Top 11 Best English Speaking Countries in Africa

English can be traced back to a particular tribe that used it natively, the Angles. But in our Coastal area where Swahili was formed, every tribe there had its own language. And as for the word "beef" it is not basic, it's ok to borrow it, even Swahili doesn't have its equivalent.

I'm beginning to doubt if you are real kenyan. At least Mzundevi comes across as genuine kenya but uninformed. Fortunately i live right at the border with kenya and i can easily pretend to be kenyan. English is absolute important as it open the world to you. But kenyans are quickly realizing how important it is to be fluent in Swahili. I have also lived and worked in the western world with kenyans. Trust me, they all claim to be fluent in Swahili until they are actual asked to use it and then they will be quickly to point at Tanzanians. I was once shocked when a kenyan friend was offended when his english was corrected by some mzungu in a bar. To be honestly mzungus rarely noticed the difference between my english kenyans english. I have never been so proud of my Swahili till now. If you think Swahili is not important ask Jaguar why bongo flava is selling.
 
. kiswahili nakipenda, na huwa nahamasisha watoto wangu kukitumia pia pamoja na lugha zingine .

chetu ndio kipi maana hata kiswahili ambacho kilitokana na mwarabu bado sio chetu, labda nijivunie lugha yangu ya asili kikikuyu.

hapa nachokiona ni aidha unafiki ama kutojitambua.
 
Ndugu nina swali dogo sana kwako kama hizo nchi ulizoziorodhesha na kuziita ,,english speaking countries" sasa, Je, ni kwanini Wakenya, Waganda & Co. wakienda kusoma Marekani wanatakiwa kufanya mtihani wa Lugha ya Kiingereza TOEFL ambao kirefu chake yake ni test of english as Foreign Language? Kwa maana kama wangekuwa ni English speakers maana yake ni kwamba wasingehitaji kufanya huo Mtihani, hivyo naomba uniambie ni kwanini lazima wafanye huo Mtihani?

Mmekurupuka nyote, ila wengi aidha hamjanielewa ama mnaponda tu kama ile kawaida yenu, mkishindwa na mada huwa mnashambulia hata giza, ila nitakujibu wewe maana naona kidogo unaonekana mstaarabu. Ripoti iliyoorodheshwa hapa ni utafiti ambao unaonyesha nchi zinazotumia Kingereza vizuri. Na Kenya imefaulu kupata namba nne Afrika, ila hamna sehemu imeelezwa kuwa Kingereza ndio lugha yetu ya kwanza.
Wakenya tunatumia lugha nyingi hadi zetu za asili. Kingereza na Kiswahili ni lugha za ofisi na huwa tunahamasisha watoto wetu kujifunza hadi Kifaransa na lugha zingine. Kuwa mjanja wa lugha ni muhimu hata kwenye uchumi.

Na hili la TOEFL lazima hata Wakenya tufanyishwe maana Kingereza sio lugha yetu ya kwanza, kama tu vile wengi wetu Kenya Kiswahili sio lugha yetu ya kwanza. Wengi tunaenzi kwanza lugha zetu za asili halafu baadaye ndio tunafuata hizi zingine za kuja kama Kiswahili na Kingereza. Sababu za sisi kuorodheshwa kuwa waongeaji wa Kingereza vizuri ni kwamba tunajifunza lugha zote tangia chekechekea, sio kama Watanzania mnaanza na Kiswahili hadi mnashtukishwa na Kingereza mkiwa sekondari.
 
hapa nachokiona ni aidha unafiki ama kutojitambua.

Sijui kama nina haja ya kukujibu, kwa mimi kupenda Kiswahili haimanishi ni chetu, lugha yangu ya asili ni Kikikuyu, hizi zingine kama Kiswahili na Kingereza nimejifunza tu shuleni. Halafu nimesema nawahamasisha watoto wangu wawe wajanja wa lugha nyingi, sio kuishi kwenye kapu moja kama mambumbumbu.
 
,,,,,,,,, kwa mimi kupenda Kiswahili haimanishi ni chetu, lugha yangu ya asili ni Kikikuyu, hizi zingine kama Kiswahili na Kingereza nimejifunza tu shuleni. Halafu nimesema nawahamasisha watoto wangu wawe wajanja wa lugha nyingi, sio kuishi kwenye kapu moja kama mambumbumbu.

point yangu ya msingi ni hapo chini kwenye nyekundu..

