CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,102
- 41,384
Mmoja ni muuaji mikono yake imejaa damu za Watanganyika na mwingine ni malkia wa mipasho tu.Woteni wazanzibari
Woteni maarufu
Wote wanajua mipasho
Mmoja ni muuaji mikono yake imejaa damu za Watanganyika na mwingine ni malkia wa mipasho tu.Woteni wazanzibari
Woteni maarufu
Wote wanajua mipasho
Wote mabongeWoteni wazanzibari
Woteni maarufu
Wote wanajua mipasho
Hivi kweli kuwa hamkopi kabisa🤣🤣Mmoja muuwaji mwingine muimbaji
Hatukopi kivipi?Hivi kweli kuwa hamkopi kabisa🤣🤣
Mmoja ni Mvurugaji wa Ndoa za Wanawake wenzake na Mmoja ni Mshirikina sana. Sitaki swali lolote kutoka Kwako / kwa Wengine tafadhali.Woteni wazanzibari
Woteni maarufu
Wote wanajua mipasho
Hahaha nimekosea namaanisha kuogopa kutekwa😆Hatukopi kivipi?
Haha tell them to try if they canHahaha nimekosea namaanisha kuogopa kutekwa😆
Kuwanyali ndio kufanya nini madam🤣 nitoe ushambaMimi nilipomuona kwenye harusi ya mtoto wa Dr Shein, akicheza taarabu huku anawanyali wamama wengine pembeni yake. Nikajua tu kuna shida sehemu fulani na ilikuwa bado mwanzo mwa uongozi wake. Na imekuja kuwa kweli. Katiba imetuangusha sana, tukubali hilo.
Nyuma ya keyboard kila mtu shujaa🤣🤣🤣Haha tell them to try if they can
Hakuna tofauti pia yupo Amos makala huyo ni mswahili balaa huyo mpaka vigodoro anaingia kanga moko kwa kifupi ccm ya sasa ni ya hovyo sanaWoteni wazanzibari
Woteni maarufu
Wote wanajua mipasho
Nimewapa fursa jaribuniNyuma ya keyboard kila mtu shujaa🤣🤣🤣
Alikuwa anacheza taarabu akiwa rais?Kuwanyali ndio kufanya nini madam🤣 nitoe ushamba
Duh mimi sijui mkuuAlikuwa anacheza taarabu akiwa rais?
Alikuwa anacheza taarabu akiwa raisMimi nilipomuona kwenye harusi ya mtoto wa Dr Shein, akicheza taarabu huku anawanyali wamama wengine pembeni yake. Nikajua tu kuna shida sehemu fulani na ilikuwa bado mwanzo mwa uongozi wake. Na imekuja kuwa kweli. Katiba imetuangusha sana, tukubali hilo.
Sorry nimekosea lengo lilikuwa kumuuliza huyo aliesema aliesema alimuona akitikisa kalio taarabuniDuh mimi sijui mkuu