Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

Yeah!! exactly my point, mnafiki wa mwisho wewe, enroll your children in Saint Kayumba za Bongo kama wewe mzalendo. Hoodwinking your fellow Tanganyikas while having your children benefit from English schools curriculum.

Nina uhakika Watanzania wanaisoma hii kimya, ndivyo hali ilivyo, wanafiki kama huyu jamaa wa diaspora na hata viongozi wenu na ma-elites wenye hela zao wamejaza watoto wao aidha ulaya, ama shule za Kenya, ama English medium schools za Bongo zenye walimu wengi kutokea Kenya na Uganda halafu wanawandanganya nyie mzidi kuwa wazalendo kwa kuhangaika na shule za kata.

we kweli punguani, yani mie niishi UK watoto wasome TZ?wapi na wapi?hebu usilete Uchuro. Wanakosoma watoto wangu sababu sio Kingereza, sababu ni nilipo mzazi wao.wewe kichwa unafanyia kazi gani?kuvalia kofia tu au?

Falacy ya english medium kuwa na walimu wengi kutoka Kenya ni hadithi nyengine zilizopitwa na wakati,actually, kumpa mtoto wako mkenya,au mganda kumfundisha kingereza ni kumpotezea ramani mtoto, kwani ataishia kujifunza kikikuyu tu.

Mimi ni mzalendo kwa kuwa niko hapa kwa kusoma kwenye shule unazoziita za kata.kwa hiyo kelele zako ziishie huko kwenu Mathare.
 
Yeah right who are you kidding? Some of us have lived with Kenyans for years and we know when they start conversations and threads like this around English language where exactly they are heading to. Inferiority complex my foot..it is more like you guys have the complex as you seem bothered with Tanzanians not speaking English, Tanzanians not having tribalism, Tanzanians not wanting to jump in with two feet in the East African Community, Tanzanians not letting Kenyans work in Tanzania free of work permits..Tanzanians are slow, Tanzanians should let Kenyans use Mt Kilimanjaro to advertise it tourism, Tanzanians should let Kenyans enter its National Parks at a reduced fee, Mt Kilimanjaro was once in Kenya before Queen Victoria gave it to her grandson, Tanzanians are slow and behind due to Ujamaa...the list is endless. So dont think you can fool people in here to believing that whoever brought this thread here wanted people to just discuss English. Tanzanians are not the ones with inferiority complex, it you Kenyans who have the complex and to be honest it also pure and simply envy.


Ever heard of the quote "I'm responsible for what I say, not what you understand"? Well that summarizes you and your bitterness in this context.
 
I even get more confused when I see an African boasting of managing a white man;s language,now I understand why the Famous Ngugi wrote his book of not yet uhuru,if you want to have a clear understanding of this cultural neo-colonialism in Kenya read the book by the same author the devil in the cross,you will understand why some few Kenyans have the so called colonial hangover


yani hawa wapuuzi Queen elizabeth akiwaambia awatawale upya wanaweza kufanya sherehe na national Holiday, kama wakati ule Obama alivyochaguliwa kuwa Raisi US.

Yani wamerithi tabia mbovu kuliko zote za waingereza, unafki, ujuaji usio na sababu za msingi na uongo uongo.
 
...if you want to have a clear understanding of this cultural neo-colonialism in Kenya read the book by the same author the devil in the cross,you will understand why some few Kenyans have the so called colonial hangover
Ngugi pia mwaka 1986 alichapisha kitabu Decolonising the Mind. Inaonekana hawa vinyangarikita bado wanaishi miaka ya hamsini kweusi.
 
Kweli mtumwa hupenda kufanana na bwana wake, badala ya kujisifia chenu mnajisifia cha mabwana zenu, Tanzania tumekataa!

Nakubaliana na wewe ila kidogo lugha kali, kuwa na maendeleo duniani sio lazima ujuwe kuongea Kiingereza, tunajuwa nchi ambazo zina maendeleo lakini hawaongei hiom lugha, ila ni muhimu kwa mawasiliano kimataifa na biashara..
 
Lakini ila sikubaliani na wewe unapoponda Kingereza, ni lugha muhimu sana kwa ulimwengu wa kisasa na biashara za kimataifa.

Na wewe una tatizo la kusoma na kutokuelewa.

Ni wapi nilipokiponda Kiingereza?
 