. kiswahili nakipenda, na huwa nahamasisha watoto wangu kukitumia pia pamoja na lugha zingine .
na hapa ukasema...
chetu ndio kipi maana hata kiswahili ambacho kilitokana na mwarabu bado sio chetu, labda nijivunie lugha yangu ya asili kikikuyu.
hivi unapendaje lugha na hujivunii??kama si unafiki si kutojitambua huko?...love and pride are inseparable..nasisitiza aidha hujitambui ama ni unafiki...

Sijui kama nina haja ya kukujibu,
hata hapa huna haja ya kunijibu..cha msingi ujumbe umekufikia..
 
Mmekurupuka nyote, ila wengi aidha hamjanielewa ama mnaponda tu kama ile kawaida yenu, mkishindwa na mada huwa mnashambulia hata giza, ila nitakujibu wewe maana naona kidogo unaonekana mstaarabu. Ripoti iliyoorodheshwa hapa ni utafiti ambao unaonyesha nchi zinazotumia Kingereza vizuri. Na Kenya imefaulu kupata namba nne Afrika, ila hamna sehemu imeelezwa kuwa Kingereza ndio lugha yetu ya kwanza.
Wakenya tunatumia lugha nyingi hadi zetu za asili. Kingereza na Kiswahili ni lugha za ofisi na huwa tunahamasisha watoto wetu kujifunza hadi Kifaransa na lugha zingine. Kuwa mjanja wa lugha ni muhimu hata kwenye uchumi.

Na hili la TOEFL lazima hata Wakenya tufanyishwe maana Kingereza sio lugha yetu ya kwanza, kama tu vile wengi wetu Kenya Kiswahili sio lugha yetu ya kwanza. Wengi tunaenzi kwanza lugha zetu za asili halafu baadaye ndio tunafuata hizi zingine za kuja kama Kiswahili na Kingereza. Sababu za sisi kuorodheshwa kuwa waongeaji wa Kingereza vizuri ni kwamba tunajifunza lugha zote tangia chekechekea, sio kama Watanzania mnaanza na Kiswahili hadi mnashtukishwa na Kingereza mkiwa sekondari.

Lakini ndugu umetumia neno ,,English speaking Country" sasa mimi Kiingereza SIYO lugha yangu kwanza lakini nakielewa mtu unaposema ,,this is an English Speaking Country" ina maanisha ni nchi ambayo kiingereza ni lugha yake, kama vile Australia, New Zealand, sehemu ya Kanada, Marekani hizi zote ni english speaking countries hata Wazungu wa AK Kusini wale wenye asili ya Uingereza ni English speakers na wanafunzi wanaotoka New Zealnd au Australia wakienda kusoma Marekani hawahitaji kufanya mtihani wa TOEFL kwa maana wanatoka English Speaking Country!

Sasa wewe unapoita Kenya au Uganda ni english speaking Countries wakati kwenye hizi nchi watu wanaoweza kuzungumza, kuelewa na kukitumia kiingereza kwa ufasaha hata Nairobi peke yake asilimia 25 haifiki, sijui umetumia kigezo gani!
 
English speaking countries zipo mara kadhaa
- Countries where English is a de jure official language.
- Countries where English is a de facto official language.

Tanzania yako na Kenya yangu tupo kwenye hiyo ya kwanza List of English Speaking Countries
 
I'm beginning to doubt if you are real kenyan. At least Mzundevi comes across as genuine kenya but uninformed. Fortunately i live right at the border with kenya and i can easily pretend to be kenyan. English is absolute important as it open the world to you. But kenyans are quickly realizing how important it is to be fluent in Swahili. I have also lived and worked in the western world with kenyans. Trust me, they all claim to be fluent in Swahili until they are actual asked to use it and then they will be quickly to point at Tanzanians. I was once shocked when a kenyan friend was offended when his english was corrected by some mzungu in a bar. To be honestly mzungus rarely noticed the difference between my english kenyans english. I have never been so proud of my Swahili till now. If you think Swahili is not important ask Jaguar why bongo flava is selling.

