Top 100 Universities in Africa...Heko UDSM!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Top 100 Universities in Africa...Heko UDSM!!!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Sep 6, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Sep 6, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  Nimegongana na hii lnk inayo-orodhesha the top 100 Universities
  in Africa.University Of Dar-es-Salaam inaongoza hapa East Africa
  ikifuatiwa na Nairobi University.

  Heko UDSM.

  Cheki link... http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa

  1 University of Cape Town Flag of za 385
  2 Stellenbosch University Flag of za 654
  3 Rhodes University Flag of za 722
  4 University of Pretoria Flag of za 734
  5 University of the Witwatersrand Flag of za 831
  6 University of the Western Cape Flag of za 1,218
  7 University of Kwazulu Natal Flag of za 1,313
  8 University of South Africa Flag of za 1,499
  9 American University in Cairo Flag of eg 1,654
  10 Nelson Mandela Metropolitan University Flag of za 2,145
  11 Cairo University Flag of eg 2,934
  12 University of the Free State Flag of za 2,946
  13 Université Cheikh Anta Diop de Dakar Flag of sn 2,962
  14 University of Johannesburg Flag of za 3,704
  15 University of Mauritius Flag of mu 3,756
  16 Université Cadi Ayyad Flag of ma 3,961
  17 University of Zimbabwe Flag of zw 4,001
  18 Mansoura University Flag of eg 4,002
  19 Ain Shams University Flag of eg 4,112
  20 University of Namibia Flag of na 4,223
  21 Polytechnic of Namibia Flag of na 4,270
  22 Al Akhawayn University Ifrane Flag of ma 4,275
  23 Université Abdelmalek Essadi Flag of ma 4,309
  24 University of Dar Es Salaam Flag of tz 4,334
  25 University of Nairobi Flag of ke 4,338
   
 2. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wametumia vigezo gani kuiweka ya 24?
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo ni ya zamani, the latest is this one, though bado UDSM inatesa kimtindo!!!!!!!!!  1 University of Cape Town South Africa
  2 University of Pretoria South Africa
  3 Cairo University Egypt
  4 University of South Africa South Africa
  5 Universiteit Stellenbosch South Africa
  6 Rhodes University South Africa
  7 University of KwaZulu-Natal South Africa
  8 Mansoura University Egypt
  9 Ain Shams University Egypt
  10 University of Johannesburg South Africa
  11 University of the Western Cape South Africa
  12 Helwan University Egypt
  13 University of Ghana Ghana
  14 University of Witwatersrand South Africa
  15 University of Dar-es-Salaam Tanzania
  16 Université de la Reunion Reunion
  17 University Cheikh Anta Diop of Dakar Senegal
  18 American University in Cairo Egypt
  19 Nelson Mandela Metropolitan University South Africa
  20 German University in Cairo Egypt
  21 University of Botswana Botswana
  22 University of the Free State South Africa
  23 North-West University South Africa
  24 Polytechnic of Namibia Namibia
  25 Arab Academy for Science & Technology and Maritime Transport Egypt
  26 Kwame Nkrumah University of Science and Technology Ghana
  27 Assiut University Egypt
  28 Université Cadi Ayyad Morocco
  29 University of Nairobi Kenya
  30 University of Mauritius Mauritius
  31 Universidade Eduardo Mondlane Mozambique
  32 Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen Algeria
  33 Al Akhawayn University Morocco
  34 Alexandria University Egypt
  35 Obafemi Awolowo University Nigeria
  36 Université d'Alger Algeria
  37 Université des Sciences et de la Technologie "Houari Boumediène" Algeria
  38 Kigali Institute of Science and Technology Rwanda
  39 University of Khartoum Sudan
  40 Walter Sisulu University South Africa
  41 Mohammed I University Oujda Morocco
  42 University of Malawi Malawi
  43 University of Zambia Zambia
  44 Université de Ouagadougou Burkina Faso
  45 University of Ibadan Nigeria
  46 Université de Tunis El Manar Tunisia
  47 University of Zimbabwe Zimbabwe
  48 University of Swaziland Swaziland
  49 Université Badji Mokhtar de Annaba Algeria
  50 Université Senghor Egypt
  51 Ecole Nationale Polytechnique Algeria
  52 Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kenya
  53 University of Namibia Namibia
  54 Makerere University Uganda
  55 Université de Tunis Tunisia
  56 National University of Lesotho Lesotho
  57 Addis Ababa University Ethiopia
  58 Abti-American University Nigeria
  59 University of Nigeria Nigeria
  60 Université de Nouakchott Mauritania
  61 University of Venda for Science and Technology South Africa
  62 Université d'Antananarivo Madagascar
  63 Université Mohammed V - Agdal Morocco
  64 Université Nationale du Rwanda Rwanda
  65 Egerton University Kenya
  66 University of Zululand South Africa
  67 Ecole du Patrimoine Africain Benin
  68 National University of Science and Technology Zimbabwe
  69 Mbarara University of Science and Technology Uganda
  70 Sokoine University of Agriculture Tanzania
  71 Université de Fianarantsoa Madagascar
  72 Garyounis University Libya
  73 Zagazig University Egypt
  74 Strathmore University Kenya
  75 Sudan University for Science and Technology Sudan
  76 United States International University Kenya
  77 University of Technology, Mauritius Mauritius
  78 Université de Batna Algeria
  79 Tanta University Egypt
  80 Minufiya University Egypt
  81 Benha University Egypt
  82 University of Jos Nigeria
  83 South Valley University Egypt
  84 Central University of Technology, Free State South Africa
  85 Ahmadu Bello University Nigeria
  86 The British University in Egypt Egypt
  87 Université M'hamed Bouguerra de Boumerdes Algeria
  88 Université Hassan Ier Morocco
  89 Université de Toamasina Madagascar
  90 Vaal University of Technology South Africa
  91 Université Mentouri de Constantine Algeria
  92 Ashesi University Ghana
  93 University of Port-Harcourt Nigeria
  94 Université des Sciences et de la Technologie Mohamed Boudiaf d'Oran Algeria
  95 Université Amar Telidji de Laghouat Algeria
  96 University of Limpopo South Africa
  97 Université Saad Dahlab de Blida Algeria
  98 Université d'Oran Algeria
  99 Université de Béjaïa Algeria
  100 Moi University Kenya