NIGERIA, UGANDA,GHANA na KENYA ni mchi zinazoogea lafudhi mbaya zaidi za kiingereza kuliko zote duniani. Huwezi ukaelewa kama wanatamka maneno ya lugha zao za asili au kiingereza wanaongea utafikiri wanaimba nyimbo za kitamaduni. Labda kuandika ndio wanaweza lakini kuongea kinasikika vibaya sana. Bora sisi wabongo na broken zetu ila kwenye matamshi tunatamka vyema kabisa
 
Ever heard of the quote "I'm responsible for what I say, not what you understand"? Well that summarizes you and your bitterness in this context.

Kwendraa!!! Go sort Kenya's issues first before assuming you know Tz better than its own citizens. Kenya is not exactly a developed country,is it? So speaking English hasn't made you Africa's super power,or has it?
 
Yeah!! exactly my point, mnafiki wa mwisho wewe, enroll your children in Saint Kayumba za Bongo kama wewe mzalendo. Hoodwinking your fellow Tanganyikas while having your children benefit from English schools curriculum.

Nina uhakika Watanzania wanaisoma hii kimya, ndivyo hali ilivyo, wanafiki kama huyu jamaa wa diaspora na hata viongozi wenu na ma-elites wenye hela zao wamejaza watoto wao aidha ulaya, ama shule za Kenya, ama English medium schools za Bongo zenye walimu wengi kutokea Kenya na Uganda halafu wanawandanganya nyie mzidi kuwa wazalendo kwa kuhangaika na shule za kata.

For your information, some of us went to those shule za Kata, and it didnt stop us, we are here now, arent we? You understand my English, don't you? So you and your fellow country men and women grew up speaking English, it clearly has not made you better than us because we are all here debating in both languages.
And I do not remember Tanzania asking or depending on Kenya to send in Doctors or Engineers. I have not read anywhere in history where Kenya had to bail Tanzania out of economic disaster because Tanzanians could not speak English. Does your government use your taxes to feed Tanzanians? Thought not. Now until that happens, stop assuming that you are all better than Tanzanians because you speak one colonial master language.
I know this comes across as bitterness, but I am fed up with Kenyans, actually the rest of the so called East African countries slagging Tanzania off. Is it any wonder that the East African Standard has been banned from Tanzania? That paper is owned by Kenyans and they forever have nothing positive to report about Tanzania. Its comments sections full of people bitter about Tanzania. And then you have these ones in JF as well and guess what...they are Kenyans!!!
Kwendeni zenu!
 
Kwendraa!!! Go sort Kenya's issues first before assuming you know Tz better than its own citizens. Kenya is not exactly a developed country,is it? So speaking English hasn't made you Africa's super power,or has it?

There you go understanding what you choose to understand.

Why are you so bitter? lol, like I said i'm only responsible for what I say - count me out when you finally get a heart attack.
 
mnaobishana nyote ni mediocre tu

nijuavyo mimi bado hatujawa huru dhidi yenu nyie . wengi wenu mkiwa kwenye maofisi na mishahara minono mnahama mitaa na miji.

lazima mtahama nchi wachanika tuje masaki. nanyi muonje machungu. its a matter of time

Tutawafungulia mashtaka wote mlioficha pesa mabenki ya nje, wote wenye mabenki nchini mnaoendelea kutuibia kwenye akiba zetu benki. eti kuuliza salio benki sh 1000.? rubbish :-(

kodi kwa wananch wafanyabiashara wadogo na watumishi wanalipwa sh250000! hell!
 
Last edited by a moderator:
Mmekurupuka nyote, ila wengi aidha hamjanielewa ama mnaponda tu kama ile kawaida yenu, mkishindwa na mada huwa mnashambulia hata giza, ila nitakujibu wewe maana naona kidogo unaonekana mstaarabu. Ripoti iliyoorodheshwa hapa ni utafiti ambao unaonyesha nchi zinazotumia Kingereza vizuri. Na Kenya imefaulu kupata namba nne Afrika, ila hamna sehemu imeelezwa kuwa Kingereza ndio lugha yetu ya kwanza.
Wakenya tunatumia lugha nyingi hadi zetu za asili. Kingereza na Kiswahili ni lugha za ofisi na huwa tunahamasisha watoto wetu kujifunza hadi Kifaransa na lugha zingine. Kuwa mjanja wa lugha ni muhimu hata kwenye uchumi.

