Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Ukweli nitawapa Waswahili hadi mkome unafiki, hivi wewe wakati unadai kujivunia Tanzania, unajua ilitokana na nani kama sio mzungu kuja na kuchora mipaka na kukupa wewe nchi ya kujivunia. Unafuata mfumo wote wa mzungu hadi chooni halafu hapa unajipiga kifua eti upo huru kwa ajili unaongea Kiswahili, na yeyote anayeongea Kingereza ni mtumwa, wakati ukweli ni kwamba Kingereza kimekukataa.

Nashukuru sana kujua kwamba mm ni mswahili. Na hayo ni mawazo yako yanayokuambia kwamba kingereza kimenikataa. Na Tanzania imetonaka na mm, bila mm hakuna Tanzania na huyo bwana wako asingekuja hapa na kugawa mpaka. Ndio maana nakwambia kwamba mawazo yako yote yametekwa na huyo unaemwita ni source yako. Kwahiyo wataka sema mzungu ndio kauletea kenya yako. Angalia mbele ww utashikwa tako.
 
Nashukuru sana kujua kwamba mm ni mswahili. Na hayo ni mawazo yako yanayokuambia kwamba kingereza kimenikataa. Na Tanzania imetonaka na mm, bila mm hakuna Tanzania na huyo bwana wako asingekuja hapa na kugawa mpaka. Ndio maana nakwambia kwamba mawazo yako yote yametekwa na huyo unaemwita ni source yako. Kwahiyo wataka sema mzungu ndio kauletea kenya yako. Angalia mbele ww utashikwa tako.

Naona nabishana na kilaza kisichojua hata historia ya nchi yake, aliyegawa na kuchora mipaka na kukuweka hapo ujishaue kuwa Mtanzania nani. Kawaulize babu zako kama zamani walijua tofauti ya Tanzania na Kenya.
 
Naona nabishana na kilaza kisichojua hata historia ya nchi yake, aliyegawa na kuchora mipaka na kukuweka hapo ujishaue kuwa Mtanzania nani. Kawaulize babu zako kama zamani walijua tofauti ya Tanzania na Kenya.

Ww ndio unaobwabwaja na kusema sijui histori ya nchi yangu. Bila mm wangekuja kumchorea nani hiyo mipaka.
 
Lakini kabla ya kukopa, kulikuwepo na watu walikua wanatumia English, waliitwa Angles, hivi niambie nani alikua anatumia Kiswahili kabla ujio wa Mwarabu. Maana kama nilivyosema hata jina lake Swahili lilitokana na Mwarabu. Nimesema na naomba nieleweke hapa, ni kawaida kwa lugha kukopa maneno, Kingereza kimekopa sana na ndio maana kina ubora zaidi ya lugha zote. Lakini Kiswahili kimekopa maneno hadi ya msingi, maneno ambayo lugha yoyote duniani lazima iwe nayo, neno kama "damu", hamna lugha dunia hii haikua na mbadala wake, hadi hata zetu za asili.

Kiswahili tukipende, tukikuze lakini tuache unafiki, tuache kuwatusi wenzetu wanaojifunza lugha zingine eti watumwa.
Mmmh... Kama Kiswahili ni neno la Kiarabu basi hizo ni propaganda naamini lugha hii ilikuwepo kabla ya hao Arabs kuja pwani ya East Africa maana Kiswahili ni Kibantu na hayo maneno yaliyoongezeka ya kufanana na Kiarabu pengine yalilazimishwa yatumike na yale ya asili yakaondolewa kutokana na utamkaji wake tu.. kama majina ya Ziwa Victoria yalivyoondolewa na kuwa Lake Victoria Jina la Dar es salaam liliongezwa na kabla ilikuwa ni Mzizima na kabla ya hapo pangine kulikuwa na jina lingineyo... hivyo watumiaji wa Kiswahili walikuwepo tu na bado wapo kama hao Angles hakuna tofauti katu. Jina la Lugha ni Waarabu waliamua kuwaita watu waliokuwa wanazungumza lugha hii na kuwaita waswahili mtu akiamua kukuita jina sio kwamba yeye ndie aliyeanzisha... tulia...! Kaa chini!
 
Ww ndio unaobwabwaja na kusema sijui histori ya nchi yangu. Bila mm wangekuja kumchorea nani hiyo mipaka.

Basi ukae ukijua hao waliokuchorea na kukupa nchi ndio hao hao unaojifanya kwamba hutaki chochote kuwahusu, unapotumia maneno kama "nchi yangu", fahamu hao ndio waliamua uishi hivyo.
 