  Last update: 27/08/2008
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Sep 6, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Safi sana.Bado UDSM inabidi kuimarisha taaluma na miundombinu
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 6, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  mbona vya afrika kusini vinaongoza? au kwa sababu ya wazungu....
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  .....kwa sababu wanafunzi waliowengi ni weusi!! lol :)
   
 7. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanza ninakipongeza chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa nafasi kilichoshikilia.

  Ni vegozo gani vinatumika kupangwa vyuo hivyo? na kuonekana hiki ni bora kuliko kingine?
   
 8. G-son

  G-son Member

  #8
  Sep 6, 2008
  Joined: Sep 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hi. This is interesting. Labda naomba niulize kwa yeyote anayejua, ni vigezo gani vinatumika kuzi rank versities. Sokoine inabidi wavute sana makasia maana wako chini sana.
   
 9. G-son

  G-son Member

  #9
  Sep 6, 2008
  Joined: Sep 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naona kuna mdau kawahi kuuliza swali, nadhani hii ni changamoto kwa watanzania kujua vyuo vyetu sasa.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Sep 6, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  kama ni hivyo mbona vya Nigeria haviongozi.....?
   
 11. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #11
  Sep 6, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Hapana msibabaishwe na ranking hizi ambazo zinafuata idadi ya visitors kwenye website za vyuo hivyo (webmetrics). Vyuo vinavyopata ranking za juu ni vile ambavyo website zake ni nzuri na zina habari nyingi kiasi kuwa zinavutia visitors wengi. Website ya UDSM ni ya kizamani sana ambayo information zake ziko outdated kabisa kwa hiyo sishangai kuona ranking yake kwenye webmeterics imetelemka ghafla kiasi hicho.

  Nikitulia nitawaletea ranking sahihi ambazo zinafuata academics: yaani mitaala, quality ya graduates, quality ya waalimu, quality ya learning environment kwa wanafunzi, na uwezo wa waalimu kwenye kufanya utafiti.
   
 12. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mkuu umefanya vizuri kutoa ufafanuzi wa vigezo vilivyotumika. Mimi nilicheki hivyo vigezo halafu nikagwaya. Nikaangalia kwa dunia nikaona vyuo 100 bora vyote ni US isipokuwa kama vitano tu ambavyo mojawapo ni Cambridge nafasi ya ishirini na.. nikaona huu ni uzushi.

  Hata hivyo nadhani Dar ipo juu hasa baada ya ma-professor wawili kupata Nobel prize mwaka jana.
   