Na hili la TOEFL lazima hata Wakenya tufanyishwe maana Kingereza sio lugha yetu ya kwanza, kama tu vile wengi wetu Kenya Kiswahili sio lugha yetu ya kwanza. Wengi tunaenzi kwanza lugha zetu za asili halafu baadaye ndio tunafuata hizi zingine za kuja kama Kiswahili na Kingereza. Sababu za sisi kuorodheshwa kuwa waongeaji wa Kingereza vizuri ni kwamba tunajifunza lugha zote tangia chekechekea, sio kama Watanzania mnaanza na Kiswahili hadi mnashtukishwa na Kingereza mkiwa sekondari.

Ww uoni kwamba ni vizuri kujua lugha yako ya nyumbani alafu zingine zifuate.
 
Huna haja ya kutumia maneno mengi kuelezea jambo ndogo, elewa kwamba English Speaking Countries ni zile nchi Kingereza kinakubalika officially na hata kwenye stakabadhi za serikali, na sio lazima kila mkulima akiongee. Tanzania ni mojawapo wa hizo nchi. Ona hapa hata kwenye hela yenu, upande mmoja ni Kiswahili halafu mwengine ni Kingereza. Ni vile kimewakataa lakini wengi mngependa kukiongea.

5000-tz-shillings-back.jpg



Na kwa kujaza fomu, ni sahihi kwa mtu kusema anakielewa Kingereza, maana kuna watu wana uwezo wa kujieleza wakitumia Kingereza zaidi ya Kiswahili.

Hicho kingereza tumewaandikieni nyie msiojua Kiswahili na kujidai kwamba mnajua lugha ya malkia.
 
~Ulianza utumwa
uksfuata
~Ukolono

mwisho tukajipatia uhuru wa kisiasa (kwa nadharia)
~~kiuchumi,kisiasa,kijamii na kitekinolojia MKOLONI aliendelea kutamalaki hata sasa.
~~Kijamii
alituhubiri kuwa lugha zetu hazifai,akatuaminisha siyo za kwetu na ya kwamba hazifai hata kufundishia kwenye shule zetu..tukaamini tukazikumbatia.....leo hii msomi ni yule anaekuza na kukumbatia utamaduni wa mzungu-mkoloni-mgeni..na sio mswahili/mbantu.
~ Kiuchumi
akatuaminisha sisi ni maskini na yakwamba hatuwezi pasina yeye kutusaidia....tukaaamini...tukakumbatia sera zake..mwisho tumekuwa ombaomba...tumekosa utu...tumekosa lugha.....tumekosa heshima juu ya tamaduni zetu...juu ya fikra na utashi wa kiamua lipi jema na lipi si jema mpaka mwenyenacho(mkoloni aseme)
 
~Ulianza utumwa
uksfuata
~Ukolononi

mwisho tukajipatia uhuru wa kisiasa (kwa nadharia)
~~kiuchumi,kisiasa,kijamii na kitekinolojia MKOLONI aliendelea kutamalaki hata sasa.
~~Kijamii
alituhubiri kuwa lugha zetu hazifai,akatuaminisha siyo za kwetu na ya kwamba hazifai hata kufundishia kwenye shule zetu..tukaamini tukazikumbatia.....leo hii msomi ni yule anaekuza na kukumbatia utamaduni wa mzungu-mkoloni-mgeni..na sio mswahili/mbantu.
~ Kiuchumi
akatuaminisha sisi ni maskini na yakwamba hatuwezi pasina yeye kutusaidia....tukaaamini...tukakumbatia sera zake..mwisho tumekuwa ombaomba...tumekosa utu...tumekosa lugha.....tumekosa heshima juu ya tamaduni zetu...juu ya fikra na utashi wa kuamua lipi jema na lipi si jema mpaka mwenyenacho(mkoloni aseme)

~~kisiasa..
Hatujongei ,hatuhemi,hatupumui mbele ya mkoloni kila kitu tunasaidiwa...
hatuwezi kuamua juu ya rasilimali zetu..hatuwezi hata kujua mtanzania anathamani kuliko mnyama liehifadhiwa serengeti ama ngorongoro mpaka waje wanaojua kizungu.

~~kitekinolojia
wametuteka fikra zetu tunashinda tukibishana ni mkoloni gani anatufaa zaidi huku tukibeza na kutweza vya kwetu...
tukichekana na kutukanana...
INAUMA SANA KIZAZI KISICHO JITHAMINI KUDHARAU UTU NA HAKI YA KUFIKIRI TOFAUTI NA MKOLONI.
HII YOTE NI KWA SABABU YA UMASKINI WA FIKIRA NA KIPATO..
"UKIWA MASKINI WA FIKRA NA KIPATO..UTAAMINI HATA UJINGA WA MWENYE NACHO"
 
Hicho kingereza tumewaandikieni nyie msiojua Kiswahili na kujidai kwamba mnajua lugha ya malkia.

