your point exactly?
 
Kwani English ndio nini???????????????????????
Hakuna kitu kibaya kama kutawaliwa ki fikra...
Kila kizuri cha mzungu...
Kwa nini tusiwe na fahari na kimatumbi chetu?????????????????????????????
 
Whats the problem with that if our intention is to communicate with all groups of people?

Watu wanasahahu kuwa lugha ni njia tu ya mawasiliano...wala siyo big deal kama wanavyotaka tuamini...ndio maana hata mzungu akija bongo anajifunza kimatumbi...
 
TOEFL inafanyishwa non-native English language speakers, jua tofauti wacha uzembe.

Tofauti ni ipi, kati ya english speaker na native english speaker? mimi siijui embu nifafanulie kama ukiweza!
 
We can make Tanzania be among the best English speaking countries in Africa if we teach English and use it effectively in our daily activities. It goes without saying that English as a language is prerequisite in the world.
be patriotic! do you think if you speak English you never die?
 
Tuanze tu na jina Swahili, The word Swahili itself is derived from Arabic Sawahili سواحلي which is plural for ساحل meaning [Language] of the Coast.
Hii ni issue tumejadili sana humu na Wabongo mmezidi kung'eng'ania kwamba Kiswahili ni lugha yenu ya asili, wakati chenyewe kimejengwa na maneno mengi ya msingi ya Kiarabu. Yaani kawaida inafahamika lugha hukopa maneno kutoka lugha zingine, lakini Kiswahili kimekopa maneno hata ya msingi kama majira, siku, herufi na kadhalika. Kimekopa hadi hata jina lake..Swahili


Swahili is a language that fuses African Bantu with Arabic. Arab sailors and traders have established links and ties with East Africa for centuries, their language strongly merged with the local language to produce a creole derivative.The word Swahili itself is derived from Arabic Sawahili سواحلي which is plural for ساحل meaning [Language] of the Coast. This article gives some examples of Arabic words still in today's Swahili.Here are some words. [TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]hatari[/TD]
[TD]خطر[/TD]
[TD]Danger. Also the title of a 1962 movie starring John Wayne, set in Africa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Safari[/TD]
[TD]سفر[/TD]
[TD]Travel. Also: trip[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mahali[/TD]
[TD]محل[/TD]
[TD]Place[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]vitabu[/TD]
[TD]كتاب[/TD]
[TD]Book[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]msumari[/TD]
[TD]مسمار[/TD]
[TD]Nail[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kata[/TD]
[TD]قطع[/TD]
[TD]Cut, chop[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]habari[/TD]
[TD]خبر[/TD]
[TD]news[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]huru[/TD]
[TD]حر[/TD]
[TD]free[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]dhamiri[/TD]
[TD]ضمير[/TD]
[TD]conscience[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kamusi[/TD]
[TD]قاموس[/TD]
[TD]dictionary[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]baridi[/TD]
[TD]بارد[/TD]
[TD]cold[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]samahani[/TD]
[TD]سامحني[/TD]
[TD]forgive me, excuse me[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rafiki[/TD]
[TD]رفيق[/TD]
[TD]companion, friend[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tafadhali[/TD]
[TD]تفضل[/TD]
[TD]please[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]furahi[/TD]
[TD]فرح[/TD]
[TD]happy[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Time

The terms for time are strongly influenced by Arabic. Many of it taken by the prayer times of Islam.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]asubuhi[/TD]
[TD]صبح[/TD]
[TD]morning[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]dakika[/TD]
[TD]دقيقة[/TD]
[TD]minute[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]saa[/TD]
[TD]ساعة[/TD]
[TD]hour[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]wakati[/TD]
[TD]وقت[/TD]
[TD]time[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]alasri[/TD]
[TD]العصر[/TD]
[TD]late afternoon[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]magharibi[/TD]
[TD]المغرب[/TD]
[TD]sunset[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]alfajiri[/TD]
[TD]الفجر[/TD]
[TD]dawn[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]karne[/TD]
[TD]قرن[/TD]
[TD]century[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Swahili names for the first five days of the week all start with Juma, then the order of the day of the week, Saturday being the first day of the week. Jumaa is derived from the Arabic word جمعة which means Friday, as well as "week. Only two days of the week got the Arabic names:[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]alkhamisi[/TD]
[TD]الخميس[/TD]
[TD]Thursday[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ijumaa[/TD]
[TD]الجمعة[/TD]
[TD]Friday[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Animal Names

