Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Chetu ndio kipi maana hata Kiswahili ambacho kilitokana na mwarabu bado sio chetu, labda nijivunie lugha yangu ya asili Kikikuyu.

Swahili is a bantu language and very closer to Kikuyu than to Arabic in terms of grammar and structure. The only thing arabic in Swahili are borrowed words. Hey any language borrows words.
 
Tuanze tu na jina Swahili, The word Swahili itself is derived from Arabic Sawahili سواحلي which is plural for ساحل meaning [Language] of the Coast.
Hii ni issue tumejadili sana humu na Wabongo mmezidi kung'eng'ania kwamba Kiswahili ni lugha yenu ya asili, wakati chenyewe kimejengwa na maneno mengi ya msingi ya Kiarabu. Yaani kawaida inafahamika lugha hukopa maneno kutoka lugha zingine, lakini Kiswahili kimekopa maneno hata ya msingi kama majira, siku, herufi na kadhalika. Kimekopa hadi hata jina lake..Swahili


Swahili is a language that fuses African Bantu with Arabic. Arab sailors and traders have established links and ties with East Africa for centuries, their language strongly merged with the local language to produce a creole derivative.The word Swahili itself is derived from Arabic Sawahili سواحلي which is plural for ساحل meaning [Language] of the Coast. This article gives some examples of Arabic words still in today's Swahili.Here are some words. [TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]hatari[/TD]
[TD]خطر[/TD]
[TD]Danger. Also the title of a 1962 movie starring John Wayne, set in Africa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Safari[/TD]
[TD]سفر[/TD]
[TD]Travel. Also: trip[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mahali[/TD]
[TD]محل[/TD]
[TD]Place[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]vitabu[/TD]
[TD]كتاب[/TD]
[TD]Book[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]msumari[/TD]
[TD]مسمار[/TD]
[TD]Nail[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kata[/TD]
[TD]قطع[/TD]
[TD]Cut, chop[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]habari[/TD]
[TD]خبر[/TD]
[TD]news[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]huru[/TD]
[TD]حر[/TD]
[TD]free[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]dhamiri[/TD]
[TD]ضمير[/TD]
[TD]conscience[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kamusi[/TD]
[TD]قاموس[/TD]
[TD]dictionary[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]baridi[/TD]
[TD]بارد[/TD]
[TD]cold[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]samahani[/TD]
[TD]سامحني[/TD]
[TD]forgive me, excuse me[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rafiki[/TD]
[TD]رفيق[/TD]
[TD]companion, friend[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tafadhali[/TD]
[TD]تفضل[/TD]
[TD]please[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]furahi[/TD]
[TD]فرح[/TD]
[TD]happy[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]Time[/h]The terms for time are strongly influenced by Arabic. Many of it taken by the prayer times of Islam.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]asubuhi[/TD]
[TD]صبح[/TD]
[TD]morning[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]dakika[/TD]
[TD]دقيقة[/TD]
[TD]minute[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]saa[/TD]
[TD]ساعة[/TD]
[TD]hour[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]wakati[/TD]
[TD]وقت[/TD]
[TD]time[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]alasri[/TD]
[TD]العصر[/TD]
[TD]late afternoon[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]magharibi[/TD]
[TD]المغرب[/TD]
[TD]sunset[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]alfajiri[/TD]
[TD]الفجر[/TD]
[TD]dawn[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]karne[/TD]
[TD]قرن[/TD]
[TD]century[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Swahili names for the first five days of the week all start with Juma, then the order of the day of the week, Saturday being the first day of the week. Jumaa is derived from the Arabic word جمعة which means Friday, as well as "week. Only two days of the week got the Arabic names:[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]alkhamisi[/TD]
[TD]الخميس[/TD]
[TD]Thursday[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ijumaa[/TD]
[TD]الجمعة[/TD]
[TD]Friday[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]Animal Names[/h]Animal names are all native African Bantu (e.g. simba lion). However, there are a few exceptions.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Tausi[/TD]
[TD]طاوس[/TD]
[TD]Peacock, being non-native to Africa, it took the Arabic name, which in turn took it from Persian.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=2]Numbers[/h]The number system is also heavily Arabic, although not exclusively so.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]nusu[/TD]
[TD]نص[/TD]
[TD]Half. The proper classical Arabic word is نصف nisf. In many present day dialects it is "nus", like in Swahili.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]robo[/TD]
[TD]ربع[/TD]
[TD]Quarter[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sita[/TD]
[TD]ستة[/TD]
[TD]6[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]saba[/TD]
[TD]سبعة[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tisa[/TD]
[TD]تسعة[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ishrini[/TD]
[TD]عشرين[/TD]
[TD]20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]thalathini[/TD]
[TD]ثلاثين[/TD]
[TD]30[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]arubaini[/TD]
[TD]أربعين[/TD]
[TD]40[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hamsini[/TD]
[TD]خمسين[/TD]
[TD]50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sitini[/TD]
[TD]ستين[/TD]
[TD]60[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sabini[/TD]
[TD]سبعين[/TD]
[TD]70[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]thamanini[/TD]
[TD]ثمانين[/TD]
[TD]80[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tisini[/TD]
[TD]تسعين[/TD]
[TD]90[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mia[/TD]
[TD]مئة[/TD]
[TD]100. The middle letter in classical Arabic is Hamza, however, in present day dialects, like Swahili, it is a Y sound.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]elfu[/TD]
[TD]ألف[/TD]
[TD]1000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

