Makerere university,best in east Africa, UDSM lagging behind

Makerere university,best in east Africa, UDSM lagging behind

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,445
Reaction score
1,891
Habari za wakati huu. Nataka mjworld
amba katika ukanda wa Africa mashariki makerere university ya Uganda imeendelea kufanya vizuri,

Imeshika nafasi ya 12 kusini mwa jangwa la sahara na 1486 duniani kote

Wakati UDSM ikishika nafasi ya 20 kusini mwa jangwa la shahara na 2098 duniani,

Tanzania elimu inaendelea kushuka , mlinganyo wa mwaka 2010
UDSM ilikuwa ya 3 kusini mwa jangwa la Sahara na kufuatiwa na
SUA 15 Kufuatiwa
muhimbili 26 ,
Mzumbe 34 ,
na IFM 73 Kati katika kusini mwa jangwa la Sahara

Wakati mwaka huu 2017

UDSM 20
Muhimbili27
SUA 34
UDOM 90
Mzumbe 98,

Pitia hapa
Sub-Saharan Africa | Ranking Web of Universities


Na uko duniani vyuo 50 Bora USA Ina vyuo 44 katika vyuo hamsini bora vya mwanzo,

World | Ranking Web of Universities

Na kwa Tanzania vyuo vikuu ubora ni kama.ifuatavyo
Tanzania, United Republic of | Ranking Web of Universities

12098University of Dar Es Salaam

2354Muhimbili University of Health and Allied Sciences

2591Sokoine University of Agriculture

5069University of Dodoma

5626Open University of Tanzania

5704Mzumbe University

6333Mkwawa University College of Education

86478Catholic University of Health and Allied Sciences (Weill Bugando University College)

97352Ardhi University

8430Institute of Rural Development Planning

9472University of Iringa

9729Nelson Mandela African Institute of Science & Technology

9951Sumait University

10835State University of Zanzibar

11431Hubert Kairuki Memorial University

12503Dar Es Salaam Institute of Technology

14080College of Business Education

14243Institute of Finance Management

14399Kampala International University

15240Saint Augustine University of Tanzania

16508Tumaini University Makumira

16812Institute of Accountancy Arusha

16854Saint John's University of Tanzania

16946Kilimanjaro Christian Medical University College

17168Muslim University of Morogoro

17307Zanzibar University

17371Mount Meru University

17855Dar es Salaam University College of Education

17865Moshi Co-operative University

18028International Medical & Technological University

19804Teofilo Kisanji University

19822Arusha Technical College

20098Mbeya University of Science & Technology

20309Sebastian Kolowa Memorial University

20502Mwalimu Nyerere Memorial Academy

20791University of Arusha

20910University of Bagamoyo UoB Dar es Salaam

21055St Joseph University in Tanzania

21232United African University of Tanzania

21647Tumaini University Stefano Moshi Memorial University College

21776Tanzanian Training Centre for International Health

21776Tumaini University Dar es Salaam College

21911Ruaha Catholic University

22006Jordan University College

22232Archbishop Mihayo University College of Tabora

22295St Francis University College of Health and Allied Sciences

22529Stella Maris Mtwara University College

23381Mwenge Catholic University

3732Josiah Kibira University College
 
Bado tuna safari ndefu ya kuendesha sekta zote kwa weledi na kuzipeleka kwenye kutoa huduma zilizo bora.
 
Back
Top Bottom