MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,571
- 53,586
- Thread starter
- #121
Hata Uholanzi pia fomu nyingi zipo zimeandikwa kwa kiingereza na Kiholanzi , ukifika Sweden maofisi mengi mpaka fomu zimeandikwa kwa lugha zote mbili kiswidish na kiingereza lkn kwa nini sasa Sweden haiitwi english speking country?
Tanzania unaweza kukaa mwaka mzima haujakutana na Mtu anaongea Kiingereza iweje nchi kama hii uiite an english speaking country?
Fomu kuandikwa kwenye lugha ya Kingereza inawezekana ili kuwafikia wengi, lakini lugha kukubalika kisheria kama lugha rasmi hiyo ni tofauti na ndio nazungumza kuhusu. Nyie Kingereza kimetumika hadi kwenye noti ama hela za nchi.