List of Swahili Words of Arabic Origin | The Baheyeldin Dynasty
Hakuna lugha inayojitosheleza kwa maneno yote na Asili ya lugha ya kiswahili ni kibantu na wala sio kiarabu na ndio maana nimekuuliza nitajie walau nchii tatu tu za kiarabu zinazoongea kiswahili kama Tanzania
 
Lakini cha msingi na umuhimu wa lugha ni kuelewana katika mazungumzo, Mtanzania mwenzio na ambaye ametokea Tanzania utamwongelesha Kiswahili maana una uhakika ndio lugha unayoweza kuelewana naye. Lakini ukakumbana na mtu mwenye asili ya Tanzania lakini mzawa wa huko huko ughaibuni, itakulazimu ubadilishe lugha. Namfahamu Mtanzania aliyerudi kwao na Kiswahili humpa matatizo sana.

Halafu hata Kiswahili mnakipigia sana debe lakini bado wengi hamna bidii ya kukiimarisha, hata humu JF mimi huona wengi mnaandika kwa Kiswahili cha ajabu ajabu, ufasaha ndio hamna kabisa. Muache uvivu wa kujua, kufahamu, kuandika na kuongea lugha kadhaa, mnajificha tu kwenye uzalendo lakini ukweli ni kwamba mna uvivu huo.

Tanzanins have rested on their laurels. In 60s, 70s, 80s, while other african nations were struggling to find national identities, Tanzania had swahili. However nothing has been done to improve language instructions in Tanzanian schools.
 
Hakuna lugha inayojitosheleza kwa maneno yote na Asili ya lugha ya kiswahili ni kibantu na wala sio kiarabu na ndio maana nimekuuliza nitajie walau nchii tatu tu za kiarabu zinazoongea kiswahili kama Tanzania

Naona hata niongee na kuimba hamtaelewa chochote hapa, nimesema ni kawaida kwa lugha kukopa maneno, lakini Kiswahili kimekopa hadi hata lake na maneno ya msingi kabisa. Ni lugha gani hapa duniani haikua na maneno ya kuhesabu, hata majira nk maana haya yote kimekopa kutoka kwa Kiarabu.
 
Kiswahili ndiyo lugha yetu mama hizo nyinginezo hazituhusu...
 
Miafrica hiyo utumwa nuksi sana.
 
On my side I do appreciate Kenyan by using good English in deed

Sua sio kuzungumza kingereza kizuri. Suala ni ueneaji wa lugha hyo. Je inazungumzwa na idadi gani ya watu? Uganda kingereza kinazungumzwa maeneo mengi sana ya nchi. Kwa Kenya wao kingereza huzungumzwa maeneo machache ya mijini. Ukienda huko ushagoo kingereza hakizungumzwa na wengi. Kwa Uganda hadi vijijini wanazungumza lugha hyo.
 