Swahili civilisation
1_eastern_coast.jpg
Map showing the location of Swahili civilization in Africa. Source: www.pbs.org
The Swahili civilisation lay on the east African coast, from Mogadishu in the North towards Sofala (today Beira) and Inhambane in the South. This civilisation existed from around 100 A.D. Swahili civilisation came about through the mixing of the original local people with foreigners with whom they traded, especially the Arabs. The cultures of many groups blended together to form a new language and culture, called ‘Swahili' by the Arabs. It means ‘people of the coast' in Arabic. They were called this because they lived in the coastal towns, which made it easy for them to trade with the Arabs who came across the ocean in boats to trade. Unlike the Egyptians and Nubians, the Swahili people did not build a single kingdom or empire to rule all the Swahili people and coastal towns. These coastal towns or city-states were independent from each other and they sometimes competed for control of trade. The Swahili people also traded with other African kingdoms like Mapungubwe in southern Africa.
1_mosque.jpg
Swahili Mosque at Lamu Island North Of Mombasa, Kenya. Source: baobab.harvard.edu
A traveller's handbook, the Periplus, written by a Roman traveller between 40 and 70 A.D, gives some picture of what Swahili people and their lives were like. It describes the ports that were visited, the goods traded and what the coastal traders were like. The Periplus was written to show the people of Rome that there were many trading opportunities with East Africa. This information was useful for writing the history of the Swahili people before Islamic scholars put together their records on the Swahili people.
Trade with the Arabs and the immigration of Arab people to the East coast influenced the area. Stone-wall buildings can be found that follow Arabic Asian designs. These are different from the buildings found further inland. These buildings combined African and Arabic building styles. Many Swahili rulers adopted Islamic religion and political titles like ‘Sultan'. They used Islam and the new Swahili language to unite the people and create a new culture unique to the East coast of Africa. Like the Egyptians and Nubian heritages, the Swahili people also wrote down their history. As a result, we are able to learn the history of the Swahili from these writings.
1_mogadishu.jpg
Image: City of Mogadishu. Source: whc.unesco.org
The Swahili civilisation came to an end after the Portuguese conquest in the early 1500s. In conquering Swahili towns, the Portuguese destroyed and looted many buildings. The Portuguese were searching for gold and ivory and knew that the Eastern coast was rich in these. Ivory and gold was used to decorate buildings in Swahili coastal towns. Despite Portuguese conquest, Swahili culture and traditions are still practised today.

Hapa naona Kiswahili hakina Tofauti na Lugha ya Kiingeleza kwani Mchanganyiko wa Lugha ya Kifaransa na Ki Angles ndio Lugha kamili ya English... So Kuna watu waliita hilo Jina English

So Lugha ya watu wa Pwani iliyochanganyika na Lugha ya Kiarabu ikazaa Lugha Mpya na Waarabu wakaiita Swahili
MK254

Nadhani ushawafahamu vizuri Watu wa Pwani waliokuja kitwa Waswahili watu waliokuwa Huru miaka na Miaka bila kutawaliwa wala Kumtawala Mwenzake Maisha yalikuwa kama Bustan ya Eden

Uzuri History ya Swahili ipo tokea Karne hiyo Hadi Roman waliwatambua watu Pwani ya East Africa....
 
Last edited by a moderator:
So Lugha ya watu wa Pwani iliyochanganyika na Lugha ya Kiarabu ikazaa Lugha Mpya na Waarabu wakaiita Swahili
MK254

Nadhani ushawafahamu vizuri Watu wa Pwani waliokuja kitwa Waswahili watu waliokuwa Huru miaka na Miaka bila kutawaliwa wala Kumtawala Mwenzake Maisha yalikuwa kama Bustan ya Eden

Uzuri History ya Swahili ipo tokea Karne hiyo Hadi Roman waliwatambua watu Pwani ya East Africa....

Hapo kwenye red umemaliza mjadala wangu, halafu zaidi mimi nafahamu Waswahili unaosema kuhusu walitokana na Waarabu kuwaoa dada zetu na kuzaa nao. Wengi waliishia kurudi Uarabuni kwa babu zao.
 
Hapo kwenye red umemaliza mjadala wangu, halafu zaidi mimi nafahamu Waswahili unaosema kuhusu walitokana na Waarabu kuwaoa dada zetu na kuzaa nao. Wengi waliishia kurudi Uarabuni kwa babu zao.

Mjadala wako unaweza ukawa umeumaliza wewe mwenyewe ila Lugha hii mwanzoni haikuwa ikiitwa Swahili.... hilo jina lilibatzwa na Waarabu tu. ndio maana hata Roman walipokuja East Africa hawakukuta jina hilo hivy watu wa Pwani wanahaki ya kujivunia Lugha yao na hiyo ya kuchukua au kukopa maneno ni pale vitu ambavyo havikuwa maarufu katika pwani vilikuja na kukosa majina yake hivyo yalichukuliwa kama yalivyo... ni kama maneno ya kiinglishi yanapokuja katika kutafsiri huwa ni Shiida hadi wazee wa kiswahili huamua kuyatungia alimradi yapate majina ya kiswahili... Kama WEBSITE(TOVUTI) n.k

Wafahamu Kingazija ni kama kiswahili ila hakiitwi kiswahili.. Waarabu walishindwa kuwapatia Jina

Hapo kwenye Red ni wachache tu kwani Waliozaliwa kwa mchanganyiko wa waarabu na Wazawa wengi walikataliwa kurejea Arabuni kwani walikuwa na rangi Tofauti na muarabu mwenyewe... waliitwa wamanga... Mwarabu asili ni Mweupe sana sana kama Mzungu... japo hajafikia rangi... ukiwaona Waarabu wa Syria,Lebanon na baadhi ya Wapalestina ni Weupe mno hadi Wanga'aa kama ni mazeru zeru basi ni hao...
 
Kama kilivyo kiingereza kiswahili pia ni Investment ambayo yaweza kuiingizia nchi kipato kikubwa licha ya kuwa ni moja ya ishara za uhuru wa kiutamaduni.
 
Back
Top Bottom