Tofauti ya Rais Samia na marais wengine waliomtangulia

Hebu achana na nani nazungumza na wazungu.
Tusemezane mimi na wewe.
Humphrey polepole yu wapi?
Hajarudi kutoka Cuba, hata polisi wanamtaka aripoti kituoni akatoe maelezo na ushahidi wa tuhuma anazotoa. Wewe ulimuona lini hapa nchini?
 
Mlikuwa hamjui kuwa Samia ni Amirijeshi wa majeshi yote ya Tanzania? Hamsomi Katiba, mnapuyanga tu.
Huna akili
FB_IMG_1748360197313~2.jpg
 
Hajarudi kutoka Cuba, hata polisi wanamtaka aripoti kituoni akatoe maelezo na ushahidi wa tuhuma anazotoa. Wewe ulimuona lini hapa nchini?
Sawa, wapi ben, Mdude, soka, .........mnapoamuwa kujifanya mbuni na kuzika vichwa mchangani kwamba utekaji na na mauaji havipo....tutatakiwa mabaya zaidi ya October 29. Hakuna anayependa kulazimishwa kufa.
 
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli. "Bora huyu"

Rais Samia hana wategemezi wengii maskini wa kutupwa kulinganisha na watangulizi wake.

Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.

Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Mada kama hizi zinatisaidia nini?
 
Alama ya mauaji
 
Mada kama hizi zinatisaidia nini?
Background ya mgombea ni muhimu sana kwenye uongozi wa nchi. Kama mgombea anatoka kwenye familia/kabila/ukoo ambao haki za wafoto, wanawake au wazee hawaheshimiwi atafanya hivyo akiwa kiongozi wa nchi.
 
MAlalamiko kama hayo yako hata marekani, dunia nzima watu hawakubali kushindwa.
Hii siyo justification ya upotevu wa uhai.........acha ubinafsi huna kinga dhidi ya yanayowakuta wengine
 
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli. "Bora huyu"

Rais Samia hana wategemezi wengii maskini wa kutupwa kulinganisha na watangulizi wake.

Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.

Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Muuaji wa kimbari
 
Mikono yake imejaa Damu z watanganyika.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ukweli kuna makundi yaliandaliwa kuuwa Raia.

Mipango yao ilisukwa kitaalam sana wameuwa watu Mtaani👈.. Chadema ile Mo29

VileVifo sio vya Polisi nitakaa mpaka kiama

Polisi wameusika zaidi kwenye yale maandamano barabarani ✅️

Lkn sio mitaani ❌️

Kuna watu walikuwa wakitembea na magari yao☠️‼️ .Mtaani ndio walikuwa wanauwa watu ovyo

Polisi wetu hawawezi kufanya mauaji ya vile✍️

Hii mipango imesukwa nawatu kutokea nje kwa msaada wa CHADEMA✍️
DAMU zile nizao wameusika kuandaa Fujo
Na wameusika kuwauwa raia wasio na hatia yoyote✍️
 
Ameua watoto ambao walitolewa kafara na chadema.
CHADEMA haikuwa barabarani, CHADEMA haikuamuru polisi kupiga risasi na kuua watoto wasiokuwa na silaha na wala CHADEMA haikuzima mitandao ili dunia isifahamu namna Samia na timu yake wanavyoua watoto wa Tanganyika.
 
Ukweli kuna makundi yaliandaliwa kuuwa Raia.