Animal names are all native African Bantu (e.g. simba lion). However, there are a few exceptions.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Tausi[/TD]
[TD]طاوس[/TD]
[TD]Peacock, being non-native to Africa, it took the Arabic name, which in turn took it from Persian.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Numbers

The number system is also heavily Arabic, although not exclusively so.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]nusu[/TD]
[TD]نص[/TD]
[TD]Half. The proper classical Arabic word is نصف nisf. In many present day dialects it is "nus", like in Swahili.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]robo[/TD]
[TD]ربع[/TD]
[TD]Quarter[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sita[/TD]
[TD]ستة[/TD]
[TD]6[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]saba[/TD]
[TD]سبعة[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tisa[/TD]
[TD]تسعة[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ishrini[/TD]
[TD]عشرين[/TD]
[TD]20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]thalathini[/TD]
[TD]ثلاثين[/TD]
[TD]30[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]arubaini[/TD]
[TD]أربعين[/TD]
[TD]40[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hamsini[/TD]
[TD]خمسين[/TD]
[TD]50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sitini[/TD]
[TD]ستين[/TD]
[TD]60[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sabini[/TD]
[TD]سبعين[/TD]
[TD]70[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]thamanini[/TD]
[TD]ثمانين[/TD]
[TD]80[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tisini[/TD]
[TD]تسعين[/TD]
[TD]90[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mia[/TD]
[TD]مئة[/TD]
[TD]100. The middle letter in classical Arabic is Hamza, however, in present day dialects, like Swahili, it is a Y sound.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]elfu[/TD]
[TD]ألف[/TD]
[TD]1000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

List of Swahili Words of Arabic Origin | The Baheyeldin Dynasty
Kihispania na Kiitaliano ni lugha zilizokopa maneno kutoka Kwenye Kilatini kuliko hata kiswahili kilivyokopa maneno kwa kiarabu lakini hakuna mtu aliyesimama kifua mbele na kusema Kihispania. Hoja yako hata waarabu wenyewe watakushangaa ukisema kiswahili ni lugha ya waarabu.
 
my friend kibona, my college friend, nice to meet you here! knowing english does not mean that we are slaves, nowadays people around the world r studying chinese language so that they can interact with such a huge population of the fastest growing economy. we have to blame our leaders for this poor english of many tanzanians. those who got educated in those years back are very good english speakers, take for example mr Mkapa our former president, he is the most fluent english speaker of all the presidents of any country in east africa. I remember one journalist dared even to say if you hear him speaking from next door you can't believe that he is a Tanzanian until when you see him face to face. So we have to emphasize our people to learn english so that e can interact with other people world wide.
I'm happy to meet you also. My problem is not to learn other languages English being one of them, but I don't expect Tanzania as a nation to be fluent in English even though some exceptions are possible. You can find the best English speaker in Tanzania but its unfair to expect a Swahili speaking country be included in a list of English speaking countries. I know Tanzania is one of Anglo speaking countries but this is more political than a reality because majority of Tanzanians do not speak English.
On the other hand its senseless to have a research that will come with ranking African countries in terms of English speaking fluency because at the international level people need to communicate only and fluency does not matter. Unless your on academic affairs otherwise you don't have to worry about fluency. Its only the inferiority complex that makes Africans busy ranking themselves in terms of English fluency, it does not happen in Europe neither does it happen in Asia and the Americas.
 
Fahamu hatuongei Kingereza ili tupendwe na Wazungu, ila kwa ajili ya kuwasiliana maana kina uwezo mkubwa zaidi ya Kiswahili. Ni kama jinsi unavyovaa suti na tai za Waingereza ukiingia ofisini, maana zinapendeza zaidi ya vitenge vya Kiafrika.

lugha ni kwa ajili ya mawasiliano lakini si mashindano kama ninavyoyaona kwa waafrika, huko ulaya hata sisi tumeenda wazungu hawana shida hata ukiongea broken english anajua it is not ur first language lakini nenda kwa mbantu utafikiri hiyo lugha ni yake na madharau juu.
 
Back
Top Bottom