Tofauti ya Samia na Hadija kopa ni ipi?

Tofauti ya Samia na Hadija kopa ni ipi?

Kuwanyali ndio kufanya nini madam🤣 nitoe ushamba
MIN me NI ile unamshusha na kumpandisha mtu kwa macho, ni hali ya kujiona bora kuliko mwingine unanata fulani.

EvilSpirit ilikuwa kwenye harusi ya mtoto wa Raisi wa Zanzibar. Kuna mwimbaji wa taarabu alialikwa kuburudisha, sasa akawa amesimama pale anacheza wao wanayumbayumba si uchezaji kama wa huku Bara.
 
Yupo mwanamama mmoja kama una Instagram tafuta Sabra machano, kutwa na shughuli, na kujipaka tope zao zile za usoni na kuchamba! A.k.a chips chafu
Kwa heshima na taadhima na na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ikikupendeza nimuite huyo mama Mpumbavu Mwandamizi japo simfahamu,Naomba kuwasilisha.
 
MIN me NI ile unamshusha na kumpandisha mtu kwa macho, ni hali ya kujiona bora kuliko mwingine unanata fulani.

EvilSpirit ilikuwa kwenye harusi ya mtoto wa Raisi wa Zanzibar. Kuna mwimbaji wa taarabu alialikwa kuburudisha, sasa akawa amesimama pale anacheza wao wanayumbayumba si uchezaji kama wa huku Bara.
Hawa itakuwa hawana mjini Instagram maake hiyo kila mtu aliiona mbona na kutunzana buku buku, so kama huku bara watu wanamwaga radhi,

Sema hangaiya Yale macho akikutizama kama humjui utafkr dharau,

Ako na sweet smile,
 
Zanzibar ni kituo ila kiasili mmoja ni mmakonde wa Musumbiji na mwingine Oh man.
 
Ila ukweli usemwe, ukiacha njaa (uchawa na wale wabembeleza vyeo) sa100 hatoshi kbs kwenye urais...uwezo wake ni mdogo mnoo, anaonekana ni mwepesi kudanganywa na waliomzunguka kwasabb yeye binafsi hawezi kuchambua masuala na kuyatolea majibu sahh.
Ukitaka kuona uwezo wake halisi, mtazame & kumsikiliza kwa makini akiwa anaongelea jambo fulani bila kuwa anasoma alichoandaliwa!.
Huoni hoja na vision ya mtu caliber ya rais....wa kawaida sana, ingetosha urais ule wa kurithi pekeyake, potelea mbali hata kama angekuwa mwingine kutoka huko huko ccm tena, ila asiwe huyu!.
 
Yale manyonyo akiinama yanafika kwa magoti, halafu tofauti yao nyingine ni rangi mmoja mweusi mwingine macho kama Ana u taka🤣
 
😁😁😁 hatari na nusu... Naona katili anavuna alichopanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom