Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

tatizo lako wewe ni utanzania, kitu chochote chenye chembe chembe ya utanzania lazima ukosoe tu..!!!

Jadili hoja, wacha sideshow, tatizo lenu mkilemewa hoja mnaanza kujificha nyuma ya nchi ili mpate sympathy kutoka kwa wenzenu. Fuatilia hii mada utaona hata kuna Watanzania wanaukubali huu ukweli. Kiswahili nakipenda, na huwa nahamasisha watoto wangu kukitumia pia pamoja na lugha zingine wanazoweza, lakini tusilazimishe lugha kwa kutumia upotovu na uwongo wa kubadilisha historia.
 
Actually it used to have, but counting using base 10 is much easier. Moja isn't arabic, mbili isn't arabic, .. kumi isn't arabic.
But would you consider as native a language that borrowed basic words such as morning, afternoon, sunset, dawn etc some very staple words that any language would have even before borrowing. This simply confirms the historical truth that Swahili is a fusion of so many languages and chiefly amongst them being Arabic and Bantu languages. Even its own name Swahili was derived from the Arabic word Sawahil....go check.
 
Ha! Guess you're not not in Tanzania... All government communications & correspondence must be done in Kiswahili, except when a non swahili speaker is involved. Kiswahili is one of AU language..

Tanzania itself has failed to embrace Swahili in fullness. Go through your documentations such as tenders, contracts, laws etc are all written in English.
 
Chetu ndio kipi maana hata Kiswahili ambacho kilitokana na mwarabu bado sio chetu, labda nijivunie lugha yangu ya asili Kikikuyu.

Kiingereza kwa asilimia kubwa kimetokana na Kilatini

Hakuna lugha ambayo iko yenyewe tu,kila lugha inahusiana na lugha nyingine

Kwa mantiki ya hoja yako hata hicho kikikuyu sio chenu ...

Kwa maana nyingine huna lugha wewe na in general hakuna mwenye lugha ...

Umeona namna unavyojiingiza chaka?
 
But would you consider as native a language that borrowed basic words such as morning, afternoon, sunset, dawn etc some very staple words that any language would have even before borrowing. This simply confirms the historical truth that Swahili is a fusion of so many languages and chiefly amongst them being Arabic and Bantu languages. Even its own name Swahili was derived from the Arabic word Sawahil....go check.

Nimesoma post zako nyingi na bado sijaelewa hasa unachotaka kwenye hii mada yako ...

Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha za asili,Kibantu na Kiarabu,tatizo lako nini hapo?
 
Chetu ndio kipi maana hata Kiswahili ambacho kilitokana na mwarabu bado sio chetu, labda nijivunie lugha yangu ya asili Kikikuyu.
MK23 !! Umepata ukakasi? Leo unajiumbua, Leo unajisuta, leo unajibaguwa kwa kuwa kiswahili leo kimekuwa cha waarabu??
Ajaabu umeweza kuunasib na Waarabu baada kuona lugha ya kiswahili kinasambaa kwa kasi East na central Africa !!
Tanzania inaongoza kwa lugha nne za kimaTaifa !! na lugha asilia zaidi ya mia (100) za kinyumbani !!

typing error apo nimemaanisha sisi tz tutajifananishaje na japan?? ungekuwa juu kiuchumi lugha yako ingetumika sana sasa tuko ground then tunganganie kiswahili what for?? kitakupeleka wapi though ata kwa upande wa vocabularies hakijakamilika?????

Huna ujualo bwana kaa kimya..! Afu wana jf kuna hii tabia ya kujifanya much know kwa kila kitu. Ushauri wangu ni kuna mahali tuwe tunafika na kua-accept kwamba tupo shallow kwenye baadhi ya mambo. To accept is not a defeat or weakness
 
Not a ranking to be proud of. yes, english is the number one language of business worldwide. but we shouldnt celebrate english more than our african languages
 
The measure used base on how many books from OXFORD UNIVERCITY PRESS are sold in those countries.Tanzania of course is not a major consumer of those books published by OXFORD including OXFORD dictionary and we chased colonialists including their language.In those countries they chased colonialists but remained with English.
But Tanzanias we are happy the way we are after all not all countries survive because they speak english.
 
Hivi hili nalo ni la kujisifia? Tukiwa mahiri kuongea kiingereza halafu ndio inakuwaje? Mental slavery!
 
Kweli mtumwa hupenda kufanana na bwana wake, badala ya kujisifia chenu mnajisifia cha mabwana zenu, Tanzania tumekataa!

Wapiiiii, mnapenda English sana, Ila yenyewe haiwapendi... Huo ndo ukweli????
 
Ndio maana china haipo hata top 100 in the world na wanatikisa dunia kwa kutumia lugha yao.
Ushamba kutukuza kiingereza badala ya lugha yako
Ila sio mbaya kama ukijua lugha ya mwenzako, btw watz wengi tunapenda kufahamu kiingereza ila ndio hivyo kimetukataa na zikija nyuzi kama hizi tunaanza kukiponda (sio kwamba nakushambulia bali kwa uzoefu tu wa hapa ninapokaa na vijiwe navyotembelea yaani unakuta mtu anapenda kabisa kujua kiingereza lakini ndio hivyo tena)
 
Na huo ndo ukweli, zingine porojo tuu????
 
Nishasema wakenya wana matatizo ya Akili

Yaani kuongea kiingereza n sifa aisee n bora umaskini wa kipato lakini sio wa kifikra
 
Kuna Mtanzania amenirushia vijimaneno kwenye thread nyingine, ila badala ya kuandika kwa Kiswahili amelazimika kuchakachua, nairusha hapa kama changamoto kwa wale mnaodai Kiswahili kimejitosheleza, muitafsiri bila kuchakachua na mkishindwa mbaki kimya bila ubishi zaidi.

Hii hapa
Mkuu don't waste your MEGA CALORIES ukiwapa somo binadamu ambao wanaonekana wazi wazi tatizo lao liko embedded kwenye subconscious zao tangu wakiwa shule za msingi, hata ukitumia ultrasonic cleaner uwezi ku-arase completely remnant ya colonial mentality walizo nazo - repeat 'colonial hangover' is the crux of the matter here - wala huitaji weledi wa kumfikia father of psychoanalysis one 'Sigmund Freud' kuwasoma kisaikolojia
 
Back
Top Bottom