 13. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  dis mus b a joke or somethin close to dat...udsm kuwa ya 15 in africa interms of what???labda somethin else cz kitaaluma i don think so,ki majengo n facilities i aint even plan on thinkin abt it sijui ni nini
  kwa aliyeuliza y south african uni. ziko juu kusema kweli i would jus like to mshauri aende mwenyewe kujionea hivyo vyuo...cz ni more like uko majuu kwa wazungu wenyewe the way vinavyovutia hata mtu kusoma!
   
 14. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Rank ni hiyo lakini haina implications zozote. To me is like a marketing strategy tu. For instance Sokoine iko chini ila kitaaluma ukilinganisha uelewa wa students ni juu kuliko vyuo vyote Tanzania ikifuatiwa na labda Mzumbe. Pass mark ni 50% wakati UDSM ni 40% kwa hiyo mjinga wa Sokoine ni ongoing student UDSM. Sasa criteria kama ni ya majengo na wingi wa wanafunzi poa. Ila kitaaluma I should have expected Sokoine to be top among Tanzanian Universities. Mwenye information zaidi anaweza akaziweka hapa tuwa-informed zaidi na kui-challenge hii list/ranking.
   
 15. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #15
  Sep 6, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280

  Hilo la Pass mark halina uzito wowote kwa vile hizo scores zinatolewa kulingana na standard ya chuo chenyewe. Inawezekana kabisa aliyepata 60% kwenye chuo chenya passmark ya 60% ukimweka kwenye chuo chenye passmark ya 40% akaambulia 20% tu. Ninawajua waliosoma UDSM wakijikongoja kufikia 50% ili waepuke makarai, lakini walipokwenda ng'ambo wakawa ndio vipanga wa madarasa yao wakikwaa A tupu.
   
 16. M

  Mama JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  umejuaje? Jirambe.

  Keep it up UDSM, the first north of carpricon na south of sahara.
   
 17. Tonga

  Tonga Senior Member

  #17
  Sep 7, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I am glad Nigeria hawaongozi kwasababu hawa watu wana majigambo sana.
  Tena nitamtumia mmojawao hii link ili apunguze kujidai....wanadharau sana nchi nyingine za Africa.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Sep 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sasa kama chuo chetu ni bab kubwa kwa nini hatuendelei?
   
 19. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hii ni double standard kichuguu kwa sababu tunalinganisha study evironment. Ng'ambo si standard ya elimu, kumbuka civilisation ilianza wapi. Just recall your history. To this I mean Pyramids hazikujengwa na wajerumani, tufike mahali tuheshimu standard zetu na kamwe tusilinganishe na wao. Kwani pia wao hutushangaa kama tunaweza kusoma kwa kukariri na kuweza kuwa practical in the field. Ni maajabu haya. Believe me I tell you ukienda katika huu mchakato wa kutafuta 50% au 40% utajua nini nakisema hapa! Anyway all in all ushindani wa ndani ndio tunautaka na si wa nje ili kutoa na kupata elimu bora na si bora elimu! Kichuguu tupatie hiyo list according to academics naisubiri sana! Thanks!
   
 20. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hata mimi mpaka leo nashindwa kujua wanatumia vigezo gani kufanya ranking ya hivi vyuo, na ni nani haswa anayefanyia ranking ya hivi vyuo...!

  Kwa chuo kama UDSM kuwa cha 15 sizani kama ni kweli, UDSM ni kati ya vyuo rigid academically and some how lacks innovations on its academic caricula, pale wamejaa maprofessa na madokta walio na ideas kwamba ukifelisha wanafunzi (ukawapa suplimentary) basi ndio chuo kinaonekana kipo juu...!

  Pia baadhi ya Mitaala imepitwa na wakati hasa ukizingatia demand ya soko, angalia Mzumbe university imekuja juzi tu lakini wamekuja na courses nzuri na zilizo relevant hata kushinda UDSM, leo hii mtu wa Mzumbe akimaliza Accounts pale anapata excemption ya masomo saba ya ACCA, unlike UDSM ambaye inabidi afanye masomo yote 14...!

  Kwa kweli mi sijajua ni kigezo gani kimetumika, haswa ukizingatia wanafunzi wa UDSM pamoja na kuwa ni baadhi ya wanafunzi wazuri sana kitaaluma lakini ni kati ya wanafunzi walio na pass marks (GPA) mbovu sana kulinganisha na vyuo vingine...!
   
Loading...