sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Nn amefanya kontena tu ndo tumtaje hapa jaman?Anza kumwonyesha bashite
Nn amefanya kontena tu ndo tumtaje hapa jaman?Anza kumwonyesha bashite
Ila ujumbe umeupata au hujaupata mimi sijaandika ili usome ukiwa unacheka lazima unune.Mimi naanza na wewe.
Sijaupenda mwandiko wako make nimesoma huku nimekunja uso.
Wewe mwenyewe hujatoa ushahidi wa alichokutendea Tizeba! Na kwanini ulingoja aondolewe? Au wewe ndiyo ulimwambia Rais ampumnzishe?Habar wana wanajamvi?
Kwa kuwa Jf ni platform kubwa nchini na imechangia kwa kiasi kikubwa sanaa serikali kupata Taarifa mbali mbali sasa binafsi nmeona ni vyema sasa wanajf tuwe na uzi special kabsa wa kumtajia wateule wake wanavyo mwaangusha!
Kupia eneo ili endapo mwana jf utaenda kwenye ofisi ya umma na ukakosa huduma kwa sababu ya ngiriba za viongozi wetu tafadhali kupitia hapa mtaje aliyekufanyia ngiriba hizo mpk ukakosa huduma!
Umeenda kwa mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya?mkurigenzi au mtendaji yoyote ukakosa huduma kisa ni rushwa au ngiriba mshenzi tafadhali aliyekufanyia hivyo wewe kazi yako n ndogo tu mfyekeleee mbali humu ndani
Mimi naanza na aliyekuwa Waziri wa kilimo Charles Tizeba kiukweli sikuwah kumwelewa maana alipewa wizara ambayo hakuwa na uelewa nayo nashukuru katumbuliwa.
Je nani mwingine???????
Tililika hapa chini mtaje mtu weka na ushaidi.
This time who is next? Ben 🔫Mh Rais nakupongeza sana kwa kazi nzuri waifanya kiukweli nakupongeza.
Ila mh Rais najuwa unamisimimamo mikali hasa linapokuja swala la wananchi wako kudhulumiwa au vitendo vya Rushwa na maonevu kwa wanyonge.
Mh Rais kiukweli huitaji jeshi lenye silaha kali za kivita ila unaitaji smart people wenye uzalendo na taifa lao.
Huitaji kuongea sana but ye need to silence this type of people na wasijuwe vile wapo silence na hili linawezekana kwa kuwekeza kwenye Tiss na specila military group.
Huitaji kutenguwa na kuweka mwingine unaitaji kuwa na system itawatenguwa na kamwe hawawezi rudi ktk uso wa siasa na kusema nin kiliwapata.
Mh Rais hawa watu ni cancer iliobadilika kuwa tambaza unapo ona una team ya mawaziri na wana tegeana jiulize nani anawa remote ndipo ukumbuke option 1.
Watu walizoea vibaya na wanamitandao mibaya ndio wanaitesa serikali. Naamini ukijuwa kila file la hawa watu unaweza tamani kunyonga wahujumu uchumi..
High IQ team itakusaidia sana kumaliza huu ujinga. Imetosha kiukweli..
Zama zimebadilika kama hawabadilik na wanafanya usanii je maendeleo ulio ahid wananchi yatafika lini?
Acha kuanzisha uzi na kujijibuUmenena, mi nashangaa sana, sisi watanzania tumezoea maisha ya kuunga unga na ukwepaji kodi. Hata kutenda kazi hakuna tunataka madeal kila wakati. Hii tabia ilijengeka kiasi watu wameona ni utamaduni wa kawaida. Viongozi na wafanya biashara wakubwa wanahujumu nchi. Hii ni kutokana na wafanya biashara wakubwa nao ni wababaishaji. Wakwepa kodi na kufanya magendo. Rais inabidi atumie mfumo muafaka kuhakikisha hii tabia inakoma. Watanzania ndo Taifa tunalo jidharau wenyewe na hata aibu hatuoni. Nimetembea nchi kadhaa Africa, Ulaya,America na Asia huwezi kuta wanajidharau. Hii ndo maana hata majirani zetu wanatudharau. Rais asiwaonee huruma wanao hujumu nchi. Nchi za Ulaya zimeendelea viongozi hawakuwa na mchezo ukionekana msaliti basi utakijua kifuatacho.Rais anapigania Taifa watu makelele anafanya kwa faida ya Taifa watu vidomo. Upinzani wetu si wa kimaendeleo umejaa majungu na fitina pia wivu tu. Nanukuu, Tena wivu wa kike by Samwel Sitta.
Sijui kwann mods wake merge huu Uzi na uzi wa 2016Wewe mbuzi unapenda sana kushabikia mauaji hivi umeshawahi japo kushuhudia mauji ya kikatili? Nakuuliza swali wewe unayeamini kuwa mzalendo ni kumuua kila mtu anayekua tofauti na matakwa yako, nikuahidi kitu?
Sijui kwann mods wake merge huu Uzi na uzi wa 2016
Acha kuanzisha uzi na kujijibu
Yaan wameukosesha raha huu Uzi. Huyu tumainiel keshazoea kunywa damu za watu hivyo muda wote anawaza kuwa silence watuHawa nao wanamatatizo yao.
Kwamba ni multiple id ama?Usilo lijua ni sawa na usiku wa giza
Ni kweli haikuhitaj jeshi kumsilence azory, bensaa8, mvungi etc. Na ninaamin ww kama mmoja wa hao smart high IQ team kazi yenu ni nzur sanaMh Rais nakupongeza sana kwa kazi nzuri waifanya kiukweli nakupongeza.