Naona hata niongee na kuimba hamtaelewa chochote hapa, nimesema ni kawaida kwa lugha kukopa maneno, lakini Kiswahili kimekopa hadi hata lake na maneno ya msingi kabisa. Ni lugha gani hapa duniani haikua na maneno ya kuhesabu, hata majira nk maana haya yote kimekopa kutoka kwa Kiarabu.

Actually it used to have, but counting using base 10 is much easier. Moja isn't arabic, mbili isn't arabic, .. kumi isn't arabic.
 
The language isn't used for mid and high levels education. It isn't the language of the court or important government procedures.

Ha! Guess you're not not in Tanzania... All government communications & correspondence must be done in Kiswahili, except when a non swahili speaker is involved. Kiswahili is one of AU language..
 
Ha! Guess you're not not in Tanzania... All government communications & correspondence must be done in Kiswahili, except when a non swahili speaker is involved. Kiswahili is one of AU language..

Have you listened high court rulings? Have you taken chemistry or physics classes in swahili?
 
I cant buy it at all. Narudia, hizi ni junk news brought to us in the name of research or Report which are not true. by the way, Kuongea vizuri kiingereza (English) ni Kupi? kuunda sentensi vizuri or to pronounce it well and better...hapo ndo tunapochanganya madesa. Nakumbuka nilishawahi kumblast prof wa ki-nigeria kwenye presentation, kwa masuala haya ya Lugha. wakati mwingine unashindwa kuelewa, jamaa anaongea English or Kiyoruba....na haohao ndo wako kwenye top 10...NO WAY,

Kwa upande wa East Africa, Rwanda...NO. may be Kenya. waganda nao hawaridhishi pia. kwani English yao imemezwa na ascent yao (Kiganda) na hivyo kuwa-disqualify. Tanzania, may be mfumo umetuharibia but once it come to best speaking, tuko vizuri.( Hapa namaanisha ukikutana na mtu anayejua kiingereza). Nakumbuka kwenye harakati za kusaka tonge, nikiwaambia watu kwamba mimi ni Mtz walikuwa wanakataa simply nilikuwa aggressive kwenye Lugha hii ya Malkia
 
Watanzania wengi kutokana na kuzungumza Kiswahili imesaidia sana kwenye matamshi ya kiingereza.

Ndio maana kiingereza cha Tanzania ni 'standard' na sio 'heavily accented' kama cha uganda, kenya au malawi.
 
Maziku Masunga Jr. Much respect, it's against the JF board rules to use ones full names when addressing each other. Focus on the topic at hand and avoid personalities, we all have our respective names and personal lives but are not dragging them here.

Haya nikirejelea mada, kwa ufahamu wangu, sifa na umuhimu wa lugha ni kuwasiliana na kuelewana. Na ndi maana sisi Wakenya hutumia sana lugha zetu za asili kwanza, halafu baadaye lugha za kigeni kama Kiswahili cha Mwarabu na Kingereza huwa tunatumia kuwasiliana na wale hatuelewani kwenye lugha zetu za asili.

Kingereza pia tunatumia sana maana kinatuwezesha kuimarika kiutalaam, Kiswahili hata Wabongo ndo mnakipigia debe lakini hamkitumii inapokuja maswala serious, kwa mfano stakabadhi zenu nyingi zipo kwa kingereza kama tenders, mikataba, sheria na kadhalika.

Sasa inakuwaje kwa wazee wasiojua kiingereza watawasilianaje kati ya mkisii na mkikuyu, na hajui kiswahili wala kiingereza.
 
Last edited by a moderator:
Yani ww jamaa Tz inakunyima sana usingizi. If you cant be the light become the mirror. Sio daily unakuja linganisha shindanisha vitu watu tunakuona juha tu. Relax mzee pilot linguistic, kiswahili either arabic or kikuyu, it is our nations pride. Oa mke wa pili toka hii side maybe you'll find peace in you jealous heart, though you'll be beaten with yo wife, but hey! pain's better than jealous, pain has an end jealous doesn't.
 
Back
Top Bottom