Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

Jones Clean

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
417
733
Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri kuliko Simba ni kukosa adabu. Yanga angecheza na Raja angekula 7 Kwa Mkapa kule Uarabuni angekula 10.

Leo Simba anapambana na giants wa Afrika kama Mamelod, Al Ahly, Wydad n.k timu ambazo Utopolo hawezi kutia mguu.

Tuliwapelekea moto Horoya, Utopolo mkasema Horoya wadhaifu na wabovu leo tumewapelekea moto, tulikuwa tunakuja km nyuki mmepoteana na mlitakiwa mle goli 5. Je, mmekubali na nyie wadhaifu?

Hiyo ligi yenu ya Vilaza na kina Rivers sijui Monastri Simba akija huko anachukua Hilo kombe asubuhi tu.

Tunawakubusha tu Ligi Kuu bado mbichi sana.
 
Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Tuachane na Hilo.
Yanga wajue Simba sio level zao vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri kuliko Simba ni kukosa adabu. Yanga angecheza na Raja angekula 7 Kwa Mkapa kule uarabuni angekula 10.
Leo Simba anapambana na giants wa Afrika km Mamelod, Al Ahly, Wydad n.k timu ambazo Utopolo hawezi kutia mguu.

Tuliwapelekea moto Horoya, Utopolo mkasema Horoya wadhaifu na wabovu leo tumewapelekea moto, tulikuwa tunakuja km nyuki mmepoteana na mlitakiwa mle goli 5. Je mmekubali na nyie wadhaifu??

Hiyo ligi yenu ya Vilaza na kina Rivers sijui Monastri Simba akija huko anachukua Hilo kombe asubuhi tu.

Tunawakubusha tu ligi kuu bado mbichi sana.
Ngoja tuone nani ananyanyua ndio kimataifa na ndani, πŸ€”
 
Yanga bado haina kikosi cha ushindani. Mayele kazi kutikisa rasta tu. Aziz Ki kazi kukenua hovyo, huyo Musonda ndo alipotea kabisa.

Yanga wasipoangalia hata Rivers watawachapa weekend ijayo
 
Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri kuliko Simba ni kukosa adabu. Yanga angecheza na Raja angekula 7 Kwa Mkapa kule Uarabuni angekula 10.

Leo Simba anapambana na giants wa Afrika kama Mamelod, Al Ahly, Wydad n.k timu ambazo Utopolo hawezi kutia mguu.

Tuliwapelekea moto Horoya, Utopolo mkasema Horoya wadhaifu na wabovu leo tumewapelekea moto, tulikuwa tunakuja km nyuki mmepoteana na mlitakiwa mle goli 5. Je, mmekubali na nyie wadhaifu?

Hiyo ligi yenu ilaza na kina Rivers sijui Monastri Simba akija huko anachukua Hilo kombe asubuhi tu.

Tunawakubusha tu Ligi Kuu bado mbichi sana.
Swali fikirishi je nikweli Simba dume Mzee Huwa anafukuzwa kwenye boma?, Km nikweli nitajieni Sababu mbili kuu za kufukuzwa kwenye boma na kubaki akizulula
 
Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri kuliko Simba ni kukosa adabu. Yanga angecheza na Raja angekula 7 Kwa Mkapa kule Uarabuni angekula 10.

Leo Simba anapambana na giants wa Afrika kama Mamelod, Al Ahly, Wydad n.k timu ambazo Utopolo hawezi kutia mguu.

Tuliwapelekea moto Horoya, Utopolo mkasema Horoya wadhaifu na wabovu leo tumewapelekea moto, tulikuwa tunakuja km nyuki mmepoteana na mlitakiwa mle goli 5. Je, mmekubali na nyie wadhaifu?

Hiyo ligi yenu ya Vilaza na kina Rivers sijui Monastri Simba akija huko anachukua Hilo kombe asubuhi tu.

Tunawakubusha tu Ligi Kuu bado mbichi sana.
Na mimi nakukubusha tu muda ni rafiki mzuri. 😁
 
Na wewe now upo shirikisho na timu yako mbovu sana 😁🀣
 
Yanga bado haina kikosi cha ushindani. Mayele kazi kutikisa rasta tu. Aziz Ki kazi kukenua hovyo, huyo Musonda ndo alipotea kabisa.

Yanga wasipoangalia hata Rivers watawachapa weekend ijayo
Wewe timu yako ni WA tatu na unacheza shirikisho
 
Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri kuliko Simba ni kukosa adabu. Yanga angecheza na Raja angekula 7 Kwa Mkapa kule Uarabuni angekula 10.

Leo Simba anapambana na giants wa Afrika kama Mamelod, Al Ahly, Wydad n.k timu ambazo Utopolo hawezi kutia mguu.

Tuliwapelekea moto Horoya, Utopolo mkasema Horoya wadhaifu na wabovu leo tumewapelekea moto, tulikuwa tunakuja km nyuki mmepoteana na mlitakiwa mle goli 5. Je, mmekubali na nyie wadhaifu?

Hiyo ligi yenu ya Vilaza na kina Rivers sijui Monastri Simba akija huko anachukua Hilo kombe asubuhi tu.

Tunawakubusha tu Ligi Kuu bado mbichi sana.
Kiba anachekea chooni
 
Back
Top Bottom