Waafrika tuko na shida sana yaani tunatambishiana kujua lugha ya mtu mwingine, mi huko western countries nilienda kuomba job nikiwa na mkenya na mghana cha ajabu mimi mtz nilipata hiyo job nikawaacha hao wanaojua lugha ya mzungu!! Kuulizia kumbe wazungu the more darker u are ndio wanakuogopa na hawakutrust zaidi looh!
Sasa nikiona mbantu anapigania lugha ya mzungu namshangaa sana unless uchobge pua na ujibleach labda watakufikiria lakini mengineyo weusi hatupendwiiii hata tukiongea hiyp lugha kuliko hata Queen Elizabeth mwenyewe wewe kwao utabaki ni nyani aliyevalishwa nguo tu
 
point yangu ya msingi ni hapo chini kwenye nyekundu..

na hapa ukasema...

hivi unapendaje lugha na hujivunii??kama si unafiki si kutojitambua huko?...love and pride are inseparable..nasisitiza aidha hujitambui ama ni unafiki...

hata hapa huna haja ya kunijibu..cha msingi ujumbe umekufikia..

Being pride of something is placing it above others, however, I love others too.......
 
Waafrika tuko na shida sana yaani tunatambishiana kujua lugha ya mtu mwingine, mi huko western countries nilienda kuomba job nikiwa na mkenya na mghana cha ajabu mimi mtz nilipata hiyo job nikawaacha hao wanaojua lugha ya mzungu!! Kuulizia kumbe wazungu the more darker u are ndio wanakuogopa na hawakutrust zaidi looh!
Sasa nikiona mbantu anapigania lugha ya mzungu namshangaa sana unless uchobge pua na ujibleach labda watakufikiria lakini mengineyo weusi hatupendwiiii hata tukiongea hiyp lugha kuliko hata Queen Elizabeth mwenyewe wewe kwao utabaki ni nyani aliyevalishwa nguo tu

Fahamu hatuongei Kingereza ili tupendwe na Wazungu, ila kwa ajili ya kuwasiliana maana kina uwezo mkubwa zaidi ya Kiswahili. Ni kama jinsi unavyovaa suti na tai za Waingereza ukiingia ofisini, maana zinapendeza zaidi ya vitenge vya Kiafrika.
 
English speaking countries zipo mara kadhaa
- Countries where English is a de jure official language.
- Countries where English is a de facto official language.

Tanzania yako na Kenya yangu tupo kwenye hiyo ya kwanza List of English Speaking Countries

Tanzania SIYO English Speaking Country, bali kiingereza pia hutumiwa hasa kwenye mambo ya Sheria, lkn hii haifanyi nchi ya Tanzania kuwa english speaking kwangu mimi unaposema nchi fulani ni english speaking maana yake ni kwamba asilimia 98% ya Wananchi wa hiyo nchi wanatumia lugha hiyo ya English katika maisha yao ya kila siku!

Halafu hizi copy and paste za kwenye Internet zisikuzinguwe na kukupotosha nitakupa mfano mdogo sana ktk maisha yangu nilibahatika kutembelea nchi za Ulaya kwa mfano nilifika Sweden au Denmark na Uholanzi napia nimefika nchi za Kiafrika kama Ghana, Kenya, Uganda n.k ukiangalia wananchi wa nchi ya Sweden au Uholanzi karibu wote wanaongea Kiingereza kizuri kabisa na asilimia ya Waholanzi au Wasweden wanaoweza kuongea na kuandika kiingereza ni wengi kupita Wakenya, Waghana au sijui Waganda wanao weza kuongea Kiingereza lakini Uholanzi ama Sweden haziitwi English speaking countries, sasa kwa nini?

Kama kigezo ni kuongea Kiingereza iweje watu wanaoweza kuongea Kiingereza kuliko Wakenya na Waghana wasiitwe English speaking country lkn wale wasioweza ndio waitwe english speaking Countries?

