She kero kubwa Ni Barabara kwa wakaazi wa kigamboni maeneo ya financial Mata wa sileNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Hili nalo nenoUtasikia basi limeua wanne,
Piki piki imeua sita,
Au waliokufa muhimbili wamefika 100 kwa mwaka jana,
Meli ya Nungwi imeua 60,
Na hao ni wateja wa M-PESA, Tigo pesa na Airtel money,
Hela zao zinaendaga wapi?
Kuna utaratibu upi wa kuwapatia survivorship au next of kin wao?
Amtamkie nani wakati jipu lipo usoniKelo yangu ni upotevu wa 1.5 t raisi mbna utoi tamko lolote lile
Nafikiri kwa namna ambavyo Rais anavyofanya kazi, hizo kero zitaondoka tu, kikubwa ambacho tunatakiwa kufanya ni kumuombea tu ili aweze kutekeleza yote hayaNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Umesema vyemaMaabala zilizojengwa mashuleni hazikamishwi.
Kama mtu kakwamisha si abainishe kuna shida gani?
Ni hasara kwani wananchi walishatimiza wajibu wao hadi hapo zilipo.
Sasa serikari si imalizie?