Tofauti ya Samia na Hadija kopa ni ipi?

Tofauti ya Samia na Hadija kopa ni ipi?

Ila ukweli usemwe, ukiacha njaa (uchawa na wale wabembeleza vyeo) sa100 hatoshi kbs kwenye urais...uwezo wake ni mdogo mnoo, anaonekana ni mwepesi kudanganywa na waliomzunguka kwasabb yeye binafsi hawezi kuchambua masuala na kuyatolea majibu sahh.
Ukitaka kuona uwezo wake halisi, mtazame & kumsikiliza kwa makini akiwa anaongelea jambo fulani bila kuwa anasoma alichoandaliwa!.
Huoni hoja na vision ya mtu caliber ya rais....wa kawaida sana, ingetosha urais ule wa kurithi pekeyake, potelea mbali hata kama angekuwa mwingine kutoka huko huko ccm tena, ila asiwe huyu!.
Kama nani
 
Back
Top Bottom