Sasa nitajaribu kulezea kinachotokea ni hivi Waafrika wengi wako kama wewe wakiulizwa Lugha yako ni ipi watasema ni English, french, Portugues au sijui Spanish kama anatoka Equtorial Guinea na hivyo mpaka viongozi wetu hivyo inapokuja swala la kujaza fomu nchi zetu huchagua kujaza lugha ya Kiingereza hata kama kwenye nchi zao watu wanaoongea kiingereza hawafiki asilimia 10% wakati nchi za Wazungu kama Waholanzi ukimuuliza Lugha yako nini atakwambia Kiholanzi ingawaje anajua Kiingereza karibu sawa tu na Kiholanzi ndio maana unaweza kutafuta kwenye internet ukapata hizi takwimu lakini Siyo hali halisi na ukisafiri Afrika kwenye hizi nchi zinazojiita english speaking utagundua wanaojua Kiingereza ni wachache sana, kwa mfano tulikwenda Mbarara Uganda hatukuweza kuwasiliana kabisa kwa maana wakazi wengi hawajui Kiingereza bali wanajua kinyankole sasa unajiuliza hiyo english speaking inatoka wapi?

Nitakupa mfano mwingine Burundi watakwambia ni french speaking lakini ukiwa Bujumbura ni bora ujue kiswahili unaweza kufika mbali kuliko Kifaransa, lkn ukimuuliza Mburundi ikiwa ni pamoja na Raisi wao atakwambia kwamba sisi ni french speaking na hapo ndipo hizi takwimu zinapokuja lakini SIYO Uhalisia kama tu yalivyo mambo mengi kwenye Afrika yetu!
 
Huna haja ya kutumia maneno mengi kuelezea jambo ndogo, elewa kwamba English Speaking Countries ni zile nchi Kingereza kinakubalika officially na hata kwenye stakabadhi za serikali, na sio lazima kila mkulima akiongee. Tanzania ni mojawapo wa hizo nchi. Ona hapa hata kwenye hela yenu, upande mmoja ni Kiswahili halafu mwengine ni Kingereza. Ni vile kimewakataa lakini wengi mngependa kukiongea.

5000-tz-shillings-back.jpg

Na kwa kujaza fomu, ni sahihi kwa mtu kusema anakielewa Kingereza, maana kuna watu wana uwezo wa kujieleza wakitumia Kingereza zaidi ya Kiswahili.
 
English speaking countries zipo mara kadhaa
- Countries where English is a de jure official language.
- Countries where English is a de facto official language.

Tanzania yako na Kenya yangu tupo kwenye hiyo ya kwanza List of English Speaking Countries

Sasa mbwembwe za kuanza kulinganisha Nchi za kwenye kundi hili bila kuwa na taarifa za kitaalamu zisizopingika ni nini kama sio uchakubimbi?

Ulidhania watu hawajui kundi Kenya ilipo?Msione watanzania wamekaa kimpya mkadhani hawajui. Kupayuka sio hulka yetu msio na haya nyie.
 
Mmekurupuka nyote, ila wengi aidha hamjanielewa ama mnaponda tu kama ile kawaida yenu, mkishindwa na mada huwa mnashambulia hata giza, ila nitakujibu wewe maana naona kidogo unaonekana mstaarabu. Ripoti iliyoorodheshwa hapa ni utafiti ambao unaonyesha nchi zinazotumia Kingereza vizuri. Na Kenya imefaulu kupata namba nne Afrika, ila hamna sehemu imeelezwa kuwa Kingereza ndio lugha yetu ya kwanza.
Wakenya tunatumia lugha nyingi hadi zetu za asili. Kingereza na Kiswahili ni lugha za ofisi na huwa tunahamasisha watoto wetu kujifunza hadi Kifaransa na lugha zingine. Kuwa mjanja wa lugha ni muhimu hata kwenye uchumi.

Na hili la TOEFL lazima hata Wakenya tufanyishwe maana Kingereza sio lugha yetu ya kwanza, kama tu vile wengi wetu Kenya Kiswahili sio lugha yetu ya kwanza. Wengi tunaenzi kwanza lugha zetu za asili halafu baadaye ndio tunafuata hizi zingine za kuja kama Kiswahili na Kingereza. Sababu za sisi kuorodheshwa kuwa waongeaji wa Kingereza vizuri ni kwamba tunajifunza lugha zote tangia chekechekea, sio kama Watanzania mnaanza na Kiswahili hadi mnashtukishwa na Kingereza mkiwa sekondari.

Tatizo nyi mnapenda ligi zisizo na sababu ya msingi.

Hiyo Kenya imefaulu, unaweza kutuonesha matokeo ya huo mtihani?au hujui maana ya kufaulu?yani hivyo vigazeti uchwara vyenu vinapita kukusanya maoni ya watu barabarani ndio mnaita mtihani?hayo ni maoni.