Mipango yao ilisukwa kitaalam sana wameuwa watu Mtaani👈.. Chadema ile Mo29

VileVifo sio vya Polisi nitakaa mpaka kiama

Polisi wameusika zaidi kwenye yale maandamano barabarani ✅️

Lkn sio mitaani ❌️

Kuna watu walikuwa wakitembea na magari yao☠️‼️ .Mtaani ndio walikuwa wanauwa watu ovyo

Polisi wetu hawawezi kufanya mauaji ya vile✍️

Hii mipango imesukwa nawatu kutokea nje kwa msaada wa CHADEMA✍️
DAMU zile nizao wameusika kuandaa Fujo
Na wameusika kuwauwa raia wasio na hatia yoyote✍️
Kwa 'rubbish🤮' hizi polisi wameshindwaje kuwakamata hao unaowaita CHADEMA, kwanini serikali inaogopa independent investigators ili kama kweli hawakuhusika basi watakuwa wamesafishika kwa majority ya raia na kimataifa pia. Wanaficha nini? Wanaogopa nini kisijulikane? Wanamlinda nani asiumbuke? Je polisi na serikali kwa ujumla kuyaficha hayo yote wanawalinda CHADEMA au wanajilinda wenyewe na viongozi wao?
 
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli. "Bora huyu"

Rais Samia hana wategemezi wengii maskini wa kutupwa kulinganisha na watangulizi wake.

Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.

Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Screenshot_20260720_084612_Google.jpg
Screenshot_20260720_084631_Google.jpg
Screenshot_20260720_084638_Google.jpg
Screenshot_20260720_084653_Google.jpg
Screenshot_20260720_084700_Google.jpg
Screenshot_20260720_084705_Google.jpg
Screenshot_20260720_084724_Google.jpg

Hii👆🏾ndiyo taswira ya Samia kimataifa.
 
Hii siyo justification ya upotevu wa uhai.........acha ubinafsi huna kinga dhidi ya yanayowakuta wengine
Kila mtu kwenye taifa lolote anao wajibu wa kulinda uhai wake usitoweke kwa kuepuka visababishi na vihatarishi vya kifo. Hata wahenga walisema nyumbani kwa shujaa kila siku ni vilio na nyumbani kwa muoga kila siku kuna vicheko. Kama uwewe unatunishiana misuli na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote ya Tanzania unatarajia nini? Majeshi yote na askari wote wameapa kuilinda Katiba na kumtii Rais na Amirijeshi wao Mkuu. Hivyo, kabla ya kumfikia Amirijeshi Mkuu wao utalazimika kwanza kupimana ubavu na majeshi yote ya nchi hii. Someni Katiba yenu vizuri kabla ya kufanya upuuzi. Katiba hii ni tamu sana kwa watawala na hakuna anaetaka ibadilishwe. Hii Katiba ndiyo iliyomnusuru Nyerere asipinduliwe, ndiyo chanzo cha amani na utulivu tulionao sisi hapa Tz.

Katiba hii ndiyo inayoruhusu wachagga na makabila mingine kuweza kwenda kumiliki mapande makubwa ya ardhi za makabila mengine ilimradi hawavunji sheria. Katiba hii ndiyo inayoruhusu makanisa kumiliki ardhi kuuubwa nchini, Katiba hii ndiyo inayoruhusu wakimbizi kupewa uraia. Katiba hii imeleta umoja wa kitaifa, katiba hii ndiyo iliyosambaza umeme, zahanati, shule, maji, barabara nchi nzima.

Ukicheza na Katiba hii wafwa.
 
Ni wanaharakati tu hawa sawa na akina Tuck Carlson, McGregor, Scott Ritter, nk. Ni maoni yao. Hata Marekani zipo vurugu na watu wanauliwa na magereza yamejaa pomoni. Lakini maneno yao hayamalizi vita Ukraine, Sudan, DRC wala Iran. Hiyo nile ya "WHO ARE YOU" utuamulie sisi namna ya wapenda, kuwalinda, kuwahudumia, kuwaadhibu na kuwapongeza watu wetu?

Sio watu wetu tu, bali sisi watanzania tunajali hata wanyamapori wetu. Hatuhitaji kupewa somo la huruma kutoka nje. Sio watu wetu tu, bali tunajali hata wakimbizi kwa miaka mingi, na dunia yote inafahamu hilo.
 
Back
Top Bottom