Mbona hamjawaandikia na Wajerumani waliowatawala, kwanini lazima muandike Kingereza kwenye noti zenu. Waswahili watu wa ajabu sana, unajishaua eti umechukia Waingereza na kwamba wewe sio mtumwa huku umevaa milegezo na tai zao, nyumbani umejaza movie na nyimbo zao, hata hii JF imetengenezwa kwa teknologia zao, simu unayobonyeza bonyeza pia, noti unayotumia kununua viroba ni wao walibuni, mifumo ya mabenki ni wao tu, wengine hata mmetajwa kuficha hela nyingi sana huko kwa wakati Waswahili wenzenu wanakufa kwenye mahospitali kwa ukosefu wa madawa ....useless kabisa.

Basi rudi mbugani ukavae zile ngozi na kuwinda. Wengine hata hawana aibu maana wanalishwa na hao wazungu wakiwa huko kwao, bora hata waliopo uswazi.
 
Acha kutokwa na omo mdomoni mwako. Ndio nyie nyie mnao sema mzungu kangudua bara la Africa wakati lilikuapo toka kitambo.Mnatukuza vya watu na kuviponda vya kwanu, badilika ww bogus.usipelekwepelekwe na hao weupe watakufanya sewage.
 
Acha kutokwa na omo mdomoni mwako. Ndio nyie nyie mnao sema mzungu kangudua bara la Africa wakati lilikuapo toka kitambo.Mnatukuza vya watu na kuviponda vya kwanu, badilika ww bogus.usipelekwepelekwe na hao weupe watakufanya sewage.

Ukweli nitawapa Waswahili hadi mkome unafiki, hivi wewe wakati unadai kujivunia Tanzania, unajua ilitokana na nani kama sio mzungu kuja na kuchora mipaka na kukupa wewe nchi ya kujivunia. Unafuata mfumo wote wa mzungu hadi chooni halafu hapa unajipiga kifua eti upo huru kwa ajili unaongea Kiswahili, na yeyote anayeongea Kingereza ni mtumwa, wakati ukweli ni kwamba Kingereza kimekukataa.
 
Tuanze tu na jina Swahili, The word Swahili itself is derived from Arabic Sawahili سواحلي which is plural for ساحل meaning [Language] of the Coast.
Hii ni issue tumejadili sana humu na Wabongo mmezidi kung'eng'ania kwamba Kiswahili ni lugha yenu ya asili, wakati chenyewe kimejengwa na maneno mengi ya msingi ya Kiarabu. Yaani kawaida inafahamika lugha hukopa maneno kutoka lugha zingine, lakini Kiswahili kimekopa maneno hata ya msingi kama majira, siku, herufi na kadhalika. Kimekopa hadi hata jina lake..Swahili


Swahili is a language that fuses African Bantu with Arabic. Arab sailors and traders have established links and ties with East Africa for centuries, their language strongly merged with the local language to produce a creole derivative.The word Swahili itself is derived from Arabic Sawahili سواحلي which is plural for ساحل meaning [Language] of the Coast. This article gives some examples of Arabic words still in today's Swahili.Here are some words. [TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]hatari[/TD]
[TD]خطر[/TD]
[TD]Danger. Also the title of a 1962 movie starring John Wayne, set in Africa.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Safari[/TD]
[TD]سفر[/TD]
[TD]Travel. Also: trip[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mahali[/TD]
[TD]محل[/TD]
[TD]Place[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]vitabu[/TD]
[TD]كتاب[/TD]
[TD]Book[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]msumari[/TD]
[TD]مسمار[/TD]
[TD]Nail[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kata[/TD]
[TD]قطع[/TD]
[TD]Cut, chop[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]habari[/TD]
[TD]خبر[/TD]
[TD]news[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]huru[/TD]
[TD]حر[/TD]
[TD]free[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]dhamiri[/TD]
[TD]ضمير[/TD]
[TD]conscience[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kamusi[/TD]
[TD]قاموس[/TD]
[TD]dictionary[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]baridi[/TD]
[TD]بارد[/TD]
[TD]cold[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]samahani[/TD]
[TD]سامحني[/TD]
[TD]forgive me, excuse me[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rafiki[/TD]
[TD]رفيق[/TD]
[TD]companion, friend[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tafadhali[/TD]
[TD]تفضل[/TD]
[TD]please[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]furahi[/TD]
[TD]فرح[/TD]
[TD]happy[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Time

The terms for time are strongly influenced by Arabic. Many of it taken by the prayer times of Islam.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]asubuhi[/TD]
[TD]صبح[/TD]
[TD]morning[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]dakika[/TD]
[TD]دقيقة[/TD]
[TD]minute[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]saa[/TD]
[TD]ساعة[/TD]
[TD]hour[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]wakati[/TD]
[TD]وقت[/TD]
[TD]time[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]alasri[/TD]
[TD]العصر[/TD]
[TD]late afternoon[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]magharibi[/TD]
[TD]المغرب[/TD]
[TD]sunset[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]alfajiri[/TD]
[TD]الفجر[/TD]
[TD]dawn[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]karne[/TD]
[TD]قرن[/TD]
[TD]century[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Swahili names for the first five days of the week all start with Juma, then the order of the day of the week, Saturday being the first day of the week. Jumaa is derived from the Arabic word جمعة which means Friday, as well as "week. Only two days of the week got the Arabic names:[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]alkhamisi[/TD]
[TD]الخميس[/TD]
[TD]Thursday[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ijumaa[/TD]
[TD]الجمعة[/TD]
[TD]Friday[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Animal Names

Animal names are all native African Bantu (e.g. simba lion). However, there are a few exceptions.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Tausi[/TD]
[TD]طاوس[/TD]
[TD]Peacock, being non-native to Africa, it took the Arabic name, which in turn took it from Persian.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Numbers

The number system is also heavily Arabic, although not exclusively so.[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH="align: left"]Swahili[/TH]
[TH="align: left"]Arabic[/TH]
[TH="align: left"]Meaning[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]nusu[/TD]
[TD]نص[/TD]
[TD]Half. The proper classical Arabic word is نصف nisf. In many present day dialects it is "nus", like in Swahili.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]robo[/TD]
[TD]ربع[/TD]
[TD]Quarter[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sita[/TD]
[TD]ستة[/TD]
[TD]6[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]saba[/TD]
[TD]سبعة[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tisa[/TD]
[TD]تسعة[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ishrini[/TD]
[TD]عشرين[/TD]
[TD]20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]thalathini[/TD]
[TD]ثلاثين[/TD]
[TD]30[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]arubaini[/TD]
[TD]أربعين[/TD]
[TD]40[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hamsini[/TD]
[TD]خمسين[/TD]
[TD]50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sitini[/TD]
[TD]ستين[/TD]
[TD]60[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sabini[/TD]
[TD]سبعين[/TD]
[TD]70[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]thamanini[/TD]
[TD]ثمانين[/TD]
[TD]80[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]tisini[/TD]
[TD]تسعين[/TD]
[TD]90[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mia[/TD]
[TD]مئة[/TD]
[TD]100. The middle letter in classical Arabic is Hamza, however, in present day dialects, like Swahili, it is a Y sound.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]elfu[/TD]
[TD]ألف[/TD]
[TD]1000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

List of Swahili Words of Arabic Origin | The Baheyeldin Dynasty

Mkuu English nayo imekopa Maneno Lukuki kutoka katika Lugha ya French...

France iliitawala England zaidi ya Miaka Mia
 
Mkuu English nayo imekopa Maneno Lukuki kutoka katika Lugha ya French...

France iliitawala England zaidi ya Miaka Mia

Lakini kabla ya kukopa, kulikuwepo na watu walikua wanatumia English, waliitwa Angles, hivi niambie nani alikua anatumia Kiswahili kabla ujio wa Mwarabu. Maana kama nilivyosema hata jina lake Swahili lilitokana na Mwarabu. Nimesema na naomba nieleweke hapa, ni kawaida kwa lugha kukopa maneno, Kingereza kimekopa sana na ndio maana kina ubora zaidi ya lugha zote. Lakini Kiswahili kimekopa maneno hadi ya msingi, maneno ambayo lugha yoyote duniani lazima iwe nayo, neno kama "damu", hamna lugha dunia hii haikua na mbadala wake, hadi hata zetu za asili.

Kiswahili tukipende, tukikuze lakini tuache unafiki, tuache kuwatusi wenzetu wanaojifunza lugha zingine eti watumwa.
 
Back
Top Bottom