Uwezo wa kuongea Lugha haupimwi kwa mtazamo, bali kwa mtihani, na vipimo vinavyokubalika kitaalamu.nimeweka mfano hapo juu.

Hapo kwenye Nyekundu,usidanganye watu na wenye lugha yao wamewaweka kwenye kigezo cha Kujitahidi "competent". Yani hata kiwango cha Kuongea Vyema"good" Hamjafikia.

hizi nyengine ni porojo tu, kwetu pwani tunaita mazungumzo baada ya habari.

Mnatia huruma kwani kiingereza cha ugoko, Kiswahili Majanga, bora mkomae na Hicho kikikuyu, labda kitaleta matunda, huku kujishaua mnajua kingereza na kiswahili kunawaacha mkiwa weupe kila lugha.
 
Huna haja ya kutumia maneno mengi kuelezea jambo ndogo, elewa kwamba English Speaking Countries ni zile nchi Kingereza kinakubalika officially na hata kwenye stakabadhi za serikali, na sio lazima kila mkulima akiongee. Tanzania ni mojawapo wa hizo nchi. Ona hapa hata kwenye hela yenu, upande mmoja ni Kiswahili halafu mwengine ni Kingereza. Ni vile kimewakataa lakini wengi mngependa kukiongea.

5000-tz-shillings-back.jpg

Na kwa kujaza fomu, ni sahihi kwa mtu kusema anakielewa Kingereza, maana kuna watu wana uwezo wa kujieleza wakitumia Kingereza zaidi ya Kiswahili.

Hata Uholanzi pia fomu nyingi zipo zimeandikwa kwa kiingereza na Kiholanzi , ukifika Sweden maofisi mengi mpaka fomu zimeandikwa kwa lugha zote mbili kiswidish na kiingereza lkn kwa nini sasa Sweden haiitwi english speking country?

Tanzania unaweza kukaa mwaka mzima haujakutana na Mtu anaongea Kiingereza iweje nchi kama hii uiite an english speaking country?
 
Huna haja ya kutumia maneno mengi kuelezea jambo ndogo, elewa kwamba English Speaking Countries ni zile nchi Kingereza kinakubalika officially na hata kwenye stakabadhi za serikali, na sio lazima kila mkulima akiongee. Tanzania ni mojawapo wa hizo nchi. Ona hapa hata kwenye hela yenu, upande mmoja ni Kiswahili halafu mwengine ni Kingereza. Ni vile kimewakataa lakini wengi mngependa kukiongea.

5000-tz-shillings-back.jpg

Na kwa kujaza fomu, ni sahihi kwa mtu kusema anakielewa Kingereza, maana kuna watu wana uwezo wa kujieleza wakitumia Kingereza zaidi ya Kiswahili.

Wewe Pimbi Kasorobo hata Japan kingereza kinakubalika kwenye Document zao za kiserikali, hiyo haimaanishi kuwa Japani ni Nchi inayoongea Kiingereza.

Mfano halisia hii hapa kadi ya Gaijin

20120715222234eb6.jpg

Shida yenu nyie Kikuyu ni kujifanya mnajua sana wakati hamjui, bora mjikaliage kimya tu. Huo uongo na ujanja ujanja wenu pelekeni huko huko.

Kiingereza ni lugha ya Jumla, Lugha ya Dunia. Popote kipo na kinakubalika kama lugha rasmi, pindi lugha ya asili ya sehemu husika inapokuwa haiswihi, ndio maana nchi nyingi zinatumia kiingereza kama lugha ya kiofisi, hakuna umaarufu wala umaridadi wowote wa kutumia kiingereza kwenye shughuli za kikazi.
 
Dude. Ethiopia has never been colonized. Please fact check before you post
Even a primary school drop out knows that Ethiopia was not colonized. But I have spoken about colonial mentality. Colonial mentality is a different thing, it goes to the wider perspective of colonization. With this Neo colonialization concept even Ethiopia is colonized i.e. its also highly influenced by what is being planned by the US & Co. and also Chinese colonisation has not spared Ethiopia. The point is if you compared with other African states you will find Ethiopia at the top of Pan African countries fighting to defend Africanism although she is also still not making it. But at least she struggles.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom